Bank of Tanzania has a RESERVE of $5 Billion.

Bank of Tanzania has a RESERVE of $5 Billion.

Katika mijadala kama hii ni vizuri ukawa matured enough, sio vizuri kuleta mazungumzo ya kitoto bila kuwa na strong evidence katika mijadala ya watu wazima, ulitaka alipwe nani wakati anayedai amepeleka kesi mahakamani ili kuomba alipwe, kesi inaendelea haijakwisha na kila upande unadai una haki katika hili, kama mahakama haijatoa uamuzi, wewe unataka nchi ilipe hovyo hovyo, hiyo ni akili kweli?, subiri mahakama ikisema Tanzania inapaswa kulipa na ikishindwa kulipa ndiyo useme
Kumbe kesi haijaisha? Imekuaje hukumu inekuwa registered USA, UG, Canada. Pelekeni prop zenu Kampala muone.
 
Kumbe kesi haijaisha? Imekuaje hukumu inekuwa registered USA, UG, Canada. Pelekeni prop zenu Kampala muone.
Lengo la hizi forum ni kujuzana na kuelimishana, sasa kama husemi kile unachokijua badala yake unazungumza kimafumbo hutopata jibu lolote la maana, endelea kulimbikiza ujinga.
 
Ogopa sana mtu anaerudiaridia kila wakati jambo fulani.....tunajenga SGR kwa fedha zetu (zipi?).

Kuna frustration na kuna ndoto atofautishe hilo kwanza.
Wewe unajua fedha zipi za Tanzania?, huwezi kuuliza kitu usichokijua, kwanza eleza pesa ipi ya nchi unayoijua ndipo ujibiwe hizo anazosema pesa zetu.
 
Shida yenu wavivu hadi mnadhani kila mtu mvivu. Kipengee kipo kwa document yenu mliyopost hapa wenyewe ila kusoma kumewashinda.

View attachment 727516
upload_2018-3-28_6-19-11.png


I know what i'm talking about.
 
Billioni tano ya dollar, mkuu hio sio billioni tano ya Tanzania, na sio pesa kidogo. Mimi ni mkenya lakini siwezi kubali upotoke. Hii dunia hakuna msanii anaye dollar billioni 5. Hata Dr. Dre au J.Z hawana.
Jibu mubasharA...utani pembeni hizi thread watu hawasomi huishia comment tu...sikutegemea useme $5bln pesa ndogo...ajabu kwelkwel
Hivi hata mie nimeshangaa sana, BL 5 si ni pesa ambayo wasanii tu wanakuwa nayo, kumbe ndo balance ya nchi nzima
 
Naona watu wana taja Bill gates na Dangote!! Hivi ikipigwa hesabu ya networth ya Tz au Kenya kama zinavyo pigwa networh ya hao mna wataja kuna tajiri ambae ana weza akatia pua!
 
Yani 5 bills tu jamani , aisee hii nchi inalaana ...........A bancrupted nation full of poverty ........... Hahahaha! Donor country yenye 5 Bills $ as a reserve..........WTF ! Hivi kumbe Dangote anaweza kutununua kama mara tatu hivi ..........Holy God ! Nikipata mtoto nitahakikisha haishi nchi hii iliyooza umaskini from its top all the way to its bottom ...........Tunahaki ya kuitwa Mashitholes aisee tupambane na hali zetu

Teh teh teh teh teh .....
 
Anamjengea nani SGR!! Sema tume ipa kazi kampuni kutoka nchi yake na tuna ilipa kwa pesa zetu wenyewe. Kama mtu anavyo muajili house helper au accountant.
Kipindi cha kampeni vitu alivyokuwa anaongea tulidhani ndoto
Lkn sahv kavitekeleza vyote
 
Dangote is richer than BOT's reserve.

Kuna wakati watanzania tusifurahie baadhi ya vitu. Vinatufanya tuonekane kama tuna akili za kimasikini.

Tungekuwa na reserve ya kuanzia $50B ndo tuongee. Ila hiko kiasi ni kidogo mnoooo.
Kuna mijitu inaona tuko vizuri
 
Sasa alikuwa PM, ndiyo sawa na kuwa Rais? Hiyo Katiba si imebadilishwa akiwa Rais tayari? Maana wakati constitutional referendum inafanyika (nakumbuka ni mwaka jana mwanzoni mwazoni tu) nilikuwa Istanbul.

Na Katiba haijabadilishwa kuongeza muda wa urais. Hiyo ndiyo hoja niliyoijibu.
Unataja Urusi, seriously? Yaani kuna nini cha kujifunza Urusi, ambako ni Moscow na St. Petersburg pekee ndiko kunatamanika. Kwengine huko ni umaskini na shida tupu.

Nitajie nchi zilizoendelea aisee, siyo hizi nchi zilizo kwenye transition. Taja nchi moja iliyoendelea kutokana na incumbent president kujiongezea muda akiwa madarakani.

Yaani nikiangalia nchi zote zilizofanya hivyo, umaskini uliokithiri ndiyo jambo ambalo linatokea kote. Uganda, Rwanda, DRC, Burundi, Cameroon, Zimbabwe, Equatorial Guinea, Congo, Sudan

Unakumbuka wakati wa 1st official trip in Africa, Obama aliwaambia viongozi wa Afrika, kwamba Afrika inahitaji strong institutions na siyo strong leaders. Ni upumbavu kufikiri ati Magufuli (out of 50+ million Tanzanians) ndiye pekee anaweza kuliongoza taifa hili. The charlie has been part of the crooked CCM and governments for 20+ years, now mnataka kutuaminisha ati anafaa. Only charlies like him wataona anafaa.
Lkn katika waliojitokeza ndie pekee anaejua kuiongoza nchi
Wengine tutajaribujaribu na kurudishwa nyuma
 
Hivi na wewe kweli unamuamini huyu baba. Si ndio huyu alisema alikuta sukari tsh 5000/
Vipi mbona hana bil 78 kulipia deni la ndege zije??
Nina elf10 benki lkn siwezi kumpa mtu shilingi mia anaenidai kidhurumati
 
Katika mijadala kama hii ni vizuri ukawa matured enough, sio vizuri kuleta mazungumzo ya kitoto bila kuwa na strong evidence katika mijadala ya watu wazima, ulitaka alipwe nani wakati anayedai amepeleka kesi mahakamani ili kuomba alipwe, kesi inaendelea haijakwisha na kila upande unadai una haki katika hili, kama mahakama haijatoa uamuzi, wewe unataka nchi ilipe hovyo hovyo, hiyo ni akili kweli?, subiri mahakama ikisema Tanzania inapaswa kulipa na ikishindwa kulipa ndiyo useme
Watu wengine hawanaga sence, ni kuropoka tu
 
Back
Top Bottom