Bank of Tanzania has a RESERVE of $5 Billion.

Bank of Tanzania has a RESERVE of $5 Billion.

Kwote umepatatia ila hapo kwenye miaka ishirini ndipo ulipoharibu uzi wote
 
Sasa alikuwa PM, ndiyo sawa na kuwa Rais? Hiyo Katiba si imebadilishwa akiwa Rais tayari? Maana wakati constitutional referendum inafanyika (nakumbuka ni mwaka jana mwanzoni mwazoni tu) nilikuwa Istanbul.

Na Katiba haijabadilishwa kuongeza muda wa urais. Hiyo ndiyo hoja niliyoijibu.
Unataja Urusi, seriously? Yaani kuna nini cha kujifunza Urusi, ambako ni Moscow na St. Petersburg pekee ndiko kunatamanika. Kwengine huko ni umaskini na shida tupu.

Nitajie nchi zilizoendelea aisee, siyo hizi nchi zilizo kwenye transition. Taja nchi moja iliyoendelea kutokana na incumbent president kujiongezea muda akiwa madarakani.

Yaani nikiangalia nchi zote zilizofanya hivyo, umaskini uliokithiri ndiyo jambo ambalo linatokea kote. Uganda, Rwanda, DRC, Burundi, Cameroon, Zimbabwe, Equatorial Guinea, Congo, Sudan

Unakumbuka wakati wa 1st official trip in Africa, Obama aliwaambia viongozi wa Afrika, kwamba Afrika inahitaji strong institutions na siyo strong leaders. Ni upumbavu kufikiri ati Magufuli (out of 50+ million Tanzanians) ndiye pekee anaweza kuliongoza taifa hili. The charlie has been part of the crooked CCM and governments for 20+ years, now mnataka kutuaminisha ati anafaa. Only charlies like him wataona anafaa.
Mkuu unataka kuleta ubishi tu.
Erdogan kajiongezea muda wa kutawala kwa kubadilisha katiba 2007. Erdogan alikuwa Prime Minister kama alivyo Angela Merkel au Netanyahu.
Akabadilisha katiba ili Rais achaguliwe by popular vote instead of The Parliament.
Kuhusu Russia, itabidi uache kujidanganya mwenyewe.
 
How is it related with the use of local currency in our country!!??
Its called foreign-exchange reserve for a reason .

One of the main work of the central bank is to regulate currency and protect the currency from external shocks from global markets, market trends, too much imports without equal export.etc

The central bank has the authority to use the reserve when ever or wherever they see fit in order to protect the shilling , therefore if the shilling has been falling while reserves have been rising, it means the central bank chief has been letting the shilling down in order to collect moreoney for the reserve
 
Hayo yamesemwa leo na Raisi Magufuli alipokuwa akikabidhiwa report na CAG.

Amedai kuwa reserve ya Bank of Tanzania imekuwa nakufikia $5 billion. Ambayo inauwezo wakuendesha nchi kwa kipindi cha miezi sita(6 month) kama ikitokea emergency yoyote.

Pia amedai pesa yakujenga striglers dam yakuzalisha MW 2,100 ipo. Pia pesa ya 700km za SGR zipo.

Pamoja nayote amedai zaidi ya mabenki 7 makubwa duniani yameshakuja yakitaka kuikopesha Tanzania kwa interest rate ya hadi chini ya 3% kwenye miradi yake mikubwa yakimaendeleo. Hii imetokana na mabenki kuona Tanzania ikisimamia miradi yake mikubwa bila mikopo.

MY TAKE: Kenya kwa sasa kweli iko na reserve au wamesha itafuna kwakulipa madeni??

Pia tutegemee mradi wa SGR kufika kila kona ya Tanzania kama ilivyo kwa barabara.

Naona kuna umuhimu wa Magufuli kuongezewa muda wakutawala Tanzania. Tumpe 20 years.

Kuangalia hayo maongezi ya JPM anzia katikati kwa mbele kidogo inapokalibia kuisha.
Hivi na wewe kweli unamuamini huyu baba. Si ndio huyu alisema alikuta sukari tsh 5000/
Vipi mbona hana bil 78 kulipia deni la ndege zije??
 
Kwahiyo nchi ikiwa vitani mwaka tu itabidi Mark zuckerberg aje atuokoe
 
Hivi na wewe kweli unamuamini huyu baba. Si ndio huyu alisema alikuta sukari tsh 5000/
Vipi mbona hana bil 78 kulipia deni la ndege zije??
Kosa la kutumia hotuba za wanasiasa kama sources, kama Trump ameshikwa mara nyingi akitumia data za uongo sembuse wanasiasa wa nchi za Africa ambako hakuna transparency wala account ability .
Data nitakazo ziamini ni za kutoka benki kuu ya Tz pekee
 
Mkuu unataka kuleta ubishi tu.
Erdogan kajiongezea muda wa kutawala kwa kubadilisha katiba 2007.
Akabadikisha katiba ili achaguliwe by popular vote instead of The Parliament

Ubishi wewe ndiyo unaleta. Ebu weka hapa ushahidi unaoonyesha hilo badiliko la kuongeza muda. Ninachofahamu kwenye ile constitutional referendum, badiliko kubwa ni hilo la kufanya presidency kuwa an executive post, na siyo ceremonial, ambapo Bunge lilichagua Rais. Ila presidential term bado ni ile ile miaka 5, na kugombea tena mara moja tu.

Na hilo la presidency kuwa executive post litaanza kwenye uchaguzi wao wa mwakani.

Sasa unaongelea constitutional referendum ya 2007, wakati Erdogan ni PM? Mtu ambaye kaja kugombea Urais mwaka 2014? Hiyo 2007, sikuwa Istanbul. But, nime-peruse webpages na zinaonyesha in fact presidential term ilipunguzwa kutoka miaka 7 hadi 5 hii ya sasa.

Mimi naongelea latest referendum iliyofanyika mwaka jana. Ambayo ime-cement juu ya presidential term. Angalia article 101 ya katiba yao mpya, iliyokuwa amended mwaka jana. Inasema kabisa kwamba "The term of the office of the President is five years. One person can be elected no more than twice."

Sasa sijui nani anayeleta ubishi hapa?

Erdogan alikuwa Prime Minister kama alivyo Angela Merkel au Netanyahu

Najua hili. Kwa kipindi chake PM ndiye alikuwa head of government. Sasa kuanzia mwakani nafasi ya uPM itafutwa Uturuki. Na PM upendekezwa na Rais, kwa maana hiyo Erdogan hakujiweka tu kwenye uPM. Na wala hakujiongezea muda.

Kuhusu Russia, itabidi uache kujidanganya mwenyewe.

Russia usidanganyike na mbwembwe za Putin. Hata kwenye OECD haimo. Russia wamo kwenye BRICS: Brazil, Russia, India, China na South Africa. Hizi ni emerging economies. Huwezi kusema nchi zilizoendelea kwa level ya OECD countries (ambapo Turkey ni member).

Anayejidanganya ni wewe.

Swali langu bado linasimama: nitajieni nchi moja tu ambayo incumbent president alijiongezea muda wa kutawala ili alete maendeleo.
 
Gross official foreign reserves increased to USD 5,832.0 million at the end of January 2018 from USD 4,332.4 million at end of January 2017. The reserves were sufficient to cover 6.0 months ofprojected import of goods and services,excluding FDI financed projects. Gross foreign assets of banks amounted to USD 787.3 million at the end of January 2018. SOURCE BOT.MER Feb2018 APPROVED
 
Kosa la kutumia hotuba za wanasiasa kama sources, kama Trump ameshikwa mara nyingi akitumia data za uongo sembuse wanasiasa wa nchi za Africa ambako hakuna transparency wala account ability .
Data nitakazo ziamini ni za kutoka benki kuu ya Tz pekee
source ya benki kuu ni $5.8 Billion
 
wao wanadai eti Magu nimuongo ukute hata video hawajaangalia kujua ni nani alimuuliza
 
Hivi na wewe kweli unamuamini huyu baba. Si ndio huyu alisema alikuta sukari tsh 5000/
Vipi mbona hana bil 78 kulipia deni la ndege zije??
Katika mijadala kama hii ni vizuri ukawa matured enough, sio vizuri kuleta mazungumzo ya kitoto bila kuwa na strong evidence katika mijadala ya watu wazima, ulitaka alipwe nani wakati anayedai amepeleka kesi mahakamani ili kuomba alipwe, kesi inaendelea haijakwisha na kila upande unadai una haki katika hili, kama mahakama haijatoa uamuzi, wewe unataka nchi ilipe hovyo hovyo, hiyo ni akili kweli?, subiri mahakama ikisema Tanzania inapaswa kulipa na ikishindwa kulipa ndiyo useme
 
Alikua waziri mkuu tangu 2003, akabadili katiba ili Turkey iwe inatawaliwa na executive branch. Wananchi wakampa shavu akawa rais 2014 mpaka leo anawajengeeni SGR.
Mwingine Putin.
Na kuna yule wa Singapore
 
Kosa la kutumia hotuba za wanasiasa kama sources, kama Trump ameshikwa mara nyingi akitumia data za uongo sembuse wanasiasa wa nchi za Africa ambako hakuna transparency wala account ability .
Data nitakazo ziamini ni za kutoka benki kuu ya Tz pekee
Tumeshakupatia ya benki kuu kuwa ni $5.8 billion 😀😀

MONTHLY ECONOMIC REVIEW BANK OF TANZANIA February 2018
PDFhttps://www.bot.go.tz › Publications › M...

Gross official foreign reserves increased to USD. 5,832.0 million at the end of January 2018 from. USD 4,332.4 million at end of January 2017. The reserves ...
 
Katika mijadala kama hii ni vizuri ukawa matured enough, sio vizuri kuleta mazungumzo ya kitoto bila kuwa na strong evidence katika mijadala ya watu wazima, ulitaka alipwe nani wakati anayedai amepeleka kesi mahakamani ili kuomba alipwe, kesi inaendelea haijakwisha na kila upande unadai una haki katika hili, kama mahakama haijatoa uamuzi, wewe unataka nchi ilipe hovyo hovyo, hiyo ni akili kweli?, subiri mahakama ikisema Tanzania inapaswa kulipa na ikishindwa kulipa ndiyo useme
Una eza hisi na yeye ana mgao wake kama pesa iki lipwa
 
Katika mijadala kama hii ni vizuri ukawa matured enough, sio vizuri kuleta mazungumzo ya kitoto bila kuwa na strong evidence katika mijadala ya watu wazima, ulitaka alipwe nani wakati anayedai amepeleka kesi mahakamani ili kuomba alipwe, kesi inaendelea haijakwisha na kila upande unadai una haki katika hili, kama mahakama haijatoa uamuzi, wewe unataka nchi ilipe hovyo hovyo, hiyo ni akili kweli?, subiri mahakama ikisema Tanzania inapaswa kulipa na ikishindwa kulipa ndiyo useme
Kesi inaendeleaje?? Nadhani mmeambiwa mlipwe....au je leo ametoa document ya kithibitisha aliyoyaongea au weee unameza tu
 
Kesi inaendeleaje?? Nadhani mmeambiwa mlipwe....au je leo ametoa document ya kithibitisha aliyoyaongea au weee unameza tu
Kesi iliyopo mahakamani kule Canada bado inaendelea, wewe unqzungumzia kesi ipi?, bado mahakama ya Canada iliyotoa amri ya kushikilia hiyo ndege haijamaliza kusikiliza hilo shauri.
 
China, imebadili Katiba juzi hapa. Na kabla ya hapo Urais wa Uchina ni kama ceremonial tu, kwani nguvu zote zipo kwa Katibu Mkuu wa CP. Ila kwa mabadiliko hayo nguvu zitaenda kwa Rais sasa. Hivyo, huu si mfano, maana mabadiliko yamefanyika sasa, na China imeshaendelea kabla ya mabadiliko. Kama unafuatilia siasa za Uchina, mabadiliko haya hayana uhusiano wowote wa ati kukaa muda mrefu ndiyo ataleta maendeleo, kama ulivyodai kwenye hoja yako ya msingi. Mabadiliko yanahusiana sana na power struggles ndani ya Uchina na majirani zake.

Unataja Rwanda, kwahiyo Rwanda ndiyo nchi iliyoendelea kiasi cha kuwa mfano wa kuigwa na Tanzania? Aisee, hata level ya ujinga umeipita (upo level ya chini zaidi ya ujinga) kama unaona Rwanda ni nchi ya mfano.
Singaporean dictator ndio aliinua uchumi wa Singapore, Ghadaffi, Hosni Mubarak, Assad, merkel of Germany, xi jinping etc, don't be held hostage kwa kikaratasi chenye maandishi ya bin Adam, anaweza adhere anaweza ignore, kama mtu ana manufaa yaliyozidi sana hasara, why not go on with his/her
 
Back
Top Bottom