Banki Kuu yaanika ukuaji wa Tanzania kuwa 5.2% kinyume na takwimu za serikali

Ongea kama mwanaume, kama huna hoja pita kimya kimya

dont add your prayers sku hii east africa community ivunjike, even ata orange you wont see it again, we are the ones selling maize to you for a fair price that even your local farmers cant give there fellow kenyans a good price, sku hii community itavunjika utajua who your messing with, remember its even tz who was behind your independence
 
Wewe una akili kweli, kwahivyo kwavile media ya Tz wana uvivu wa kuchapisha videos basi tuamini kwamba Tz hakuna shida!!!! Tukitumia akili yako, Kwavile Somalia hawana media kabisa tuna ruksa ya kuamini hawana shida na hali yao ya kimaisha iko sawa.
Alafu hapo pa kuagizia mahindi. Kwahivyo tukiagizia mahindi kutoka nje inamaanisha hatuna better living standards? hizo pesa za kulipia hayo mahindi zinatoka wapi kama sisi sote ni maskini? si ingekua hatuna hela za kununua mahindi? Ukweli ni kwamba tukikosa kununua mahindi kutoka Tz, ni wakulima wa Tz ndo watateseka, Kenya itatafuta soko lengine na kununua mahindi bila shida....

The only difference between maskini wa Turkana na maskini wa Tanzania ni kwamba tanzania hakuna desert... Maskini wa Tanzania hana hela ya kununua chakula sawa na maskini wa turkana, lakini ardhi yenye rotuba inamuwezesha kupanda angalau mihogo, mahindi, mboga na kujistiri...... Lakini maskini wa turkana hana hio bahati, akipanda chochote kwa mchanga hakimei kwahivyo ni lazima awe na hela ndo anunue chakula, akikosa hela basi hawezi kula chakula.

Hii ndo maana hautasikia watu wa magharibi mwa Kenya au kati au kusini wanakumbwa na shida ya chakula, Si eti kwasababu hayo maeneo hakuna watu maskini, ni kwasababu ardhi yenye rotuba inapatikana haya maeneo kama vile inavyopatikana kila eneo huko Tz kwahivyo hata wale maskini bado wanaeza kupanda na kuvuna lishe bila kuhitaji hela za kununua chakula...

H
izo takwimu ambazo wewe na wenzako wenye akili ndogo wanazipuuza ndo njia pekee yakujua mwelekeo wa nchi yoyote.... Hakuna mtu mwenye akili timamu ataketi chini na amue nchi inaelekea pazuri kwasababu eti ametembelea wananchi kadhaa na akaona hali yao ni salama! Lazima kue na njia ya kukusanya data kisayansi ili kujua kama ni watu wangapi wameboresha maisha yao kulinganana na hapo awali. Kwenye hio data ya HDI, mwaka wa 2013 Tanzania ilikua iko nafasi moja nyuma ya Kenya, sahii Tanzania imerudi nyuma iko karibu nafasi kumi nyuma ya Kenya! Kwanini? hauwezi niambia eti UN ilionea Tanzania na kupenndelea Kenya, Hata huku Kenya, akina IMF, WB na wengineo huchapisha ripoti ambazo hukataliwa na serekali, lakini haimaanishi eti ripoti hizo ni za uongo mtupu!

Kwa upande mwengine hata kama kina WB huchapisha ripoti ambazo hazionyeshi picha kamili ya hali halisi, unafaa pia ujiulize kati ya WB na serekali ya CCM, nani ndo anapenda propaganda zaidi????? Hivi kwanini serekali ya TZ imeacha kuchapisha data ya BoT ambayo hua inaonyesha yali ya maisha na uchumi wa TZ????
since mmeanza kupewa izo report wamewasaidia nn nchini kwenu zaidi ya privatisation na kufanya life in nairobi un affordable for most citizens wanakimbilia ushagoo: while we are the ones helping you with food and facts
 
Do you know why Ethiopia and Kenya have a defence pact that has been renewed afresh with every incoming govt since independence that basically says if either country is invaded, the other country is obligated to jointly fight the invading force??? I know most of you Tanzania like to over exaggerate your claims thats you helped other African countries gain independence but now you are even claiming to have helped Kenya gain independence!!!!! comeon.

I think you over estimate you importance to Kenya...... We imported less than $200m worth of goods from Tanzania last year, Our trade is less that $300m today.. At the same time we imported $628 Worth of goods from Uganda, with trade between Ke&UG bieng over $1.2B. there is no food item that Tanzania has that Uganda does not have . We buy more food from Uganda than we do from Tanzania... If you stop selling food to us to fill our deficit the only people who will suffer is the Tanzanian farmers.... While Ugandan farmers will be rejoicing.

Alafu about those Oranges and other fruits, the only reason we buy your cheap Oranges is because we export ours at much premium price to other lucrative markets.
 
Wacha mihadarati buda
Kaka mm mwenyewe namshangaa.
Kwani Aljazeera ya kenya??
Aljazeera si ya Doha??
Kwanini Aljazeera haikuwahi itangaza Tz kuwa ina njaa??
Aljazeera imeitangaza Somalia,Sudan na Kenya kuwa ni mataifa moja wapo Africa yana njaa.
Mbona Tz haikutangazwa??
 
Aljazeera kwan ya Kenya??
Aljazeera si ya Doha hiyo??
Kwann chombo cha habari cha Doha kitoe taarifa za Kenya,Sudan na Somalia kuwa kuna njaa,Kwann Tz haikuwahi tangazwa??
 
Not sure why kenyans have troubles with tanzania economy but here is my take down: first of all hio sio official document ya world bank hio ni blog ya bussinessdaily ambayo inamilikiwa na mtu wa kenya: nmeangalia kwenye web ya world bank summary kuhusu Tanzania sjaona anywhere kama hio site inavosema https://www.worldbank.org/en/country/tanzania/overview#2 you can check the overview apa: another thing there is a known secret about these reports znazotolewa na IMF na WORLD BANK: most of them arent true, the only true report we can accept is for ourselves to look at our true lives: are we according to how the reports explains??? for example: you as a citizen are you moving same speed as how your country is developing na hizo report? There was a time back kulikua na report inasema the kenyan shilling is over valued nakumbuka it was discussed here and it was the official report ya IMF: but are all these true? are you really the biggest economy in east and central africa in a way some of your citizens die of hunger: thats what magufuli has been fighting for: you can see this when the president of IMF was called at the state house and he brought a different approach to the report: so the only report we have to take into consideration is within our true self, i have been to nairobi alot of times and i cant compare it to Tanzania anyhow: life in Nairobi is a living hell, most people cant afford that life, kwa wale wanaokaaa Arusha understand how many kenyans wamevamia uku arusha: its like kenyans have made arusha there homeplace, not only are the citizens of kenya alone, including Rwanda, Burundi, and zambia: but kenyans wamechukua sehem kubwa sana , if its to explain to you even the cars za kenya zilizopo uku arusha its a whole new thread, i cant explain much but the citizens of kenya understand the real situation of there life there.. isnt wise to have a battle who is better than the other as something to discuss each now and then, i think the citizens should battle on how they should move forward together, i have friends in Nairobi who we work together on a joint venture and that has been the best of us since we started the song of east african's as common, this isnt the right way for the citizens to interact

Which area of expertise are you in? i have a subsidiary in A town.
 
Hawa ni kuwapuuza ili waendelee kujidanganya [emoji23][emoji23][emoji23]
Kaka mm mwenyewe namshangaa.
Kwani Aljazeera ya kenya??
Aljazeera si ya Doha??
Kwanini Aljazeera haikuwahi itangaza Tz kuwa ina njaa??
Aljazeera imeitangaza Somalia,Sudan na Kenya kuwa ni mataifa moja wapo Africa yana njaa.
Mbona Tz haikutangazwa??
 
kwan ameongeaje apo si anaona unaongea kama akili haziko timam aisee
Si hii ni forum ya majadiliano, comment kama hio aliotoa inanikumbusha wale wadaku/wambea ambao hua wanasimamakando ya watu wanaojadiliana alafu akisikia mtu anasema kitu ambacho hakubaliani nacho, anatoa kile kicheko cha uswahiliniii , 'he heee' alafu watu wakimuangalia nakumuuliza kama ako na hoja ya kuchangia ananyamaza.
 
Ukicomment pumba tunakujibu pumba
Si hii ni forum ya majadiliano, comment kama hio aliotoa inanikumbusha wale wadaku/wambea ambao hua wanasimamakando ya watu wanaojadiliana alafu akisikia mtu anasema kitu ambacho hakubaliani nacho, anatoa kile kicheko cha uswahiliniii , 'he heee' alafu watu wakimuangalia nakumuuliza kama ako na hoja ya kuchangia ananyamaza.
 
Do you know why Ethiopia and Kenya have a defence pact that has been renewed afresh with every incoming govt since independence that basically says if either country is invaded, the other country is obligated to jointly fight the invading force??? I know most of you Tanzania like to over exaggerate your claims thats you helped other African countries gain independence but now you are even claiming to have helped Kenya gain independence!!!!! comeon.

I think you over estimate you importance to Kenya...... We imported less than $200m worth of goods from Tanzania last year, Our trade is less that $300m today.. At the same time we imported $628 Worth of goods from Uganda, with trade between Ke&UG bieng over $1.2B. there is no food item that Tanzania has that Uganda does not have . We buy more food from Uganda than we do from Tanzania... If you stop selling food to us to fill our deficit the only people who will suffer is the Tanzanian farmers.... While Ugandan farmers will be rejoicing.

Alafu about those Oranges and other fruits, the only reason we buy your cheap Oranges is because we export ours at much premium price to other lucrative markets.

someone help this guy understand: he is still approaching paper reports

http://ec.europa.eu/echo/files/aid/countries/Kenya_Drought_QA_Apr09_en.pdf
 
nan alikwambia media za tz ni wavivu kuchapisha taarifa? and also who told you kenya ndo tunawauzia tu, dont you know tz they even determine price za certain crops on this planet, havent you heard the case of korosho when we implemented our own price,, do you know what happend to the global price ya korosho??? are you talking because you have a box to reply ama your using your brain to comment?
KIla mtu alie nje ya Tz anajua tanzania hua haina wanahabari, media yenu hua imelala kabisa, mbali na habari ambazo chanzo chake ni serekali/CCM hakuna wanahabari ambao hua wanajisumbua kutafuta habari.

Sisi tuna control prices za majani chai pale Mombasa International Auction center, hata hio chai yenu bei yake kupimiwa hapo Mombasa, no big deal.
Pia tukiacha kuuza maua leo hii bei yake itapanda huk nje, no big deal...
 
Yule alikua anasema kenya has higher purchashing power: na nkawaambia izi report zenu ztawaua ukwel mnaujua
so here is the fact Findings from the Kenya Food Security Steering Group show that 9.8 million Kenyans are food insecure, meaning they cannot afford enough food to meet their daily needs. There are a host of reasons for this including the current high prices of commodities and weaker purchasing power. According to our partner agencies, of the 9.8 million people, around 3.5 million need food aid to survive.

kwakua mnapenda sana reports: hii apa official report
http://ec.europa.eu/echo/files/aid/countries/Kenya_Drought_QA_Apr09_en.pdf
 
KIla mtu alie nje ya Tz anajua tanzania hua haina wanahabari, media yenu hua imelala kabisa, mbali na habari ambazo chanzo chake ni serekali/CCM hakuna wanahabari ambao hua wanajisumbua kutafuta habari.

Sisi tuna control prices za majani chai pale Mombasa International Auction center, hata hio chai yenu bei yake kupimiwa hapo Mombasa, no big deal.
Pia tukiacha kuuza maua leo hii bei yake itapanda huk nje, no big deal...

your not the only coutry mnauza maua: as the matter of fact israel is the leading, kenya haina any shake kwenye chochote duniani,, Tanzania inaweza shake price ya tanzanite cause inapatikana tz tu: sasa nyie nn mnaweza shake dunia ikasema kenya imeamua??? kuna kipindi apa mlikua mnalilia mt.klm ipo kenya: shame on you
 
Hii ni taasisi ya pili kushusha takwimu za ukuaji wa kiuchumi Tanzania, IMF waliposema wakaishia kufokewa sana na kuitwa mabeberu, sasa World Bank nao wamesema, ile timu povu iandae bundle maana kazi mnayo ya kuanza kung'aka na kuwatukana hawa pia.
----------------------------

Tanzania’s economy expanded 5.2 percent in 2018, the World Bank said on Thursday, the second major report this year from a multilateral financial institution contradicting rosier government figures.
Tanzania’s finance minister had told parliament last month that growth was 7 percent last year
In a report, the World Bank, which makes its calculations based on state data, also forecast 2019 growth at 5.4 percent - again lower than the government’s estimate of 7.1 percent.
Last year’s growth was affected by a decline in investment, exports and private lending, the report said.

“Data related to consumption, investment and net trade suggest that growth softened in 2018,” it said.
President John Magufuli embarked on an ambitious programme of industrialisation after coming to power in 2015, investing billions of dollars into infrastructure, including a new rail line, reviving the national carrier and a hydropower plant.
But government interventions in mining and agriculture have led to declining investment in east Africa’s third largest economy.
Foreign direct investment has more than halved since 2013, while private sector lending growth plummeted to less than 4 percent in 2018, far below the 20 percent average between 2013-16.
The World Bank report follows an unpublished International Monetary Fund (IMF) report in April that also raised questions over Magufuli’s handling of the economy.
Leaked version
A leaked version of the report, seen by Reuters, accused the government of undermining the economy with “unpredictable and interventionist” policies, saying medium-term growth would be around 4-5 percent, again below official forecasts.
In its report, the World Bank said investment growth was subdued partly because of government struggles to meet spending targets in development projects.

The economy could grow to 6 percent by 2021 “with a modest improvement of the business climate and a pick-up in [foreign direct investment] and other private investment,” the bank said.
Other economic indicators also point to a slowing economy.
The current account deficit widened to 5.2 percent of GDP in the year ending January 2019, up from 3.2 percent a year earlier, the bank said.
The value of exports dropped nearly 4 percent last year, partly because the government banned cashew exports, a major foreign exchange earner, due to low prices.
Standard gauge railway
On the other hand, the construction of the standard gauge railway and expansion of Dar es Salaam port helped drive up the value of imports by 7.8 percent, the World Bank said.
The government should minimise economic risk by improving the business environment and fiscal management, it recommended.

Globally, Tanzania is also vulnerable to weaker demand, tighter financing conditions, and higher international energy prices, it said.

Gavana huyo profesa wa udsm huko alipo abebe vyake, hawezi kuaibisha serikali namna hii, anatumiwa na MABEPARI.
 
your not the only coutry mnauza maua: as the matter of fact israel is the leading, kenya haina any shake kwenye chochote duniani,, Tanzania inaweza shake price ya tanzanite cause inapatikana tz tu: sasa nyie nn mnaweza shake dunia ikasema kenya imeamua??? kuna kipindi apa mlikua mnalilia mt.klm ipo kenya: shame on you

You cant compete na monoploy boss, we changed price ya korosho angalia saaahv what happend to sales za korosho world wide, mention one thing kenya can stand out in its own as a monopoly, flowers bado sana
 
since mmeanza kupewa izo report wamewasaidia nn nchini kwenu zaidi ya privatisation na kufanya life in nairobi un affordable for most citizens wanakimbilia ushagoo: while we are the ones helping you with food and facts
Imetusaidia kujua bado tunachangamoto nyingi sana, kwamba licha ya Uchumi kuongezeka bado hali hailingani na mapato(House hold income), kwahivyo bado tuna changamoto ya kuhakikisha faida ya makampuni inatiririka hadi kwa wafanyikazi, bila takwimu mambo kama yaha hautajua hali halisi

someone help this guy understand: he is still approaching paper reports

http://ec.europa.eu/echo/files/aid/countries/Kenya_Drought_QA_Apr09_en.pdf
I will use data any time any day over your primitive lookon things, Just because you and you neighbors have had a good year doesn't mean everyone in the country had a good year, you need data and statistical proof to ascertain that!
 
Please kenyans watch this: and mskilize kwa makini, why other African nations are ignoring IMF and WB reports,
KAKA NIMEWASIKILIZA HAPA HII VIDEO AISEE.
IMF AND WB ARE NOT FOR US AISEE.
KWA KIONGOZI ANAEJIELEWA HAWEZI SIKILIZA HAWA BUDDAH,
WANAROCHA WANAFANYA VITU VISE VERSA.
TUKIANGUKA HUTUPAKA MAFUTA KWA MGONGO WA CHUPA KUWA TUNAINUKA.
TUKIINUKA WANATUPA MIND THREATS.
WAPUUZI SANA DATA ZAO SIO ZA KUZIAMINI.
 
Imetusaidia kujua bado tunachangamoto nyingi sana, kwamba licha ya Uchumi kuongezeka bado hali hailingani na mapato(House hold income), kwahivyo bado tuna changamoto ya kuhakikisha faida ya makampuni inatiririka hadi kwa wafanyikazi, bila takwimu mambo kama yaha hautajua hali halisi

I will use data any time any day over your primitive lookon things, Just because you and you neighbors have had a good year doesn't mean everyone in the country had a good year, you need data and statistical proof to ascertain that!

we told you we dont need reports bring facts n the table ukaleta reports and i also brough reports, sisi ata raisi wa WB aje tz we dont want reports zao: one stupid question , so far your living in a country with the strongest economy, how is your bussiness going on so far, has it impacted your busssiness and sales, or every client you sell refuses to buy?
 
Imetusaidia kujua bado tunachangamoto nyingi sana, kwamba licha ya Uchumi kuongezeka bado hali hailingani na mapato(House hold income), kwahivyo bado tuna changamoto ya kuhakikisha faida ya makampuni inatiririka hadi kwa wafanyikazi, bila takwimu mambo kama yaha hautajua hali halisi

I will use data any time any day over your primitive lookon things, Just because you and you neighbors have had a good year doesn't mean everyone in the country had a good year, you need data and statistical proof to ascertain that!

and this seems your data purchasing power is low, mbna sisi mnatupa report tunaangalia: si nyie ndo strongest economy ama? mbna sisi video tunaangalia mwanzo mwisho: now you see whats the advantage of refusing reports, unashangilia wakat unalia data? and most people commenting here we arent even that rich, we are just normal citizens,

safaricom kwanza sidhan kama wana bundle za 1GB daily, mwisho ni 150MB, ambayo ni 50 bob thats around i think 1000 tsh, while in tz the same 1000tsh is 1GB according to the network i use: sasa apa who is having the best life my good friend? and you can also get 10GB for only 1500tsh: we bado unalia bundle boss, welcome to tz maisha uko sio
 
Aljazeera kwan ya Kenya??
Aljazeera si ya Doha hiyo??
Kwann chombo cha habari cha Doha kitoe taarifa za Kenya,Sudan na Somalia kuwa kuna njaa,Kwann Tz haikuwahi tangazwa??
Catherine Soi ni mwana habari wa Kenya, yeye ndo ana jituma na kutafuta habari na pia ku produce, alafu Aljazeera ndo ikiamua inachapisha, bila yeye kujituma Aljazera ingekua haina cha kuchapisha kuhusu hio habari.... lakini huo Soi bado angekua anafanyia kazi kampuni nyengine kama citizen tz na bado habari yake ingechapishwa...

Catherine Wambua-Soi is Al Jazeera's East and Central Africa produce
1563542122552.png
 
Back
Top Bottom