Bapa limepita na mzee wa upako

Bapa limepita na mzee wa upako

Yuko sahihi:
Yohana 20:17
"Yesu akamwambia: “Acha kuning’ang’ania, kwa maana bado sijapanda kwenda kwa Baba. Lakini nenda kwa ndugu zangu, nawe uwaambie, ‘Ninapanda kwenda kwa Baba yangu na Baba yenu na kwa Mungu wangu na Mungu wenu"
Hapa utakuwa umempoteza mleta uzi vibaya maana ni mweupe kwenye maandiko.
 
Fundisho la kwamba Yesu ni Mungu lilianza mwaka 325 baada ya Emperor Constantine wa Rome ambaye hata hakuwa mkristo aliwalazimisha maaskofu wa kikatoliki wamtambue Yesu kuwa Mungu. Wakristo wa mapema walimjua Mungu mmoja tu, baba yake Yesu.
Screenshot_20240611_083911.jpg
 
Alianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali.

Akitoka kwenye huduma anapita na bapa, bapa likaweka maskani katika ubongo wake kisha likampotezea upako wake wote.

Leo hii mzee wa upako hamtambui Yesu kuwa ni Mungu.

Biblia inaonya... ".. Msilewe kwa mvinyo ambao kuna ufisadi ndani yake.."

Bapa limeshapita na mzee wa upako, hana upako tena, kwa sasa ni mlevi tu kama kina John Walker.

Wana familia wa madhabahu ya mzee wa upako pale Kibangu tujuane hapa.
Amesema kweli, yesu sioukit

Wana familia wa madhabahu ya mzee wa upako pale Kibangu tujuane hapa.akari Kwa

Alianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali.

Akitoka kwenye huduma anapita na bapa, bapa likaweka maskani katika ubongo wake kisha likampotezea upako wake wote.

Leo hii mzee wa upako hamtambui Yesu kuwa ni Mungu.

Biblia inaonya... ".. Msilewe kwa mvinyo ambao kuna ufisadi ndani yake.."

Bapa limeshapita na mzee wa upako, hana upako tena, kwa sasa ni mlevi tu kama kina John Walker.

Wana familia wa madhabahu ya mzee wa upako pale Kibangu tujuane hapa.
Ukitafakari Kwa kina utafahamu kuwa yupo sahihi kabisa . Kiukweli mwenyezimungu alikuwepo Kabla Dunia haijaumbwa. Yesu ni mtume wa mwenyezimungu nae ameumbwa. Vp yesu awe mungu na mungu hazaliwi Wala hazai.
 
Mnahangaika sana, suluhisho ni Uislam tu.
Yesu ni Mwanadamu kamili na Mungu kamili.
Yaani Mungu wa Wakristo huwa anakuja duniani kuongea na watu wake kwa kujibadilisha umbo la mwanadamu au moto ili watu wasidhurike.

Hebu nijibu
Qurani inapo sema
Kile kijinga cha moto kilichomtokea Musa katika Bonde la Tua na Kumwamuru avue viatu sehemu takatifu na nyinyi mmetii hadi hii leo
Kilikuwa Kijinga cha moto au Mungu?

Naomba jibu hapokwanza.
.............
Nabii Ibrahimu aliwahi tembelewa na Mungu akiwa katika umbo la binadamu pia

Mwanzo 18:1...
Bwana akamtokea Ibrahimu karibu na mialoni ya Mamre, alipokuwa ameketi mlangoni pa hema yake mchana wakati wa hari.
2 Akainua macho yake akaona, na tazama, 👉watu watatu wamesimama mbele yake. Naye alipowaona alipiga mbio kuwalaki kutoka mlangoni pa hema, akainama mpaka nchi,
3 akasema, Bwana wangu, kama nimeona fadhili machoni pako nakuomba usinipite sasa mimi mtumwa wako.
.............
Biblia ilisha tabiri kuwa atazaliwa mtoto wa kiume ambaye Mungu atatumia mwili wake kuja duniani kuongea na wanadamu kama alivyofanya kwa Ibrahimu.

Hivyo akiwa katika huo mwili wanaojua wanamwita Mungu kama alivyo mwita Nabii Ibrahimu.

Isaya 9:6
Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa,
Tumepewa mtoto mwanamume;
Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake;
Naye ataitwa jina lake,
Mshauri wa ajabu,
👉Mungu mwenye nguvu,
Baba wa milele,
Mfalme wa amani.

Mathayo 1:20
Basi alipokuwa akifikiri hayo, tazama, malaika wa Bwana alimtokea katika ndoto, akisema, Yusufu, mwana wa Daudi, usihofu kumchukua Mariamu mkeo, maana mimba yake ni kwa uweza wa Roho Mtakatifu.
21 Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao.
22 Hayo yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa nabii (Isaya hapo juu) akisema,

23 Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli;
Yaani, 👉Mungu pamoja nasi.

Hapa Yesu anazungumza kama mtu.
Yohana (Joh) 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Hapa Yesu anazungumza kama Mungu.
Mathayo (Mat) 9:2
Na tazama, wakamletea mtu mwenye kupooza, amelala kitandani; naye Yesu, alipoiona imani yao, alimwambia yule mwenye kupooza,
👉Jipe moyo mkuu, mwanangu, umesamehewa dhambi zako.

Hapa ndugu zake Wayahudi wanataka kumwadhibu kwa kujiita Mungu.
Yohana (Joh) 10:33 Wayahudi wakamjibu, Kwa ajili ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa kukufuru, na kwa sababu 👉wewe uliye mwanadamu wajifanya mwenyewe u Mungu.

Hapa wanafunzi wake baadae wakamtambua na kumwita Mungu.
Yohana 20:27
Kisha akamwambia Tomaso, Lete hapa kidole chako; uitazame mikono yangu; ulete na mkono wako uutie ubavuni mwangu, wala usiwe asiyeamini, bali aaminiye.
28 Tomaso akajibu, akamwambia,
👉Bwana wangu na Mungu wangu!
29 Yesu akamwambia, Wewe, kwa kuwa umeniona, umesadiki; wa heri wale wasioona, wakasadiki.
(akina faiza)
.................
Kuna siku Yesu aliwakumbusha ndugu zake Wayahudi kuwa, niliwahi kumtembelea Ibrahimu na alifurahi sana na alinijua nikiwa katika hali ya mwili wa mwanadamu.
(soma Mwanzo 18:1...)

Akisema
Yohana 8
56 Ibrahimu, baba yenu, alishangilia kwa vile atakavyoiona siku yangu; naye akaiona, akafurahi.
57 Basi Wayahudi wakamwambia, Wewe hujapata bado miaka hamsini, nawe umemwona Ibrahimu?
58 Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko.
59 Basi wakaokota mawe ili wamtupie; lakini Yesu akajificha, akatoka hekaluni.
...............
Kama ndugu zake wengine Wayahudi hawakumtambua, tunamlaumuje huyo Mnyachusa wa Mbozi?
..............
Yesu ni Mwanadamu kamili na Mungu kamili.
Na aliitwa hivyo toka zama za Nabii Isaya na za Agano jipya na sio kweli kuwa, sisi wakristo kuwa wa kwanza kumwita hivyo.
Hivyo wenye macho ya Kiroho wanamjua Yesu katika hizo pande mbili.
Akina mimi ndio hivyo tena tunamwona Yesu mtoto wa Mariamu tu. (akina mzee wa upako)

Naomba Waislamu mnijibu swali langu la pale juu.
Niliuliza.

Kile kijinga cha moto kilichomtokea Musa kule bonde la Tua kama Qurani inavyosema na kumwamuru Nabii Musa avue viatu vyake pale patakatifu, nyinyi hadi leo mnavua viatu ndani ya misikiti yenu, kwa amri ya kijinga cha moto tu alicho amuriwa Nabii Musa kabla ya Muhammadi, kabla ya Qurani na kabla ya Uislamu.
Kile kijinga kilikuwa moto wa kawaida wa kimuujiza tu, au
Mwenyezi Mungu mnaye mwabudu?
 
Alianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali.

Akitoka kwenye huduma anapita na bapa, bapa likaweka maskani katika ubongo wake kisha likampotezea upako wake wote.

Leo hii mzee wa upako hamtambui Yesu kuwa ni Mungu.

Biblia inaonya... ".. Msilewe kwa mvinyo ambao kuna ufisadi ndani yake.."

Bapa limeshapita na mzee wa upako, hana upako tena, kwa sasa ni mlevi tu kama kina John Walker.

Wana familia wa madhabahu ya mzee wa upako pale Kibangu tujuane hapa.
kuna sheik mmoja anaswalisha ila kila ijumaa ana agiza kitimoto kilo cha rost nusu kavu. nitamtunzia siri isije kuwa kesi hapo dar
 
Mkuu pombe haijawahi kuwa dhambi wala Yesu sio Mungu kwa mujibu wa Bibilia

Ni kutokujua kwako maandiko ndio tatizo lako
Kama huamini Yesu ni Mungu unakosa sifa ya kuwa mkristo. Wenzako walishalijadili hili suala Karne za mwanzo kabisa na ikakubalika. Ndio maana tunaitwa wakristo. Sasa ni ajabu mnakataa Umungu wake. Aibu.
 
Zipo dini zinaufahamu wa mambo ya kimwili mwili tu.
Utawasikia wanauliza Mungu anakula?
Mungu anakufa?

Na mimi nawauliza
Mungu wenu ni kijinga cha moto?
Mungu wenu anawaka kwenye kichaka?
.........
Mungu hali na wala hafi na wala sio kijinga cha moto.
Na sio Mwanadamu
........
Yohana (Joh) 4:24
Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
.......
Mungu ni Roho Takatifu na kwakuwa ndiye chanzo cha uhai anaitwa
Roho Mtakatifu.

Nyie mnamwita Roho Mwaminifu
نَزَلَ بِهِ الرُّوحُ الْأَمِينُ

[ ASH-SHUA'RAA - 193 ]
Ameuteremsha Roho muaminifu,
........
وَلَقَدْ آتَيْنَا مُوسَى الْكِتَابَ وَقَفَّيْنَا مِن بَعْدِهِ بِالرُّسُلِ ۖ وَآتَيْنَا عِيسَى ابْنَ مَرْيَمَ الْبَيِّنَاتِ وَأَيَّدْنَاهُ بِرُوحِ الْقُدُسِ ۗ أَفَكُلَّمَا جَاءَكُمْ رَسُولٌ بِمَا لَا تَهْوَىٰ أَنفُسُكُمُ اسْتَكْبَرْتُمْ فَفَرِيقًا كَذَّبْتُمْ وَفَرِيقًا تَقْتُلُونَ

[ AL - BAQARA - 87 ]
Na hakika tulimpa Musa Kitabu na tukafuatisha baada yake Mitume wengine. Na tukampa Isa, mwana wa Mariamu, hoja zilizo waziwazi, na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu. Basi kila walipo kufikieni Mitume kwa yale ambayo hayapendwi na nafsi zenu, mlijivuna; wengine mkawakanusha, na wengine mkawauwa.
.........
يَوْمَ يَقُومُ الرُّوحُ وَالْمَلَائِكَةُ صَفًّا ۖ لَّا يَتَكَلَّمُونَ إِلَّا مَنْ أَذِنَ لَهُ الرَّحْمَـٰنُ وَقَالَ صَوَابًا

[ ANNABAA - 38 ]
Siku atakapo simama Roho na Malaika kwa safu. Hawatasema ila Mwingi wa rehema aliye mruhusu, na atasema yaliyo sawa tu.
......
Tatizo lenu hamsomi hata vitabu vyenu na kuvielewa.

Mmeambiwa sio mara moja na sio mara mbili na Mungu wenu.

"Kama hamutaelewa mambo tunayo kuambieni, basi waulizeni waliopewa kitabu kabla yenu"
......
Mnaendelea kunishangaza sana.
Badala ya kutuuliza sisi mambo yanayo watatiza mnajifanya ujuaji.
Siku ya kiyama mtaulizwa,
"Ni kwanini hamkuwauliza watu wa kitabu wakuambieni ninavyo taka mimi?"

Sijui mtamjibuje.
Okokeni mbatizwe kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu/Mwaminifu.
Ili mzaliwe upya na kuyatambua mambo ya Kiroho.
Na muache ibada za kutegemea kutawadha miguu na uso, na kutufu pembeni ya Kaaba.
Na kulibusu na kulisujudia Jiwe jeusi la huko Maka
Ili muwe wana wa Mungu na muurithi ufalme wa mbingu.

Ukweli unauma sana lakini ndio tiba pekee.

Ndio maana Wayahudi walimwua ndugu yao Nabii wa Mungu, Yesu Kristo, kwakuwa tu aliwaambia ukweli.

Muda wa ukombozi ni sasa.
 
Haya maswala ya dini Zenu hizi Hadi usimamie ukucha kumtetea Mungu saivi mnaanza Tena kumtetea yesu kuwa ni Mungu yeye yupo kimyaa.

Mimi naabdu Mungu wangu wa mbinguni maswala ya yesu ni Mungu ama sio Mungu mnajua ninyi na wachungaji wenu

Umeongea vizuri sana.
Wewe mwamini unaye mwona katika macho yako na hiyo ndio sahihi kwako.

Maandiko yanasema wazi kabisa.

Hosea (Hos) 11:9
Sitatumia ukali wa hasira yangu, sitarudi kumwangamiza Efraimu; kwa maana mimi ni Mungu, si mwanadamu mimi; mimi ndiye aliye Mtakatifu katikati yenu; wala sitaingia ndani ya mji.

Hata mimi nitamshangaa sana mtu anayemwita mwanadamu kuwa ni Mungu.
 
Yesu ni Mwanadamu kamili na Mungu kamili.
Yaani Mungu wa Wakristo huwa anakuja duniani kuongea na watu wake kwa kujibadilisha umbo la mwanadamu au moto ili watu wasidhurike.

Hebu nijibu
Qurani inapo sema
Kile kijinga cha moto kilichomtokea Musa katika Bonde la Tua na Kumwamuru avue viatu sehemu takatifu na nyinyi mmetii hadi hii leo
Kilikuwa Kijinga cha moto au Mungu?

Naomba jibu hapokwanza.
.............
Nabii Ibrahimu aliwahi tembelewa na Mungu akiwa katika umbo la binadamu pia

Mwanzo 18:1...
Bwana akamtokea Ibrahimu karibu na mialoni ya Mamre, alipokuwa ameketi mlangoni pa hema yake mchana wakati wa hari.
2 Akainua macho yake akaona, na tazama, [emoji117]watu watatu wamesimama mbele yake. Naye alipowaona alipiga mbio kuwalaki kutoka mlangoni pa hema, akainama mpaka nchi,
3 akasema, Bwana wangu, kama nimeona fadhili machoni pako nakuomba usinipite sasa mimi mtumwa wako.
.............
Biblia ilisha tabiri kuwa atazaliwa mtoto wa kiume ambaye Mungu atatumia mwili wake kuja duniani kuongea na wanadamu kama alivyofanya kwa Ibrahimu.

Hivyo akiwa katika huo mwili wanaojua wanamwita Mungu kama alivyo mwita Nabii Ibrahimu.

Isaya 9:6
Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa,
Tumepewa mtoto mwanamume;
Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake;
Naye ataitwa jina lake,
Mshauri wa ajabu,
[emoji117]Mungu mwenye nguvu,
Baba wa milele,
Mfalme wa amani.

Mathayo 1:20
Basi alipokuwa akifikiri hayo, tazama, malaika wa Bwana alimtokea katika ndoto, akisema, Yusufu, mwana wa Daudi, usihofu kumchukua Mariamu mkeo, maana mimba yake ni kwa uweza wa Roho Mtakatifu.
21 Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao.
22 Hayo yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa nabii (Isaya hapo juu) akisema,

23 Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli;
Yaani, [emoji117]Mungu pamoja nasi.

Hapa Yesu anazungumza kama mtu.
Yohana (Joh) 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Hapa Yesu anazungumza kama Mungu.
Mathayo (Mat) 9:2
Na tazama, wakamletea mtu mwenye kupooza, amelala kitandani; naye Yesu, alipoiona imani yao, alimwambia yule mwenye kupooza,
[emoji117]Jipe moyo mkuu, mwanangu, umesamehewa dhambi zako.

Hapa ndugu zake Wayahudi wanataka kumwadhibu kwa kujiita Mungu.
Yohana (Joh) 10:33 Wayahudi wakamjibu, Kwa ajili ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa kukufuru, na kwa sababu [emoji117]wewe uliye mwanadamu wajifanya mwenyewe u Mungu.

Hapa wanafunzi wake baadae wakamtambua na kumwita Mungu.
Yohana 20:27
Kisha akamwambia Tomaso, Lete hapa kidole chako; uitazame mikono yangu; ulete na mkono wako uutie ubavuni mwangu, wala usiwe asiyeamini, bali aaminiye.
28 Tomaso akajibu, akamwambia,
[emoji117]Bwana wangu na Mungu wangu!
29 Yesu akamwambia, Wewe, kwa kuwa umeniona, umesadiki; wa heri wale wasioona, wakasadiki.
(akina faiza)
.................
Kuna siku Yesu aliwakumbusha ndugu zake Wayahudi kuwa, niliwahi kumtembelea Ibrahimu na alifurahi sana na alinijua nikiwa katika hali ya mwili wa mwanadamu.
(soma Mwanzo 18:1...)

Akisema
Yohana 8
56 Ibrahimu, baba yenu, alishangilia kwa vile atakavyoiona siku yangu; naye akaiona, akafurahi.
57 Basi Wayahudi wakamwambia, Wewe hujapata bado miaka hamsini, nawe umemwona Ibrahimu?
58 Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko.
59 Basi wakaokota mawe ili wamtupie; lakini Yesu akajificha, akatoka hekaluni.
...............
Kama ndugu zake wengine Wayahudi hawakumtambua, tunamlaumuje huyo Mnyachusa wa Mbozi?
..............
Yesu ni Mwanadamu kamili na Mungu kamili.
Na aliitwa hivyo toka zama za Nabii Isaya na za Agano jipya na sio kweli kuwa, sisi wakristo kuwa wa kwanza kumwita hivyo.
Hivyo wenye macho ya Kiroho wanamjua Yesu katika hizo pande mbili.
Akina mimi ndio hivyo tena tunamwona Yesu mtoto wa Mariamu tu. (akina mzee wa upako)

Naomba Waislamu mnijibu swali langu la pale juu.
Niliuliza.

Kile kijinga cha moto kilichomtokea Musa kule bonde la Tua kama Qurani inavyosema na kumwamuru Nabii Musa avue viatu vyake pale patakatifu, nyinyi hadi leo mnavua viatu ndani ya misikiti yenu, kwa amri ya kijinga cha moto tu alicho amuriwa Nabii Musa kabla ya Muhammadi, kabla ya Qurani na kabla ya Uislamu.
Kile kijinga kilikuwa moto wa kawaida wa kimuujiza tu, au
Mwenyezi Mungu mnaye mwabudu?
Me binafsi nilikua njia panda sana kuhusu kauli za mzee wa upako. Lakini andiko lako nmelielewa vyema sana mtumishi. Na nmepata amani ya moyo. Ubarikiwe
 
Kama huamini Yesu ni Mungu unakosa sifa ya kuwa mkristo. Wenzako walishalijadili hili suala Karne za mwanzo kabisa na ikakubalika. Ndio maana tunaitwa wakristo. Sasa ni ajabu mnakataa Umungu wake. Aibu.
Mkuu Bibilia haija mung’unya maneno kabisa kuhusu Mungu ni nani....... ipo very clear Mungu ni nani
Mustakabali wa Mungu ni wanamna gani sio jukumu la Wakristo wa awali kujadili na kumuamulia Mungu awe na nafsi ngapi
Mungu ni Mungu kwa mujibu wa Bibilia

Yesu na the so called Roho mtakatifu sio Mungu
Utatu wa Mungu ni FAKE kwa mujibu wa Bibilia

Nikikwambia nitajie andiko moja linalosema Mungu ni utatu mtakatifu utaanza kuokoteza vimistari vya kuunga uunga kuhalalisha uongo huu
 
Back
Top Bottom