Nazani Kuna haja hawa watu waitishe vyombo vya habari wauleze umma wa WatanzaniaBora wewe elfu 6,mimi nimepigwa zaidi ya hapo[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
Wamejificha hukuAccount yangu nimekuta kimepungua kiasi Cha elfu sita (6000). Wakati huo sijafanya muamala wowote.
Je hiyo elfu 6000 imeenda Kwenye tozo au Kuna kitu gani hicho.Toeni ufafanuzi wananchi tuelewe na kama sio tozo na haihusiki na chochote tuwafuate mameneja wenu.elfu. 6000 ni ndogo kwa mtu mmoja lkn wakipigwa watu elfu 1000 kiasi hicho mtu anajikusanyia milioni 60 kirahisi tu.
Ufafanuzi please najua mmo humu
Kwa iyo wanakata tozo za kila MweziMimi si mutu ya NMB, lakini inasemekana tozo zilipitishwa tangu Mwezi wa Saba. Sasa bank yawezekana ilichelewa kukata tozo hizo. Kwa hiyo sasa wamekata.
Funga account, unless unafanya biasharaAccount yangu nimekuta kimepungua kiasi Cha elfu sita (6000). Wakati huo sijafanya muamala wowote.
Je hiyo elfu 6000 imeenda Kwenye tozo au Kuna kitu gani hicho.Toeni ufafanuzi wananchi tuelewe na kama sio tozo na haihusiki na chochote tuwafuate mameneja wenu.elfu. 6000 ni ndogo kwa mtu mmoja lkn wakipigwa watu elfu 1000 kiasi hicho mtu anajikusanyia milioni 60 kirahisi tu.
Ufafanuzi please najua mmo humu
Duh! Kwa hiyo ghafla umekuwa mkusanyaji wa levy za serikali! Ama sijaelewa sawa sawa!!?Mi nimekuta nimeona kunaongezeko la 4,000/= then nikaangalia statement ikawa inasomeka government levy
Wanaopitisha salary huko ndio iweje?Ni mda wa vibubu vya chuma
Hujaitumia muda gani?Account yangu nimekuta kimepungua kiasi Cha elfu sita (6000). Wakati huo sijafanya muamala wowote.
Je hiyo elfu 6000 imeenda Kwenye tozo au Kuna kitu gani hicho.Toeni ufafanuzi wananchi tuelewe na kama sio tozo na haihusiki na chochote tuwafuate mameneja wenu.elfu. 6000 ni ndogo kwa mtu mmoja lkn wakipigwa watu elfu 1000 kiasi hicho mtu anajikusanyia milioni 60 kirahisi tu.
Ufafanuzi please najua mmo humu
Nimepigwa 30,000Account yangu nimekuta kimepungua kiasi Cha elfu sita (6000). Wakati huo sijafanya muamala wowote.