Hahahahaaa!!!umejuaje kama yeye mwanamkeLabda aongezewe muda wa kukutawala wewe na mume wako!!
Mkuu unataka kuleta ubishi tu.Sasa alikuwa PM, ndiyo sawa na kuwa Rais? Hiyo Katiba si imebadilishwa akiwa Rais tayari? Maana wakati constitutional referendum inafanyika (nakumbuka ni mwaka jana mwanzoni mwazoni tu) nilikuwa Istanbul.
Na Katiba haijabadilishwa kuongeza muda wa urais. Hiyo ndiyo hoja niliyoijibu.
Unataja Urusi, seriously? Yaani kuna nini cha kujifunza Urusi, ambako ni Moscow na St. Petersburg pekee ndiko kunatamanika. Kwengine huko ni umaskini na shida tupu.
Nitajie nchi zilizoendelea aisee, siyo hizi nchi zilizo kwenye transition. Taja nchi moja iliyoendelea kutokana na incumbent president kujiongezea muda akiwa madarakani.
Yaani nikiangalia nchi zote zilizofanya hivyo, umaskini uliokithiri ndiyo jambo ambalo linatokea kote. Uganda, Rwanda, DRC, Burundi, Cameroon, Zimbabwe, Equatorial Guinea, Congo, Sudan
Unakumbuka wakati wa 1st official trip in Africa, Obama aliwaambia viongozi wa Afrika, kwamba Afrika inahitaji strong institutions na siyo strong leaders. Ni upumbavu kufikiri ati Magufuli (out of 50+ million Tanzanians) ndiye pekee anaweza kuliongoza taifa hili. The charlie has been part of the crooked CCM and governments for 20+ years, now mnataka kutuaminisha ati anafaa. Only charlies like him wataona anafaa.
Its called foreign-exchange reserve for a reason .How is it related with the use of local currency in our country!!??
Hivi na wewe kweli unamuamini huyu baba. Si ndio huyu alisema alikuta sukari tsh 5000/Hayo yamesemwa leo na Raisi Magufuli alipokuwa akikabidhiwa report na CAG.
Amedai kuwa reserve ya Bank of Tanzania imekuwa nakufikia $5 billion. Ambayo inauwezo wakuendesha nchi kwa kipindi cha miezi sita(6 month) kama ikitokea emergency yoyote.
Pia amedai pesa yakujenga striglers dam yakuzalisha MW 2,100 ipo. Pia pesa ya 700km za SGR zipo.
Pamoja nayote amedai zaidi ya mabenki 7 makubwa duniani yameshakuja yakitaka kuikopesha Tanzania kwa interest rate ya hadi chini ya 3% kwenye miradi yake mikubwa yakimaendeleo. Hii imetokana na mabenki kuona Tanzania ikisimamia miradi yake mikubwa bila mikopo.
MY TAKE: Kenya kwa sasa kweli iko na reserve au wamesha itafuna kwakulipa madeni??
Pia tutegemee mradi wa SGR kufika kila kona ya Tanzania kama ilivyo kwa barabara.
Naona kuna umuhimu wa Magufuli kuongezewa muda wakutawala Tanzania. Tumpe 20 years.
Kuangalia hayo maongezi ya JPM anzia katikati kwa mbele kidogo inapokalibia kuisha.
Kosa la kutumia hotuba za wanasiasa kama sources, kama Trump ameshikwa mara nyingi akitumia data za uongo sembuse wanasiasa wa nchi za Africa ambako hakuna transparency wala account ability .Hivi na wewe kweli unamuamini huyu baba. Si ndio huyu alisema alikuta sukari tsh 5000/
Vipi mbona hana bil 78 kulipia deni la ndege zije??
Mkuu unataka kuleta ubishi tu.
Erdogan kajiongezea muda wa kutawala kwa kubadilisha katiba 2007.
Akabadikisha katiba ili achaguliwe by popular vote instead of The Parliament
Erdogan alikuwa Prime Minister kama alivyo Angela Merkel au Netanyahu
Kuhusu Russia, itabidi uache kujidanganya mwenyewe.
source ya benki kuu ni $5.8 BillionKosa la kutumia hotuba za wanasiasa kama sources, kama Trump ameshikwa mara nyingi akitumia data za uongo sembuse wanasiasa wa nchi za Africa ambako hakuna transparency wala account ability .
Data nitakazo ziamini ni za kutoka benki kuu ya Tz pekee
wao wanadai eti Magu nimuongo ukute hata video hawajaangalia kujua ni nani alimuulizaGross official foreign reserves increased to USD 5,832.0 million at the end of January 2018 from USD 4,332.4 million at end of January 2017. The reserves were sufficient to cover 6.0 months ofprojected import of goods and services,excluding FDI financed projects. Gross foreign assets of banks amounted to USD 787.3 million at the end of January 2018. SOURCE BOT.MER Feb2018 APPROVED
Katika mijadala kama hii ni vizuri ukawa matured enough, sio vizuri kuleta mazungumzo ya kitoto bila kuwa na strong evidence katika mijadala ya watu wazima, ulitaka alipwe nani wakati anayedai amepeleka kesi mahakamani ili kuomba alipwe, kesi inaendelea haijakwisha na kila upande unadai una haki katika hili, kama mahakama haijatoa uamuzi, wewe unataka nchi ilipe hovyo hovyo, hiyo ni akili kweli?, subiri mahakama ikisema Tanzania inapaswa kulipa na ikishindwa kulipa ndiyo usemeHivi na wewe kweli unamuamini huyu baba. Si ndio huyu alisema alikuta sukari tsh 5000/
Vipi mbona hana bil 78 kulipia deni la ndege zije??
Na kuna yule wa SingaporeAlikua waziri mkuu tangu 2003, akabadili katiba ili Turkey iwe inatawaliwa na executive branch. Wananchi wakampa shavu akawa rais 2014 mpaka leo anawajengeeni SGR.
Mwingine Putin.
Tumeshakupatia ya benki kuu kuwa ni $5.8 billion 😀😀Kosa la kutumia hotuba za wanasiasa kama sources, kama Trump ameshikwa mara nyingi akitumia data za uongo sembuse wanasiasa wa nchi za Africa ambako hakuna transparency wala account ability .
Data nitakazo ziamini ni za kutoka benki kuu ya Tz pekee
Una eza hisi na yeye ana mgao wake kama pesa iki lipwaKatika mijadala kama hii ni vizuri ukawa matured enough, sio vizuri kuleta mazungumzo ya kitoto bila kuwa na strong evidence katika mijadala ya watu wazima, ulitaka alipwe nani wakati anayedai amepeleka kesi mahakamani ili kuomba alipwe, kesi inaendelea haijakwisha na kila upande unadai una haki katika hili, kama mahakama haijatoa uamuzi, wewe unataka nchi ilipe hovyo hovyo, hiyo ni akili kweli?, subiri mahakama ikisema Tanzania inapaswa kulipa na ikishindwa kulipa ndiyo useme
Kesi inaendeleaje?? Nadhani mmeambiwa mlipwe....au je leo ametoa document ya kithibitisha aliyoyaongea au weee unameza tuKatika mijadala kama hii ni vizuri ukawa matured enough, sio vizuri kuleta mazungumzo ya kitoto bila kuwa na strong evidence katika mijadala ya watu wazima, ulitaka alipwe nani wakati anayedai amepeleka kesi mahakamani ili kuomba alipwe, kesi inaendelea haijakwisha na kila upande unadai una haki katika hili, kama mahakama haijatoa uamuzi, wewe unataka nchi ilipe hovyo hovyo, hiyo ni akili kweli?, subiri mahakama ikisema Tanzania inapaswa kulipa na ikishindwa kulipa ndiyo useme
Kesi iliyopo mahakamani kule Canada bado inaendelea, wewe unqzungumzia kesi ipi?, bado mahakama ya Canada iliyotoa amri ya kushikilia hiyo ndege haijamaliza kusikiliza hilo shauri.Kesi inaendeleaje?? Nadhani mmeambiwa mlipwe....au je leo ametoa document ya kithibitisha aliyoyaongea au weee unameza tu
Singaporean dictator ndio aliinua uchumi wa Singapore, Ghadaffi, Hosni Mubarak, Assad, merkel of Germany, xi jinping etc, don't be held hostage kwa kikaratasi chenye maandishi ya bin Adam, anaweza adhere anaweza ignore, kama mtu ana manufaa yaliyozidi sana hasara, why not go on with his/herChina, imebadili Katiba juzi hapa. Na kabla ya hapo Urais wa Uchina ni kama ceremonial tu, kwani nguvu zote zipo kwa Katibu Mkuu wa CP. Ila kwa mabadiliko hayo nguvu zitaenda kwa Rais sasa. Hivyo, huu si mfano, maana mabadiliko yamefanyika sasa, na China imeshaendelea kabla ya mabadiliko. Kama unafuatilia siasa za Uchina, mabadiliko haya hayana uhusiano wowote wa ati kukaa muda mrefu ndiyo ataleta maendeleo, kama ulivyodai kwenye hoja yako ya msingi. Mabadiliko yanahusiana sana na power struggles ndani ya Uchina na majirani zake.
Unataja Rwanda, kwahiyo Rwanda ndiyo nchi iliyoendelea kiasi cha kuwa mfano wa kuigwa na Tanzania? Aisee, hata level ya ujinga umeipita (upo level ya chini zaidi ya ujinga) kama unaona Rwanda ni nchi ya mfano.
la 20 years linakuuma. Trump pia alisema kuna umuhimu wa Marekani kufata nyayo za China. Viongozi wanaitaji muda zaidi wakukaa madalakani
wacha uongoKenya Has $7bn reserve. Ofcourse All of it borrowed