Ummayed
JF-Expert Member
- May 21, 2019
- 6,155
- 2,580
Mkuu,Walipata usaidizi maana ilianikwa, lakini visa ambavyo vimefichwa ni vingi, media zenu huwa zimeganda, hawahoji chochote wapo wapo tu, kazi yao kung'ang'ania vipesa vya kutupiwa na Irene Uwoya. Mambo ya Turkana huwa yanafahamika maana media zetu ni moto moto, hawafichi chochote.
Tanzania albino wanaliwa na kunyofolewa viungo, wwatoto wanachnjwa kwa ajili ya ushirikina wa kijinga, lakini haisemwi, hadi pale media za kimataifa zitatangaza ndio itasikika.
Albino kuuawa ni zilipendwa tumeshasahau hio kitu maana watu wameelimika na wanalindwa nowadays.
Tatizo lililopo sasa hv ni mauaji ya watoto kwa iman za kishirikina Njombe.
Na usitudanganye eti international media ndio zinafichua.
TBC wenyewe wanafikaga eneo la tukio na kuripoti mauaji ya hao watoto.
Na huku zinazoathirika ni familia moja moja sio ukanda mzima km vile kenya,we unakuta the whole Northern part wana face hunger huko Kenya.
Tz ni familia moja moja