ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Fanya hivyo usiniangushe😂😂😂 Una Vituko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya hivyo usiniangushe😂😂😂 Una Vituko
Unazungumzia NENO la Mwanzo (Genesis)?Hata wakati Mungu anaumba dunia na vitu vyote Yesu alikuwepo.
Nakuangushaje sasa Mchumba?Fanya hivyo usiniangushe
Uko sahihiUnazungumzia NENO la Mwanzo (Genesis)?
Elaborate for meUko sahihi
Watakuja walio deep kwenye maandiko wataelezea maana mi niko shallow kwenye bible, lkn nina uhakika na hilo andiko lipoElaborate for me
Sawa Mchumba Ila wanachokoza wenyewe as you know I'ma angry beast sipendi ujinga wa namna Ile anakuja anaanza kunitusi nimchekee?Tayari nishakujibu, nataka upunguze matusi sio vizuri kumtukana mtu unamdhalilisha
Sawa fanya unavyoona inakupendeza ipo siku unaweza ukabadili mtazamoSawa Mchumba Ila wanachokoza wenyewe as you know I'ma angry beast sipendi ujinga wa namna Ile anakuja anaanza kunitusi nimchekee?
Andiko lipi la NENO?Watakuja walio deep kwenye maandiko wataelezea maana mi niko shallow kwenye bible, lkn nina uhakika na hilo andiko lipo
Kwa sasa nitakua nakuita uje watulize kabla sijawararua rarua km karatasiSawa fanya unavyoona inakupendeza ipo siku unaweza ukabadili mtazamo
Mimi siwezi ugomvi, mtu akikukosea nyamaza kimya, ukimkosea mtu muombe msamahaKwa sasa nitakua nakuita uje watulize kabla sijawararua rarua km karatasi
Maji na mafuta hujitenga siku zote, no matter the effort iliyotumikaAlianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali.
Akitoka kwenye huduma anapita na bapa, bapa likaweka maskani katika ubongo wake kisha likampotezea upako wake wote.
Leo hii mzee wa upako hamtambui Yesu kuwa ni Mungu.
Biblia inaonya... ".. Msilewe kwa mvinyo ambao kuna ufisadi ndani yake.."
Bapa limeshapita na mzee wa upako, hana upako tena, kwa sasa ni mlevi tu kama kina John Walker.
Wana familia wa madhabahu ya mzee wa upako pale Kibangu tujuane hapa.
View attachment 3014233
Mchumba wakinichokoza tu nakuita unipe Go Ahead niwafurahishe na Roho zao maana mwingine hasikii raha mpaka umjibu ovyo ndio anafurahiaMimi siwezi ugomvi, mtu akikukosea nyamaza kimya, ukimkosea mtu muombe msamaha
Can you prove this mathematical equation?Maji na mafuta hujitenga siku zote, no matter the effort iliyotumika
Sawa mchumbaMchumba wakinichokoza tu nakuita unipe Go Ahead niwafurahishe na Roho zao maana mwingine hasikii raha mpaka umjibu ovyo ndio anafurahia
NIPO 1 tu HUMU wengine fake kabisa usiwasikilizeSawa mchumba
Kabisaaa! Hilo nalijuaNIPO 1 tu HUMU wengine fake kabisa usiwasikilize
Ndio Mchumba hata Mimi ninajua unajuaKabisaaa! Hilo nalijua