New beginning
Member
- May 10, 2024
- 95
- 203
Ni msemo tu wa wenye hekima, na wenye hekima ndio wanaoelewa. Usijipe stress kama huelewi.Can you prove this mathematical equation?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni msemo tu wa wenye hekima, na wenye hekima ndio wanaoelewa. Usijipe stress kama huelewi.Can you prove this mathematical equation?
Mimi nalala ili kesho niwahi kuamka niende site kuvunja kokotoNdio Mchumba hata Mimi ninajua unajua
Ndio nimekuelewa,Ni msemo tu wa wenye hekima, na wenye hekima ndio wanaoelewa. Usijipe stress kama huelewi.
Mchumba acha HIZOMimi nalala ili kesho niwahi kuamka niende site kuvunja kokoto
Nikiacha hizo nitakula wapiMchumba acha HIZO
Mradi mkono unafika kinywani Mchumba sio kesi kazi ni kazi, vipi na MIMI nije tupasue wote?Nikiacha hizo nitakula wapi
Yamekua hayo?Alianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali.
Akitoka kwenye huduma anapita na bapa, bapa likaweka maskani katika ubongo wake kisha likampotezea upako wake wote.
Leo hii mzee wa upako hamtambui Yesu kuwa ni Mungu.
Biblia inaonya... ".. Msilewe kwa mvinyo ambao kuna ufisadi ndani yake.."
Bapa limeshapita na mzee wa upako, hana upako tena, kwa sasa ni mlevi tu kama kina John Walker.
Wana familia wa madhabahu ya mzee wa upako pale Kibangu tujuane hapa.
View attachment 3014233
Kweli siku zinavyoenda biblia inabadirishwa mdogo mdogoMatendo 7:56
Stefano akasema: “Tazama! Ninaziona mbingu zimefunguka na Mwana wa binadamu akiwa amesimama kwenye mkono wa kuume wa Mungu.
Wakati Stefano anauwawa alimwona Yesu amesimama kando ya Mungu.
Kweli wewe ni Otto Von BismarckMwacheni na mambo yake
Kwake hiyo ni njia ya ujira na utafutaji kama walivyo wakulima na wafanye biashara wengine.
Unashangaa huyo
Vipi wale wanaobariki mashoga
Vipi wale wa mabikra 72 na moto ya pombe
Vipi wale wanaouziwa maji, mchanga na mafuta kwa pesa ndefu
Sheikh?Iwapo ni suluhisho ilikuwaje sheikh IPM akaukimbia uislam na kuwa mlokole?
RGC Ubungo Kibangu.......enzi hizo tulipata burudisho la Kiroho kweli kweliAlianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali.
Akitoka kwenye huduma anapita na bapa, bapa likaweka maskani katika ubongo wake kisha likampotezea upako wake wote.
Leo hii mzee wa upako hamtambui Yesu kuwa ni Mungu.
Biblia inaonya... ".. Msilewe kwa mvinyo ambao kuna ufisadi ndani yake.."
Bapa limeshapita na mzee wa upako, hana upako tena, kwa sasa ni mlevi tu kama kina John Walker.
Wana familia wa madhabahu ya mzee wa upako pale Kibangu tujuane hapa.
View attachment 3014233
Asiye na doa la uchafu(dhambi)na awe wa kwanza kumtupia jiwe.
Lete hiyo mistari Hapa aliyoithibitisha nje ya hapo acha porojo na kuongea vitu usivyo vijua!Yesu sio Mungu.
Yesu mwenyewe amethibitisha hilo na mistari ipo kwenye biblia