Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ficha aibu yako Kenya na sisi tuna tofauti gani?Hivi sisi watanzania tuna kitu cha kujisifia mbele ya wakenya zaidi ya ujinga wa tulionao?
Ha ha ha, very very poor. Tunajisifu na $5bnpoor country only $5b
A flimsy fallacious fabrication faxed.Message sent
NET. Siyo GROSS!Why are you comparing Tanzania's GROSS foreign exchange reserves with Kenya's USABLE foreign exchange reserves? Oranges to apples much? Interestingly, Kenya's USABLE foreign exchange reserves are still higher than Tanzania's GROSS foreign exchange reserves. In the October 2017 month that you quote, Kenya's GROSS foreign exchange reserves were $9.4695 billion.
Jifunze vizuri haya mambo ya uchumi kaka, inaonekana sio eneo lako kabisa ndugu yangu.Hivi hata mie nimeshangaa sana, BL 5 si ni pesa ambayo wasanii tu wanakuwa nayo, kumbe ndo balance ya nchi nzima
Hii bangi uliyonyonya ni grade gani, nipe nami ninyonye, nina kiu sanaKenya has only $4.3B, Tanzania reserve is the biggest in EAC, tatizo lenu hamna facts mnabaki na ujinga wenu, ingia katika website ya Kenya cenral Bank uone reserve mliyonayo.
Kenya's Reserve account has always been around $7 billion for almost two years now. Hio Eurobond is not included. Wengi wenu hamjakuwa mkifuata foreign exchange reserve ya Kenya halafu saa hii mnataka kujifanya experts. Hio Eurobond ina kazi yake mahususi na sio kujaza foreign exchange reserve. Kazi ya Eurobond ni kulipa deni fulani na pia itafanya kazi zingine, lakini haitatumika kama reserve. This seems so obvious hata sijui kwa nini watu wanatapatapaTrue, Determined by monthly import bill. Not sure how they treat the Eurobond Proceedes now sitting on the cosolidated A/C , but since these funds are to be used in repaying some pending loans that are maturing soon, they must have been used to calculate the figure of Reserve
It includes both internal and external debt. Wacha kuvuta bangiYa Kenya ile 60% debt to GDP ratio is not covering internal debt.
LDC mentality inasumbua yeye lakini hajui.Hii bangi uliyonyonya ni grade gani, nipe nami ninyonye, nina kiu sana
Singapore. Dictator for life Lee Kwan Yew. Leta ubishi babaUbishi wewe ndiyo unaleta. Ebu weka hapa ushahidi unaoonyesha hilo badiliko la kuongeza muda. Ninachofahamu kwenye ile constitutional referendum, badiliko kubwa ni hilo la kufanya presidency kuwa an executive post, na siyo ceremonial, ambapo Bunge lilichagua Rais. Ila presidential term bado ni ile ile miaka 5, na kugombea tena mara moja tu.
Na hilo la presidency kuwa executive post litaanza kwenye uchaguzi wao wa mwakani.
Sasa unaongelea constitutional referendum ya 2007, wakati Erdogan ni PM? Mtu ambaye kaja kugombea Urais mwaka 2014? Hiyo 2007, sikuwa Istanbul. But, nime-peruse webpages na zinaonyesha in fact presidential term ilipunguzwa kutoka miaka 7 hadi 5 hii ya sasa.
Mimi naongelea latest referendum iliyofanyika mwaka jana. Ambayo ime-cement juu ya presidential term. Angalia article 101 ya katiba yao mpya, iliyokuwa amended mwaka jana. Inasema kabisa kwamba "The term of the office of the President is five years. One person can be elected no more than twice."
Sasa sijui nani anayeleta ubishi hapa?
Najua hili. Kwa kipindi chake PM ndiye alikuwa head of government. Sasa kuanzia mwakani nafasi ya uPM itafutwa Uturuki. Na PM upendekezwa na Rais, kwa maana hiyo Erdogan hakujiweka tu kwenye uPM. Na wala hakujiongezea muda.
Russia usidanganyike na mbwembwe za Putin. Hata kwenye OECD haimo. Russia wamo kwenye BRICS: Brazil, Russia, India, China na South Africa. Hizi ni emerging economies. Huwezi kusema nchi zilizoendelea kwa level ya OECD countries (ambapo Turkey ni member).
Anayejidanganya ni wewe.
Swali langu bado linasimama: nitajieni nchi moja tu ambayo incumbent president alijiongezea muda wa kutawala ili alete maendeleo.
Billioni tano ya dollar, mkuu hio sio billioni tano ya Tanzania, na sio pesa kidogo. Mimi ni mkenya lakini siwezi kubali upotoke. Hii dunia hakuna msanii anaye dollar billioni 5. Hata Dr. Dre au J.Z hawana.Hivi hata mie nimeshangaa sana, BL 5 si ni pesa ambayo wasanii tu wanakuwa nayo, kumbe ndo balance ya nchi nzima
NET. Siyo GROSS!
Kaisome Econmic review ya BoT.
There is no doubt about kenya's $7b reserve. The issue is wherether the recent bond proceedes were used to padd this reserve, as per now, I have Not seen the prospectus (Only treasury)of how the bond was to be used.Kenya's Reserve account has always been around $7 billion for almost two years now. Hio Eurobond is not included. Wengi wenu hamjakuwa mkifuata foreign exchange reserve ya Kenya halafu saa hii mnataka kujifanya experts. Hio Eurobond ina kazi yake mahususi na sio kujaza foreign exchange reserve. Kazi ya Eurobond ni kulipa deni fulani na pia itafanya kazi zingine, lakini haitatumika kama reserve. This seems so obvious hata sijui kwa nini watu wanatapatapa
Twende taratibu. Mpaka dec 2017 kenya ilikuwa na 4.9.Shida yenu wavivu hadi mnadhani kila mtu mvivu. Kipengee kipo kwa document yenu mliyopost hapa wenyewe ila kusoma kumewashinda.
View attachment 727516