Bank ya NMB naombeni ufafanuzi kuhusu makato haya

Hapa umezingatia magazijuto kweli ?
 
B

Mkuu mimi mtu kanitumia ela janq, leo naenda kutoa nakuta 10000 haipo kabsa
Mkuu naomba twende taratibu tusilaumu bure.
Bank kuna makato ya kila mwezi yanaitwa monthly service charge na hutegemea aina ya account uliyofungua.

Kuna ac hukata 1,500, 3,000, 5,000 nk.

Endapo hujaweka pesa miezi 2 mara utakapoweka tu wataikata hiyo 5,000x2=10,000.

Lakini ikiwa ulitumia kila mwezi na makato walikata basi fuatilia hiyo 10k yako watakupa sababu kwanini wamekukata?
 
Ninahisi nitakua sahihi kwa [emoji817] kua hii ni njia ya kutuibia hela zetu.

Bank zitakua zinatubia kwa kisingizio Cha tozo za serikali. Make hela niliyokatwa nimeenda bank hawana majibu ya kuweleweka kwa kiasi walichokata 75000. J3 naamkia kwa manager.

Serikali inajikatia tozo inayotaka yenyewe make Haina kiwango ambacho ni fixed.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Kama ukifanya miamala ndani ya mwezi wa saba wamekata malimbikizo ya tozo kwenye miamala yako.
 
Hawanidai wala nini, j
 
Hawanidai wala nini, j
 
Kumekucha kumekuchaaaaa....
 

Attachments

  • 1660411658986.jpg
    26.9 KB · Views: 5
Kwahiyo 6000*1000=milion 60[emoji849]
 
Duuu 75000 hatari sana mbona hiyo yaani tozo ya 75000??
 
Wakipigwa watu 1000 siyo 60msl bali ni 6 mls.
Watakuja kukujibu mimi nilikuwa naweka hesabu sawa
 
Tozo ilitakiwa ianze Julai Mosi... sasa mabenki mengi yalikuwa bado hayajabidlisha mifumo, kwahiyo wanachukua za kuanzia Julani Mosi wampe Kaisari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…