Bapa limepita na mzee wa upako

Bapa limepita na mzee wa upako

Alianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali.

Akitoka kwenye huduma anapita na bapa, bapa likaweka maskani katika ubongo wake kisha likampotezea upako wake wote.

Leo hii mzee wa upako hamtambui Yesu kuwa ni Mungu.

Biblia inaonya... ".. Msilewe kwa mvinyo ambao kuna ufisadi ndani yake.."

Bapa limeshapita na mzee wa upako, hana upako tena, kwa sasa ni mlevi tu kama kina John Walker.

Wana familia wa madhabahu ya mzee wa upako pale Kibangu tujuane hapa.

View attachment 3014233
We ndo boya huelewi kwani yesu ni Mungu
 
Mke wake mwenyewe anaitwa Happyness Ngasala ni mfanyakazi wa TBC wala hasali kwenye kanisa la mumewe.

Anasali KKKT. Na wala hapandi gari la mumewe. Mumewe full uchawi wanao uchukua Nigeria
Yaani hashiriki ibada kwa mumewe, hapandi magari ya mumewe ila mbunye anampa, ajabu la ngapi la dunia hili?
 
Yesu ni Mwanadamu kamili na Mungu kamili.
Yaani Mungu wa Wakristo huwa anakuja duniani kuongea na watu wake kwa kujibadilisha umbo la mwanadamu au moto ili watu wasidhurike.

Hebu nijibu
Qurani inapo sema
Kile kijinga cha moto kilichomtokea Musa katika Bonde la Tua na Kumwamuru avue viatu sehemu takatifu na nyinyi mmetii hadi hii leo
Kilikuwa Kijinga cha moto au Mungu?

Naomba jibu hapokwanza.
.............
Nabii Ibrahimu aliwahi tembelewa na Mungu akiwa katika umbo la binadamu pia

Mwanzo 18:1...
Bwana akamtokea Ibrahimu karibu na mialoni ya Mamre, alipokuwa ameketi mlangoni pa hema yake mchana wakati wa hari.
2 Akainua macho yake akaona, na tazama, [emoji117]watu watatu wamesimama mbele yake. Naye alipowaona alipiga mbio kuwalaki kutoka mlangoni pa hema, akainama mpaka nchi,
3 akasema, Bwana wangu, kama nimeona fadhili machoni pako nakuomba usinipite sasa mimi mtumwa wako.
.............
Biblia ilisha tabiri kuwa atazaliwa mtoto wa kiume ambaye Mungu atatumia mwili wake kuja duniani kuongea na wanadamu kama alivyofanya kwa Ibrahimu.

Hivyo akiwa katika huo mwili wanaojua wanamwita Mungu kama alivyo mwita Nabii Ibrahimu.

Isaya 9:6
Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa,
Tumepewa mtoto mwanamume;
Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake;
Naye ataitwa jina lake,
Mshauri wa ajabu,
[emoji117]Mungu mwenye nguvu,
Baba wa milele,
Mfalme wa amani.

Mathayo 1:20
Basi alipokuwa akifikiri hayo, tazama, malaika wa Bwana alimtokea katika ndoto, akisema, Yusufu, mwana wa Daudi, usihofu kumchukua Mariamu mkeo, maana mimba yake ni kwa uweza wa Roho Mtakatifu.
21 Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao.
22 Hayo yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa nabii (Isaya hapo juu) akisema,

23 Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli;
Yaani, [emoji117]Mungu pamoja nasi.

Hapa Yesu anazungumza kama mtu.
Yohana (Joh) 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Hapa Yesu anazungumza kama Mungu.
Mathayo (Mat) 9:2
Na tazama, wakamletea mtu mwenye kupooza, amelala kitandani; naye Yesu, alipoiona imani yao, alimwambia yule mwenye kupooza,
[emoji117]Jipe moyo mkuu, mwanangu, umesamehewa dhambi zako.

Hapa ndugu zake Wayahudi wanataka kumwadhibu kwa kujiita Mungu.
Yohana (Joh) 10:33 Wayahudi wakamjibu, Kwa ajili ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa kukufuru, na kwa sababu [emoji117]wewe uliye mwanadamu wajifanya mwenyewe u Mungu.

Hapa wanafunzi wake baadae wakamtambua na kumwita Mungu.
Yohana 20:27
Kisha akamwambia Tomaso, Lete hapa kidole chako; uitazame mikono yangu; ulete na mkono wako uutie ubavuni mwangu, wala usiwe asiyeamini, bali aaminiye.
28 Tomaso akajibu, akamwambia,
[emoji117]Bwana wangu na Mungu wangu!
29 Yesu akamwambia, Wewe, kwa kuwa umeniona, umesadiki; wa heri wale wasioona, wakasadiki.
(akina faiza)
.................
Kuna siku Yesu aliwakumbusha ndugu zake Wayahudi kuwa, niliwahi kumtembelea Ibrahimu na alifurahi sana na alinijua nikiwa katika hali ya mwili wa mwanadamu.
(soma Mwanzo 18:1...)

Akisema
Yohana 8
56 Ibrahimu, baba yenu, alishangilia kwa vile atakavyoiona siku yangu; naye akaiona, akafurahi.
57 Basi Wayahudi wakamwambia, Wewe hujapata bado miaka hamsini, nawe umemwona Ibrahimu?
58 Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko.
59 Basi wakaokota mawe ili wamtupie; lakini Yesu akajificha, akatoka hekaluni.
...............
Kama ndugu zake wengine Wayahudi hawakumtambua, tunamlaumuje huyo Mnyachusa wa Mbozi?
..............
Yesu ni Mwanadamu kamili na Mungu kamili.
Na aliitwa hivyo toka zama za Nabii Isaya na za Agano jipya na sio kweli kuwa, sisi wakristo kuwa wa kwanza kumwita hivyo.
Hivyo wenye macho ya Kiroho wanamjua Yesu katika hizo pande mbili.
Akina mimi ndio hivyo tena tunamwona Yesu mtoto wa Mariamu tu. (akina mzee wa upako)

Naomba Waislamu mnijibu swali langu la pale juu.
Niliuliza.

Kile kijinga cha moto kilichomtokea Musa kule bonde la Tua kama Qurani inavyosema na kumwamuru Nabii Musa avue viatu vyake pale patakatifu, nyinyi hadi leo mnavua viatu ndani ya misikiti yenu, kwa amri ya kijinga cha moto tu alicho amuriwa Nabii Musa kabla ya Muhammadi, kabla ya Qurani na kabla ya Uislamu.
Kile kijinga kilikuwa moto wa kawaida wa kimuujiza tu, au
Mwenyezi Mungu mnaye mwabudu?
Wana macho lakini hawaoni,wana masikio lakini hawasikii.Wasije wqkaona na kusikia nikawaponya.
Unabii katika kutimizwa.
 
Alianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali.

Akitoka kwenye huduma anapita na bapa, bapa likaweka maskani katika ubongo wake kisha likampotezea upako wake wote.

Leo hii mzee wa upako hamtambui Yesu kuwa ni Mungu.

Biblia inaonya... ".. Msilewe kwa mvinyo ambao kuna ufisadi ndani yake.."

Bapa limeshapita na mzee wa upako, hana upako tena, kwa sasa ni mlevi tu kama kina John Walker.

Wana familia wa madhabahu ya mzee wa upako pale Kibangu tujuane hapa.

View attachment 3014233
Ukweli unauma, Mzee wa Upako ni genius sana ndio maana huwakumbusha kila siku someni biblia enyi wakristo msikaririshwe na maandiko ya kuumba umba..
 
Peleka na ya kwako akakusugue maana ume maindi sana kuona mkewe anamnyima
He kumbe mkewe anamnyima! Umejuaje ya faragha? Au mzee wa bapa kakuadithia kipindi anakubandua? Nyie wauza nyapu mna laan
 
He kumbe mkewe anamnyima! Umejuaje ya faragha? Au mzee wa bapa kakuadithia kipindi anakubandua? Nyie wauza nyapu mna laan
Nenda na wewe akakunyandue maana naona umepata nyege ghafla
 
Kwani yesu alikuwa mungu nilikuwa sijui umenifumbua macho.
 
Yuko sahihi:
Yohana 20:17
"Yesu akamwambia: “Acha kuning’ang’ania, kwa maana bado sijapanda kwenda kwa Baba. Lakini nenda kwa ndugu zangu, nawe uwaambie, ‘Ninapanda kwenda kwa Baba yangu na Baba yenu na kwa Mungu wangu na Mungu wenu"
Yesu alijaribiwa na lucifer, akamjibu imeandikea usimjaribu bwana mungu wako
 
Yesu alijaribiwa na lucifer, akamjibu imeandikea usimjaribu bwana mungu wako
Vipi nikikuambia "Waterbender vuka Barbara kuu ukiwa umefunga macho kwa maana Mungu atayazuia magari yasikugonge".
Ukajibu: "Imeandikwa Usimjaribu Mungu".
Hapo Mungu ni wewe au?

Mathayo 4:5 Ndipo Ibilisi akampeleka kwenye lile jiji takatifu, akamsimamisha juu ya mnara wa hekalu 6 na kumwambia: “Ikiwa wewe ni mwana wa Mungu, jitupe chini, kwa maana imeandikwa: ‘Atawaagiza malaika zake kukuhusu wewe,’ nao ‘Watakubeba mikononi mwao, ili mguu wako usigonge jiwe.’” 7 Yesu akamwambia: “Tena imeandikwa: ‘Usimjaribu Yehova Mungu wako.’”
 
Utatu utakatifu huo,
 
Alianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali.

Akitoka kwenye huduma anapita na bapa, bapa likaweka maskani katika ubongo wake kisha likampotezea upako wake wote.

Leo hii mzee wa upako hamtambui Yesu kuwa ni Mungu.

Biblia inaonya... ".. Msilewe kwa mvinyo ambao kuna ufisadi ndani yake.."

Bapa limeshapita na mzee wa upako, hana upako tena, kwa sasa ni mlevi tu kama kina John Walker.

Wana familia wa madhabahu ya mzee wa upako pale Kibangu tujuane hapa.

View attachment 3014233
Achana na urabu bana kule Arusha mafaza wa RC Kila ijumaa na jumamosi jioni tupo nao Big Sister Pub na saa jioni wale tunaokanao kwa Fazababu tunapanda bodaboda zetu na misambwana ya uhakika.
J2 misa kama kawaida.
 
Back
Top Bottom