Bapa limepita na mzee wa upako

Bapa limepita na mzee wa upako

Holy Trinity maana yake kuna Mungu Baba, Mungu Mwana na Roho Mtakatifu...... hiyo ni lugha tu

Dhana hii muanzilishi anajulikana na baraza lililoidhinisha itumike rasmi kanisani linajulikana
Mimi nimesema mahali kuwa kuna holly Trinity?
Hiyo maana yako ni yako wewe,
Mimi sihusiki nayo.
Ni kwanini unasema maneno yako na unasema nimesema mimi?
Mimi kuna popote nilipo tamka mambo ya Holly Trinity ?
Nukuu na utuwekee hapa.

Sipendi kujibishana na wapumbavu
 
Yesu ni Mwanadamu kamili na Mungu kamili.
Yaani Mungu wa Wakristo huwa anakuja duniani kuongea na watu wake kwa kujibadilisha umbo la mwanadamu au moto ili watu wasidhurike.

Hebu nijibu
Qurani inapo sema
Kile kijinga cha moto kilichomtokea Musa katika Bonde la Tua na Kumwamuru avue viatu sehemu takatifu na nyinyi mmetii hadi hii leo
Kilikuwa Kijinga cha moto au Mungu?

Naomba jibu hapokwanza.
.............
Nabii Ibrahimu aliwahi tembelewa na Mungu akiwa katika umbo la binadamu pia

Mwanzo 18:1...
Bwana akamtokea Ibrahimu karibu na mialoni ya Mamre, alipokuwa ameketi mlangoni pa hema yake mchana wakati wa hari.
2 Akainua macho yake akaona, na tazama, 👉watu watatu wamesimama mbele yake. Naye alipowaona alipiga mbio kuwalaki kutoka mlangoni pa hema, akainama mpaka nchi,
3 akasema, Bwana wangu, kama nimeona fadhili machoni pako nakuomba usinipite sasa mimi mtumwa wako.
.............
Biblia ilisha tabiri kuwa atazaliwa mtoto wa kiume ambaye Mungu atatumia mwili wake kuja duniani kuongea na wanadamu kama alivyofanya kwa Ibrahimu.

Hivyo akiwa katika huo mwili wanaojua wanamwita Mungu kama alivyo mwita Nabii Ibrahimu.

Isaya 9:6
Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa,
Tumepewa mtoto mwanamume;
Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake;
Naye ataitwa jina lake,
Mshauri wa ajabu,
👉Mungu mwenye nguvu,
Baba wa milele,
Mfalme wa amani.

Mathayo 1:20
Basi alipokuwa akifikiri hayo, tazama, malaika wa Bwana alimtokea katika ndoto, akisema, Yusufu, mwana wa Daudi, usihofu kumchukua Mariamu mkeo, maana mimba yake ni kwa uweza wa Roho Mtakatifu.
21 Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao.
22 Hayo yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa nabii (Isaya hapo juu) akisema,

23 Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli;
Yaani, 👉Mungu pamoja nasi.

Hapa Yesu anazungumza kama mtu.
Yohana (Joh) 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Hapa Yesu anazungumza kama Mungu.
Mathayo (Mat) 9:2
Na tazama, wakamletea mtu mwenye kupooza, amelala kitandani; naye Yesu, alipoiona imani yao, alimwambia yule mwenye kupooza,
👉Jipe moyo mkuu, mwanangu, umesamehewa dhambi zako.

Hapa ndugu zake Wayahudi wanataka kumwadhibu kwa kujiita Mungu.
Yohana (Joh) 10:33 Wayahudi wakamjibu, Kwa ajili ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa kukufuru, na kwa sababu 👉wewe uliye mwanadamu wajifanya mwenyewe u Mungu.

Hapa wanafunzi wake baadae wakamtambua na kumwita Mungu.
Yohana 20:27
Kisha akamwambia Tomaso, Lete hapa kidole chako; uitazame mikono yangu; ulete na mkono wako uutie ubavuni mwangu, wala usiwe asiyeamini, bali aaminiye.
28 Tomaso akajibu, akamwambia,
👉Bwana wangu na Mungu wangu!
29 Yesu akamwambia, Wewe, kwa kuwa umeniona, umesadiki; wa heri wale wasioona, wakasadiki.
(akina faiza)
.................
Kuna siku Yesu aliwakumbusha ndugu zake Wayahudi kuwa, niliwahi kumtembelea Ibrahimu na alifurahi sana na alinijua nikiwa katika hali ya mwili wa mwanadamu.
(soma Mwanzo 18:1...)

Akisema
Yohana 8
56 Ibrahimu, baba yenu, alishangilia kwa vile atakavyoiona siku yangu; naye akaiona, akafurahi.
57 Basi Wayahudi wakamwambia, Wewe hujapata bado miaka hamsini, nawe umemwona Ibrahimu?
58 Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko.
59 Basi wakaokota mawe ili wamtupie; lakini Yesu akajificha, akatoka hekaluni.
...............
Kama ndugu zake wengine Wayahudi hawakumtambua, tunamlaumuje huyo Mnyachusa wa Mbozi?
..............
Yesu ni Mwanadamu kamili na Mungu kamili.
Na aliitwa hivyo toka zama za Nabii Isaya na za Agano jipya na sio kweli kuwa, sisi wakristo kuwa wa kwanza kumwita hivyo.
Hivyo wenye macho ya Kiroho wanamjua Yesu katika hizo pande mbili.
Akina mimi ndio hivyo tena tunamwona Yesu mtoto wa Mariamu tu. (akina mzee wa upako)

Naomba Waislamu mnijibu swali langu la pale juu.
Niliuliza.

Kile kijinga cha moto kilichomtokea Musa kule bonde la Tua kama Qurani inavyosema na kumwamuru Nabii Musa avue viatu vyake pale patakatifu, nyinyi hadi leo mnavua viatu ndani ya misikiti yenu, kwa amri ya kijinga cha moto tu alicho amuriwa Nabii Musa kabla ya Muhammadi, kabla ya Qurani na kabla ya Uislamu.
Kile kijinga kilikuwa moto wa kawaida wa kimuujiza tu, au
Mwenyezi Mungu mnaye mwabudu?
Naona unajisumbuwa tu, huelewi hata kutumia sicial media.

Hivi kwa upunguwani wako unadhani nani mwenye muda wa kusoma porojo zako za kukopi na kupesti?
 
Naona unajisumbuwa tu, huelewi hata kutumia sicial media.

Hivi kwa upunguwani wako unadhani nani mwenye muda wa kusoma porojo zako za kukopi na kupesti?
Asante, mimi naandikaga porojo tu, na nashukuru umelitambua hilo kwakuwa wewe ni mwanamke unaye julikana na kukubalika sana katika jamii forum na ni msomi sana.
Mimi kwako naomba unisamehe tu kwa kuto kujua kwangu.
Wewe ni mjuzi wa yote.
Nisamehe bure tu dada yangu.
Na naomba uwe unanielimisha ninapo kosea.
 
Asante, mimi naandikaga porojo tu, na nashukuru umelitambua hilo kwakuwa wewe ni mwanamke unaye julikana na kukubalika sana katika jamii forum na ni msomi sana.
Mimi kwako naomba unisamehe tu kwa kuto kujua kwangu.
Wewe ni mjuzi wa yote.
Nisamehe bure tu dada yangu.
Na naomba uwe unanielimisha ninapo kosea.
"Mjuzi wa yote" ni Allah pekee.
 
Sawa mimi nimekukubali wewe.
Una swali lingine?

Ila ungepatikana muda tuka ongea kidogo tu usingesema tena kama unavyo sema sasa hivi.

Mimi ni msomi wa ngazi ya Uzamivu yaani PhD.
Wengi hawajui hata hiyo mambo ya maana ya PhD ni nini.
Wengine wanasema ni Pull Heaven Down. PHD.

Hata hizo maana, kuna aina kumi na sita (16) za maana.
Wewe unamaanisha maana ipi ?

Kuna maana mjalizo ushawahi kuisikia ?
Yaani kwa kimombo ni konotative meaning

Kwenye presantation ya Phd unaulizwa kila mstari.

Utaulizwa tu swali kama,
Unaposema maana una maana gani?
Hapo kuna maana mbili utaanza na ipi ?

Niache nakunywa bia na kulala usingizi mnono.

Tuendelee kulea wajukuu wetu.
Dunia ya sasa iko mbali sana na watu wana maarifa mengi sana.

Unapojifanya kuwa ni mjuaji wa kisasa, wasomi halisi watakuona kuwa bado ni mjinga wa mambo ya kale.

Wasomi wa sasa hivi wanajifanya wajinga ili waendelee kujifunza mambo mengine.

Ukijifanya msomi, watu wenye maarifa watakukimbia na utabaki na ujinga wako.
Utakuwa umesomea ujinga.
 
Ukweli huwa aukaliliwi huwa unaeleweka,ilikujua Kama anakosea au anasema kweli sharti usome na uelewe,ahamanishi kutomtambua yesu na kazi yake aliyo kuja kuifanya duniani Ila uelewa wake juu ya yesu ni Nani ni tofauti na watu wengi, Sasa yafaa kumkabili kwa hoja zenye uthibitisho kuwa yesu ni mungu.
 
Huyu bwana tutasota nae sana kwenye lile bwawa la moto tulilohadiwa watenda zambi tena yeye atakuwa kwenye kabwawa kake alikotengewa kenye moto mkali sana na mabapa yake atapewa aendelee kuyanywa huku anatokota kwenye moto
 
Wazungu wanatoka ulaya kuja Afrika kutalii kwa ghalama zao,
Wanatukuta waafrika tunabishana mambo ya dini na ya kufikirika.
Wao wanatafuta mali za Bahari, misitu na ardhi, na kuwatajirisha na wana ondoka zao na mali ya utajiri kibao.

Hivi nikikuuliza wewe faiza, huyo Allah na mtume wako Muhammadi wamekusaidia nini wewe kama wewe ?
Waarabu walikuzuga uwaamini Allah na mtume wake wa pekee Muhammadi ambao wote ni marehemu.
Allah kafa na Muhammadi kafa, wewe kama wewe wamekunufaisha nini cha maana zaidi ya kukufanya uwe mtumwa wa fikra zao ?

Labda nikuu ulize swali jepesi sana.
Tupe mafanikio yako toka usilimu na kuwa Mwislamu ?
Weka hapa data zako ambazo umezipata kwenye uislamu.

Wazungu na waarabu wanatuzuga kwa dini zao feki huku wakituibia na kutajirika na mali zetu.

Nakusubiri Faiza,

Nipe mafanikio yako toka usilimu na kuwa Mwislamu
Ambayo usingekuwa Mwislamu usinge fikia hayo mafanikio yako.

Nitaongea na wewe ukinibu hili swali langu.
Usipo nijibu sitaki tena uninukuu na kuongea pumba zako.
Nikuibie tu siri Faiza ni mke wa Allah
 
Mkuu Bibilia haija mung’unya maneno kabisa kuhusu Mungu ni nani....... ipo very clear Mungu ni nani
Mustakabali wa Mungu ni wanamna gani sio jukumu la Wakristo wa awali kujadili na kumuamulia Mungu awe na nafsi ngapi
Mungu ni Mungu kwa mujibu wa Bibilia

Yesu na the so called Roho mtakatifu sio Mungu
Utatu wa Mungu ni FAKE kwa mujibu wa Bibilia

Nikikwambia nitajie andiko moja linalosema Mungu ni utatu mtakatifu utaanza kuokoteza vimistari vya kuunga uunga kuhalalisha uongo huu
Walikuamulia bibilia. Tafuta heresies. Yani wewe ni bora ata mpagani.
 
Mkuu you went straight into attack mode
POLE KAMA NIMEKUKWAZA

Naomba nikupe taarifa ambayo najua kuwa unaijua ila unajifanya huijui

Yesu hakuanzisha kanisa wala hajawahi kusali kanisani

Waliokuja kuanzisha kanisa baada ya Yesu walikua na taratibu zao ambazo kwa asilimia kubwa mmno zilikuja kubadilishwa na kuanzishwa taratibu mpya haswa baada ya Warumi kuifanya dini rasmi wa dola
Dola ya Rumi ilitumia influence kuwafanya mapapa kuamua mambo ku favor utawala wao

Taratibu hizo zilikuja kuzaa vitu kama.
Jumapili kama sabato
Utatu mtakatifu nk nk
Desturi nyingi za Kanisa la Roma ndio msingi wa makanisa karibia yote duniani kwasababu Warumi walisambaza dini kupitia dola lao kwa kiasi kikubwa
Soma Matayo 16:18 "Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda"

Kanisa siyo jengo weee ndezi

Sijui unasoma Biblia ukiwa umetumia bangi au kilevi gani?
 
Back
Top Bottom