Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Chezea bapa wewe
Wewe Kafiri huwezi kuongelea dini yenu tu bila kuingiza Uislamu?Kwani pombe ni dhambi?au umesahau muujiza wa kwanza wa Yesu kristo.
Anyway ukijiita mkristo na unaukana uungu wa kristo Yesu basi wewe umekufuru.
Nisawa na muislamu kuukana upedophile wa mudi.
Itakuwa u mwanafamilia wa timu bapa weweYuko sahihi:
Yohana 20:17
"Yesu akamwambia: “Acha kuning’ang’ania, kwa maana bado sijapanda kwenda kwa Baba. Lakini nenda kwa ndugu zangu, nawe uwaambie, ‘Ninapanda kwenda kwa Baba yangu na Baba yenu na kwa Mungu wangu na Mungu wenu"
Mkuu pombe haijawahi kuwa dhambi wala Yesu sio Mungu kwa mujibu wa BibiliaAlianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali.
Akitoka kwenye huduma anapita na bapa, bapa likaweka maskani katika ubongo wake kisha likampotezea upako wake wote.
Leo hii mzee wa upako hamtambui Yesu kuwa ni Mungu.
Biblia inaonya... ".. Msilewe kwa mvinyo ambao kuna ufisadi ndani yake.."
Bapa limeshapita na mzee wa upako, hana upako tena, kwa sasa ni mlevi tu kama kina John Walker.
Wana familia wa madhabahu ya mzee wa upako pale Kibangu tujuane hapa.
Nimeipenda hiiYuko sahihi:
Yohana 20:17
"Yesu akamwambia: “Acha kuning’ang’ania, kwa maana bado sijapanda kwenda kwa Baba. Lakini nenda kwa ndugu zangu, nawe uwaambie, ‘Ninapanda kwenda kwa Baba yangu na Baba yenu na kwa Mungu wangu na Mungu wenu"
Hapana.Itakuwa u mwanafamilia wa timu bapa wewe