Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Nataka nifungue taasisi niite Neno la Uzima.
Ili kuwaelewesha Waislamu na Wakristo wasio lielewa neno fasaha la Mungu.
Waislamu maandiko yao ni ya Kiarabu tu.
Sisi wamakonde tunafuata tu kinacho zungumzwa na wasio jua Kiarabu.
Wakristo wengi pia hawajui maana ya kumwabudu Mungu katika Roho na Kweli.
Ukiwauliza hiyo kweli ninini ?
hawajui.
Ukiwauliza hiyo Roho ni ninini hawajui.
Na walimu wa dini wameshikiria mambo ya sadaka na matoleo tu, na hawajui chochote zaidi ya hayo mambo ya zaka.
Mwisho wa siku itakuwa kama alivyo fundisha mwanadamu, mtoto wa Mariamu Yesu Kristo.
.........
Mathayo (Mat) 15:14
Waacheni; hao ni viongozi vipofu wa vipofu. Na kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, watatumbukia shimoni wote wawili.
Ila bado naomba ruhusa.
Maana imeandikwa, tusiwe waalimu wengi.