Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Faru John
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwa nini mnawafanya mashoga kama wana dhambi 'special' sana? Mimi kuwabariki nadhani ni njia sahihi kabisa ya kuwarudisha kwenye utukufu wa Mungu. Kwa nini wezi, wauaji, wasema uongo, wazinzi nk wanaweza kubarikiwa na kuwa watu wema, ila mashoga inaonekana kama hawatakiwi kabisa katika neema ya kitubio? Ndio maandiko yanaagiza hivyo?Vipi wale wanaobariki mashoga
Mdogo wako pale jahanamu hajambo?kuna sheik mmoja anaswalisha ila kila ijumaa ana agiza kitimoto kilo cha rost nusu kavu. nitamtunzia siri isije kuwa kesi hapo dar
Asante, ni ngumu sana kuelezea mambo ya kiroho.Me binafsi nilikua njia panda sana kuhusu kauli za mzee wa upako. Lakini andiko lako nmelielewa vyema sana mtumishi. Na nmepata amani ya moyo. Ubarikiwe
Mwanzo 1:26
Mke wake mwenyewe anaitwa Happyness Ngasala ni mfanyakazi wa TBC wala hasali kwenye kanisa la mumewe.Alianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali.
Akitoka kwenye huduma anapita na bapa, bapa likaweka maskani katika ubongo wake kisha likampotezea upako wake wote.
Leo hii mzee wa upako hamtambui Yesu kuwa ni Mungu.
Biblia inaonya... ".. Msilewe kwa mvinyo ambao kuna ufisadi ndani yake.."
Bapa limeshapita na mzee wa upako, hana upako tena, kwa sasa ni mlevi tu kama kina John Walker.
Wana familia wa madhabahu ya mzee wa upako pale Kibangu tujuane hapa.
This is Nice piece of religious propaganda.Yesu ni Mwanadamu kamili na Mungu kamili.
Yaani Mungu wa Wakristo huwa anakuja duniani kuongea na watu wake kwa kujibadilisha umbo la mwanadamu au moto ili watu wasidhurike.
Hebu nijibu
Qurani inapo sema
Kile kijinga cha moto kilichomtokea Musa katika Bonde la Tua na Kumwamuru avue viatu sehemu takatifu na nyinyi mmetii hadi hii leo
Kilikuwa Kijinga cha moto au Mungu?
Naomba jibu hapokwanza.
.............
Nabii Ibrahimu aliwahi tembelewa na Mungu akiwa katika umbo la binadamu pia
Mwanzo 18:1...
Bwana akamtokea Ibrahimu karibu na mialoni ya Mamre, alipokuwa ameketi mlangoni pa hema yake mchana wakati wa hari.
2 Akainua macho yake akaona, na tazama, 👉watu watatu wamesimama mbele yake. Naye alipowaona alipiga mbio kuwalaki kutoka mlangoni pa hema, akainama mpaka nchi,
3 akasema, Bwana wangu, kama nimeona fadhili machoni pako nakuomba usinipite sasa mimi mtumwa wako.
.............
Biblia ilisha tabiri kuwa atazaliwa mtoto wa kiume ambaye Mungu atatumia mwili wake kuja duniani kuongea na wanadamu kama alivyofanya kwa Ibrahimu.
Hivyo akiwa katika huo mwili wanaojua wanamwita Mungu kama alivyo mwita Nabii Ibrahimu.
Isaya 9:6
Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa,
Tumepewa mtoto mwanamume;
Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake;
Naye ataitwa jina lake,
Mshauri wa ajabu,
👉Mungu mwenye nguvu,
Baba wa milele,
Mfalme wa amani.
Mathayo 1:20
Basi alipokuwa akifikiri hayo, tazama, malaika wa Bwana alimtokea katika ndoto, akisema, Yusufu, mwana wa Daudi, usihofu kumchukua Mariamu mkeo, maana mimba yake ni kwa uweza wa Roho Mtakatifu.
21 Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao.
22 Hayo yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa nabii (Isaya hapo juu) akisema,
23 Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli;
Yaani, 👉Mungu pamoja nasi.
Hapa Yesu anazungumza kama mtu.
Yohana (Joh) 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
Hapa Yesu anazungumza kama Mungu.
Mathayo (Mat) 9:2
Na tazama, wakamletea mtu mwenye kupooza, amelala kitandani; naye Yesu, alipoiona imani yao, alimwambia yule mwenye kupooza,
👉Jipe moyo mkuu, mwanangu, umesamehewa dhambi zako.
Hapa ndugu zake Wayahudi wanataka kumwadhibu kwa kujiita Mungu.
Yohana (Joh) 10:33 Wayahudi wakamjibu, Kwa ajili ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa kukufuru, na kwa sababu 👉wewe uliye mwanadamu wajifanya mwenyewe u Mungu.
Hapa wanafunzi wake baadae wakamtambua na kumwita Mungu.
Yohana 20:27
Kisha akamwambia Tomaso, Lete hapa kidole chako; uitazame mikono yangu; ulete na mkono wako uutie ubavuni mwangu, wala usiwe asiyeamini, bali aaminiye.
28 Tomaso akajibu, akamwambia,
👉Bwana wangu na Mungu wangu!
29 Yesu akamwambia, Wewe, kwa kuwa umeniona, umesadiki; wa heri wale wasioona, wakasadiki.
(akina faiza)
.................
Kuna siku Yesu aliwakumbusha ndugu zake Wayahudi kuwa, niliwahi kumtembelea Ibrahimu na alifurahi sana na alinijua nikiwa katika hali ya mwili wa mwanadamu.
(soma Mwanzo 18:1...)
Akisema
Yohana 8
56 Ibrahimu, baba yenu, alishangilia kwa vile atakavyoiona siku yangu; naye akaiona, akafurahi.
57 Basi Wayahudi wakamwambia, Wewe hujapata bado miaka hamsini, nawe umemwona Ibrahimu?
58 Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko.
59 Basi wakaokota mawe ili wamtupie; lakini Yesu akajificha, akatoka hekaluni.
...............
Kama ndugu zake wengine Wayahudi hawakumtambua, tunamlaumuje huyo Mnyachusa wa Mbozi?
..............
Yesu ni Mwanadamu kamili na Mungu kamili.
Na aliitwa hivyo toka zama za Nabii Isaya na za Agano jipya na sio kweli kuwa, sisi wakristo kuwa wa kwanza kumwita hivyo.
Hivyo wenye macho ya Kiroho wanamjua Yesu katika hizo pande mbili.
Akina mimi ndio hivyo tena tunamwona Yesu mtoto wa Mariamu tu. (akina mzee wa upako)
Naomba Waislamu mnijibu swali langu la pale juu.
Niliuliza.
Kile kijinga cha moto kilichomtokea Musa kule bonde la Tua kama Qurani inavyosema na kumwamuru Nabii Musa avue viatu vyake pale patakatifu, nyinyi hadi leo mnavua viatu ndani ya misikiti yenu, kwa amri ya kijinga cha moto tu alicho amuriwa Nabii Musa kabla ya Muhammadi, kabla ya Qurani na kabla ya Uislamu.
Kile kijinga kilikuwa moto wa kawaida wa kimuujiza tu, au
Mwenyezi Mungu mnaye mwabudu?
Huyu kama sure😁😁When the time comes,people will seek the truth in all things,
They get it when they are ready to hear it.
Ni kukomaza mifuvu tu.This is Nice piece of religious propaganda.
Bible mention NOTHING about Holy Trinity Of God
Kinachofanyika ni kuokoteza mistari ya kwenye vitabu vya Bibilia na na kuifanyia tafsiri ili kuijengea hoja kwamba inamaanisha Yesu na Roho mtakatifu ni Mungu pia..... Na wakati huo kuna mistari mingi zaidi inayo onyesha Mungu hana mshirika
Wote tunajua lini, nani, na kwanini dhana hii ya utatu mtakatifu wa Mungu ilikua developed kupitia idea za watu
Mimi wapi nimesema kuna Holly Trinity ?This is Nice piece of religious propaganda.
Bible mention NOTHING about Holy Trinity Of God
Kinachofanyika ni kuokoteza mistari ya kwenye vitabu vya Bibilia na na kuifanyia tafsiri ili kuijengea hoja kwamba inamaanisha Yesu na Roho mtakatifu ni Mungu pia..... Na wakati huo kuna mistari mingi zaidi inayo onyesha Mungu hana mshirika
Wote tunajua lini, nani, na kwanini dhana hii ya utatu mtakatifu wa Mungu ilikua developed kupitia idea za watu
Nakumbuka aliandamwa sanasema huyu mzee wabongo kuna kipindi wakawa wanasema ameathirika, mara ana kisukari mara pressure ila ukiwa mtu maarufu ni shida sana maneno yote machafu yatakuishia wewe
Wewe mpumbavu Biblia siyo kanisa!! Kanisa ni utatatibu wa kusali kumuomba Mungu.This is Nice piece of religious propaganda.
Bible mention NOTHING about Holy Trinity Of God
Kinachofanyika ni kuokoteza mistari ya kwenye vitabu vya Bibilia na na kuifanyia tafsiri ili kuijengea hoja kwamba inamaanisha Yesu na Roho mtakatifu ni Mungu pia..... Na wakati huo kuna mistari mingi zaidi inayo onyesha Mungu hana mshirika
Wote tunajua lini, nani, na kwanini dhana hii ya utatu mtakatifu wa Mungu ilikua developed kupitia idea za watu
Mkuu napata shida sana kuelewa vifungu vya Biblia tafadhali nifafanulie mkuuYohana 1:1-8
1 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. 3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika. 4 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu. 5 Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza. 6 Palitokea mtu, ametumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana. 7 Huyo alikuja kwa ushuhuda, ili aishuhudie ile nuru, wote wapate kuamini kwa yeye. 8 Huyo hakuwa ile nuru, bali alikuja ili aishuhudie ile nuru. 9 Kulikuwako Nuru halisi, amtiaye nuru kila mtu, akija katika ulimwengu.
Hatimae nimeelewaAsante, ni ngumu sana kuelezea mambo ya kiroho.
Yesu baada ya kubatizwa na Yohana Mbatizaji tunasoma Roho wa Mungu alimshukia kwa mfano wa njiwa na kuishi ndani yake.
Ndio maana Yesu hakuanza kuhubiri rasmi hadi alipobatizwa na Yohana na kushukiwa na Roho Mtakatifu.
Achana na zile za utotoni alipokuwa anawafundisha wazee wa hekaluni.
Roho Mtakatifu alipomshukia kwanza kabisa akamwongoza jangwani alikofunga kwa siku arobaini huku akimwongoza kujaribiwa na Shetani yaani Ibirisi mkuu.
Aliporudi toka katika mfungo wake ndipo alienda Sinagogini na kupewa kitabu cha nabii Isaya na kuanza kukisoma.
Luka (Luk) 4:18
Roho wa Bwana yu juu yangu, Kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema. Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao, Na vipofu kupata kuona tena, Kuwaacha huru waliosetwa,
Luka (Luk) 4:21
Akaanza kuwaambia, Leo maandiko haya yametimia masikioni mwenu.
Luka (Luk) 4:28
Wakajaa ghadhabu wote waliokuwa katika sinagogi walipoyasikia hayo.
.........
Unajua ni kwanini Wayahudi walijaa ghadhabu walipo yasikia hayo maneno?
Kwao alikuwa amekufuru.
........
Kwanini iwe hivyo.
Wafalisayo waliamini kuwa kuna kiyama na watu kufufuka baada ya kifo chao na kwenda Mbinguni au Motoni.
Masadukayo hayakuamini hayo mafundisho.
Ubishani ulikuwa mkali sana.
Na manabii wengi walikuwa hawana utakatifu hivyo kukoseakosea katika mafundisho yao.
Hapo Mungu ndipo alipoamua kushuka duniani kueleza kweli ya Mungu kwa usahihi.
Alifanya hivyo kupitia mwili wa Mwanadamu yaani mtu Yesu ambaye alikuwa Mtakatifu. Na mafundisho makuu yalikuwa manne.
Kupitia Yesu Kristo wanadamu wajue
1. Kueleza namna Kumwabudu Mungu kwa Roho na Kweli
2. Kueleza kuwa lazima kizazi hiki Kibatizwe ili kuiondoa laana aliyopewa Adamu na Hawa
3. Kuthibitishakuwa Mwanadamu atakufa na kufufuka
4. Kueleza kuwa Mwanadamu ataenda Mbinguni baada ya kufufuliwa katika wafu.
Hivyo kufanya mabishano ya Wafalisayo na Masadukayo kupata jibu na kuacha mabishano ambayo yangeweza kuenea dunia nzima.
Yesu aliongozwa na Mungu akiwa ndani yake hadi siku anasuribiwa pale msalabani
Yohana (Joh) 10:38 lakini nikizitenda, ijapokuwa hamniamini mimi, ziaminini zile kazi; mpate kujua na kufahamu ya kuwa Baba yu ndani yangu, nami ni ndani ya Baba.
Alipo karibia kufa alilia
"Mungu wangu mbona unaniacha"
Kumbuka Mungu hakai katika Maiti ya mtu.
Alipoanza kwenda zake Mbinguni na yule aliyesuribiwa upande wa kulia kwa Yesu.
Hapo Yesu akaanza kuona anaishiwa nguvu na kuyasikia maumivu ya misumari. Ndipo alilia hivyo huyo ni Yesu Mwanadamu.
Kumbuka wakati Mungu anaondoka taratibu ndani ya Yesu Dunia ilitikisika Jua likazima kwa masaa matatu na nusu, wafu wakafufuka na kuanza kutembea mitaani, ilikuwa hali ya kutisha sana
Wanatheolijia wanasema kama Mungu angeondoka ndani ya Yesu chini ya hayo masaa yaani angeondoka ghafla, basi dunia ingapasuka vipande vipande na jua kufa kabisa na kuwa mwisho wa maisha.
Ni somo refu kidogo ila ni la Kiroho zaidi.
Bila kumung'unya maneno.
Ukisikia mafundisho yanasema Yesu hakufa wala kufufuka basi ujue ni mafundisho ya mpinga kristo hayo.
Inamaana tunarudishwa kulekule kwa mabishano ya Mafarisayo na Masadukayo.
Kinacho nishangaza
Mtu akiwa na Majini yaani Mapepo.
Tufanye huyo mtu anaitwa Maneno.
Watu wanaamini kuwa pepo liko ndani ya maneno.
Na hayo mapepo yakiamua kuongea jambo.
Watu wanaamini pepo limeongea na sio mtu aitwaye Maneno.
Hao hao hawataki kuamini kuwa.
Mungu anaweza kuwa ndani ya mtu, aitwe Yakobo, na huyo Mungu akaongea mambo fulani.
Ila hawataki kabisa kusema huyo anaye ongea ni Mungu na sio Yakobo.
Hapo wanamaanisha Mapepo yana uwezo kupita Mungu.
Mungu kuwa ndani ya Yesu au kumtembelea Nabii Ibrahimu haimanishi kuwa mda huo hakuwepo sehemu nyingine.
Mungu ni Omnipresence, yaani yuko pote wakati wote.
Binadamu ana
mwili mmoja,
nafsi moja na
roho moja.
Hiyo haipo kwa Mungu.
Mungu ana Nafsi na Roho zisizohesabika.
Ndio maana halinganishwi na Kiumbe chochote.
Sasa hawa jamaa tukisema hapa duniani tumemwona Mungu katika nafsi tatu tu
Nafsi kama Baba
Nafsi kama Mwana wa Mungu, na
Nafsi kama Roho Mtakatifu
(wao wanamwita Roho Mwaminifu)
Inakuwa kelele na vulugu tele.
Na ubishi na kashfa.
Bila kusahau kitabu chao pia kinataja nafsi tatu za Mungu pia
Yesu, Mwana, Qurani inamtaja kama.
1. Neno la Mungu (sawa na yohana 1:1
Baba imemtaja kama
2. Mola Mlezi.
Roho Mtakatifu imemtaja kama
3. Roho Mwaminifu.
Hao sio Mungu watatu ni Mungu mmoja tu.
Ni kwakuwa tu hawana elimu ya Kiroho.
Na hawayaelewi maandiko yao kiundani.
Na wanajifanya washajua kila kitu.
Pole kwa andiko refu sana