Bank ya NMB naombeni ufafanuzi kuhusu makato haya

F4B

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2022
Posts
336
Reaction score
429
Account yangu nimekuta kimepungua kiasi Cha elfu sita (6000). Wakati huo sijafanya muamala wowote.

Je, hiyo elfu 6000 imeenda Kwenye tozo au Kuna kitu gani hicho.Toeni ufafanuzi wananchi tuelewe na kama sio tozo na haihusiki na chochote tuwafuate mameneja wenu.elfu.

6000 ni ndogo kwa mtu mmoja lkn wakipigwa watu elfu 1000 kiasi hicho mtu anajikusanyia milioni 60 kirahisi tu.

Ufafanuzi please najua mmo humu
 
Account yangu nimekuta kimepungua kiasi Cha elfu sita (6000). Wakati huo sijafanya muamala wowote.

Je hiyo elfu 6000 imeenda Kwenye tozo au Kuna kitu gani hicho.Toeni ufafanuzi wananchi tuelewe na kama sio tozo na haihusiki na chochote tuwafuate mameneja wenu.elfu. 6000 ni ndogo kwa mtu mmoja lkn wakipigwa watu elfu 1000 kiasi hicho mtu anajikusanyia milioni 60 kirahisi tu.
Ufafanuzi please najua mmo humu
Wamejificha huku
NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
nimewapelekea stimlus watoke waje wajibu maswali
 
Account yangu nimekuta kimepungua kiasi Cha elfu sita (6000). Wakati huo sijafanya muamala wowote.

Je hiyo elfu 6000 imeenda Kwenye tozo au Kuna kitu gani hicho.Toeni ufafanuzi wananchi tuelewe na kama sio tozo na haihusiki na chochote tuwafuate mameneja wenu.elfu. 6000 ni ndogo kwa mtu mmoja lkn wakipigwa watu elfu 1000 kiasi hicho mtu anajikusanyia milioni 60 kirahisi tu.
Ufafanuzi please najua mmo humu
Funga account, unless unafanya biashara
 
Mi nimekuta nimeona kunaongezeko la 4,000/= then nikaangalia statement ikawa inasomeka government levy
Duh! Kwa hiyo ghafla umekuwa mkusanyaji wa levy za serikali! Ama sijaelewa sawa sawa!!?
 
Kuna mapendekezo mapya ya TOZO. Kwamba tulipie tozo za:-
.usingizi
-ngono
-pumzi
-kucheka
-connection
 
Account yangu nimekuta kimepungua kiasi Cha elfu sita (6000). Wakati huo sijafanya muamala wowote.

Je hiyo elfu 6000 imeenda Kwenye tozo au Kuna kitu gani hicho.Toeni ufafanuzi wananchi tuelewe na kama sio tozo na haihusiki na chochote tuwafuate mameneja wenu.elfu. 6000 ni ndogo kwa mtu mmoja lkn wakipigwa watu elfu 1000 kiasi hicho mtu anajikusanyia milioni 60 kirahisi tu.
Ufafanuzi please najua mmo humu
Hujaitumia muda gani?
Upotevu huo ni baada ya monthly service charge au?
 
Account yangu nimekuta kimepungua kiasi Cha elfu sita (6000). Wakati huo sijafanya muamala wowote.

Je hiyo elfu 6000 imeenda Kwenye tozo au Kuna kitu gani hicho.Toeni ufafanuzi wananchi tuelewe na kama sio tozo na haihusiki na chochote tuwafuate mameneja wenu.elfu. 6000 ni ndogo kwa mtu mmoja lkn wakipigwa watu elfu 1000 kiasi hicho mtu anajikusanyia milioni 60 kirahisi tu.
Ufafanuzi please najua mmo humu
Nimepigwa 30,000
 
Back
Top Bottom