Bapa limepita na mzee wa upako

Bapa limepita na mzee wa upako

Vipi wale wanaobariki mashoga
Hivi kwa nini mnawafanya mashoga kama wana dhambi 'special' sana? Mimi kuwabariki nadhani ni njia sahihi kabisa ya kuwarudisha kwenye utukufu wa Mungu. Kwa nini wezi, wauaji, wasema uongo, wazinzi nk wanaweza kubarikiwa na kuwa watu wema, ila mashoga inaonekana kama hawatakiwi kabisa katika neema ya kitubio? Ndio maandiko yanaagiza hivyo?

1718094889443.png
 
Yohana 1:1-8
1 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. 3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika. 4 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu. 5 Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza. 6 Palitokea mtu, ametumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana. 7 Huyo alikuja kwa ushuhuda, ili aishuhudie ile nuru, wote wapate kuamini kwa yeye. 8 Huyo hakuwa ile nuru, bali alikuja ili aishuhudie ile nuru. 9 Kulikuwako Nuru halisi, amtiaye nuru kila mtu, akija katika ulimwengu.
 
Wanapiga hela wakichoka wanapita kushoto 🏃‍♀️🏃‍♀️ Dini ni Biashara
 
Me binafsi nilikua njia panda sana kuhusu kauli za mzee wa upako. Lakini andiko lako nmelielewa vyema sana mtumishi. Na nmepata amani ya moyo. Ubarikiwe
Asante, ni ngumu sana kuelezea mambo ya kiroho.

Yesu baada ya kubatizwa na Yohana Mbatizaji tunasoma Roho wa Mungu alimshukia kwa mfano wa njiwa na kuishi ndani yake.
Ndio maana Yesu hakuanza kuhubiri rasmi hadi alipobatizwa na Yohana na kushukiwa na Roho Mtakatifu.
Achana na zile za utotoni alipokuwa anawafundisha wazee wa hekaluni.
Roho Mtakatifu alipomshukia kwanza kabisa akamwongoza jangwani alikofunga kwa siku arobaini huku akimwongoza kujaribiwa na Shetani yaani Ibirisi mkuu.
Aliporudi toka katika mfungo wake ndipo alienda Sinagogini na kupewa kitabu cha nabii Isaya na kuanza kukisoma.

Luka (Luk) 4:18
Roho wa Bwana yu juu yangu, Kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema. Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao, Na vipofu kupata kuona tena, Kuwaacha huru waliosetwa,
Luka (Luk) 4:21
Akaanza kuwaambia, Leo maandiko haya yametimia masikioni mwenu.
Luka (Luk) 4:28
Wakajaa ghadhabu wote waliokuwa katika sinagogi walipoyasikia hayo.
.........
Unajua ni kwanini Wayahudi walijaa ghadhabu walipo yasikia hayo maneno?
Kwao alikuwa amekufuru.
........
Kwanini iwe hivyo.

Wafalisayo waliamini kuwa kuna kiyama na watu kufufuka baada ya kifo chao na kwenda Mbinguni au Motoni.
Masadukayo hayakuamini hayo mafundisho.
Ubishani ulikuwa mkali sana.

Na manabii wengi walikuwa hawana utakatifu hivyo kukoseakosea katika mafundisho yao.

Hapo Mungu ndipo alipoamua kushuka duniani kueleza kweli ya Mungu kwa usahihi.

Alifanya hivyo kupitia mwili wa Mwanadamu yaani mtu Yesu ambaye alikuwa Mtakatifu. Na mafundisho makuu yalikuwa manne.
Kupitia Yesu Kristo wanadamu wajue
1. Kueleza namna Kumwabudu Mungu kwa Roho na Kweli
2. Kueleza kuwa lazima kizazi hiki Kibatizwe ili kuiondoa laana aliyopewa Adamu na Hawa
3. Kuthibitishakuwa Mwanadamu atakufa na kufufuka
4. Kueleza kuwa Mwanadamu ataenda Mbinguni baada ya kufufuliwa katika wafu.

Hivyo kufanya mabishano ya Wafalisayo na Masadukayo kupata jibu na kuacha mabishano ambayo yangeweza kuenea dunia nzima.

Yesu aliongozwa na Mungu akiwa ndani yake hadi siku anasuribiwa pale msalabani

Yohana (Joh) 10:38 lakini nikizitenda, ijapokuwa hamniamini mimi, ziaminini zile kazi; mpate kujua na kufahamu ya kuwa Baba yu ndani yangu, nami ni ndani ya Baba.

Alipo karibia kufa alilia
"Mungu wangu mbona unaniacha"

Kumbuka Mungu hakai katika Maiti ya mtu.
Alipoanza kwenda zake Mbinguni na yule aliyesuribiwa upande wa kulia kwa Yesu.

Hapo Yesu akaanza kuona anaishiwa nguvu na kuyasikia maumivu ya misumari. Ndipo alilia hivyo huyo ni Yesu Mwanadamu.

Kumbuka wakati Mungu anaondoka taratibu ndani ya Yesu Dunia ilitikisika Jua likazima kwa masaa matatu na nusu, wafu wakafufuka na kuanza kutembea mitaani, ilikuwa hali ya kutisha sana

Wanatheolijia wanasema kama Mungu angeondoka ndani ya Yesu chini ya hayo masaa yaani angeondoka ghafla, basi dunia ingapasuka vipande vipande na jua kufa kabisa na kuwa mwisho wa maisha.

Ni somo refu kidogo ila ni la Kiroho zaidi.

Bila kumung'unya maneno.
Ukisikia mafundisho yanasema Yesu hakufa wala kufufuka basi ujue ni mafundisho ya mpinga kristo hayo.
Inamaana tunarudishwa kulekule kwa mabishano ya Mafarisayo na Masadukayo.

Kinacho nishangaza
Mtu akiwa na Majini yaani Mapepo.
Tufanye huyo mtu anaitwa Maneno.
Watu wanaamini kuwa pepo liko ndani ya maneno.
Na hayo mapepo yakiamua kuongea jambo.
Watu wanaamini pepo limeongea na sio mtu aitwaye Maneno.

Hao hao hawataki kuamini kuwa.
Mungu anaweza kuwa ndani ya mtu, aitwe Yakobo, na huyo Mungu akaongea mambo fulani.
Ila hawataki kabisa kusema huyo anaye ongea ni Mungu na sio Yakobo.
Hapo wanamaanisha Mapepo yana uwezo kupita Mungu.

Mungu kuwa ndani ya Yesu au kumtembelea Nabii Ibrahimu haimanishi kuwa mda huo hakuwepo sehemu nyingine.

Mungu ni Omnipresence, yaani yuko pote wakati wote.
Binadamu ana
mwili mmoja,
nafsi moja na
roho moja.
Hiyo haipo kwa Mungu.
Mungu ana Nafsi na Roho zisizohesabika.
Ndio maana halinganishwi na Kiumbe chochote.

Sasa hawa jamaa tukisema hapa duniani tumemwona Mungu katika nafsi tatu tu
Nafsi kama Baba
Nafsi kama Mwana wa Mungu, na
Nafsi kama Roho Mtakatifu
(wao wanamwita Roho Mwaminifu)

Inakuwa kelele na vulugu tele.
Na ubishi na kashfa.
Bila kusahau kitabu chao pia kinataja nafsi tatu za Mungu pia

Yesu, Mwana, Qurani inamtaja kama.
1. Neno la Mungu (sawa na yohana 1:1
Baba imemtaja kama
2. Mola Mlezi.
Roho Mtakatifu imemtaja kama
3. Roho Mwaminifu.
Hao sio Mungu watatu ni Mungu mmoja tu.

Ni kwakuwa tu hawana elimu ya Kiroho.
Na hawayaelewi maandiko yao kiundani.
Na wanajifanya washajua kila kitu.
Pole kwa andiko refu sana
 
Alianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali.

Akitoka kwenye huduma anapita na bapa, bapa likaweka maskani katika ubongo wake kisha likampotezea upako wake wote.

Leo hii mzee wa upako hamtambui Yesu kuwa ni Mungu.

Biblia inaonya... ".. Msilewe kwa mvinyo ambao kuna ufisadi ndani yake.."

Bapa limeshapita na mzee wa upako, hana upako tena, kwa sasa ni mlevi tu kama kina John Walker.

Wana familia wa madhabahu ya mzee wa upako pale Kibangu tujuane hapa.
Mke wake mwenyewe anaitwa Happyness Ngasala ni mfanyakazi wa TBC wala hasali kwenye kanisa la mumewe.

Anasali KKKT. Na wala hapandi gari la mumewe. Mumewe full uchawi wanao uchukua Nigeria
 
Yesu ni Mwanadamu kamili na Mungu kamili.
Yaani Mungu wa Wakristo huwa anakuja duniani kuongea na watu wake kwa kujibadilisha umbo la mwanadamu au moto ili watu wasidhurike.

Hebu nijibu
Qurani inapo sema
Kile kijinga cha moto kilichomtokea Musa katika Bonde la Tua na Kumwamuru avue viatu sehemu takatifu na nyinyi mmetii hadi hii leo
Kilikuwa Kijinga cha moto au Mungu?

Naomba jibu hapokwanza.
.............
Nabii Ibrahimu aliwahi tembelewa na Mungu akiwa katika umbo la binadamu pia

Mwanzo 18:1...
Bwana akamtokea Ibrahimu karibu na mialoni ya Mamre, alipokuwa ameketi mlangoni pa hema yake mchana wakati wa hari.
2 Akainua macho yake akaona, na tazama, 👉watu watatu wamesimama mbele yake. Naye alipowaona alipiga mbio kuwalaki kutoka mlangoni pa hema, akainama mpaka nchi,
3 akasema, Bwana wangu, kama nimeona fadhili machoni pako nakuomba usinipite sasa mimi mtumwa wako.
.............
Biblia ilisha tabiri kuwa atazaliwa mtoto wa kiume ambaye Mungu atatumia mwili wake kuja duniani kuongea na wanadamu kama alivyofanya kwa Ibrahimu.

Hivyo akiwa katika huo mwili wanaojua wanamwita Mungu kama alivyo mwita Nabii Ibrahimu.

Isaya 9:6
Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa,
Tumepewa mtoto mwanamume;
Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake;
Naye ataitwa jina lake,
Mshauri wa ajabu,
👉Mungu mwenye nguvu,
Baba wa milele,
Mfalme wa amani.

Mathayo 1:20
Basi alipokuwa akifikiri hayo, tazama, malaika wa Bwana alimtokea katika ndoto, akisema, Yusufu, mwana wa Daudi, usihofu kumchukua Mariamu mkeo, maana mimba yake ni kwa uweza wa Roho Mtakatifu.
21 Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao.
22 Hayo yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa nabii (Isaya hapo juu) akisema,

23 Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli;
Yaani, 👉Mungu pamoja nasi.

Hapa Yesu anazungumza kama mtu.
Yohana (Joh) 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Hapa Yesu anazungumza kama Mungu.
Mathayo (Mat) 9:2
Na tazama, wakamletea mtu mwenye kupooza, amelala kitandani; naye Yesu, alipoiona imani yao, alimwambia yule mwenye kupooza,
👉Jipe moyo mkuu, mwanangu, umesamehewa dhambi zako.

Hapa ndugu zake Wayahudi wanataka kumwadhibu kwa kujiita Mungu.
Yohana (Joh) 10:33 Wayahudi wakamjibu, Kwa ajili ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa kukufuru, na kwa sababu 👉wewe uliye mwanadamu wajifanya mwenyewe u Mungu.

Hapa wanafunzi wake baadae wakamtambua na kumwita Mungu.
Yohana 20:27
Kisha akamwambia Tomaso, Lete hapa kidole chako; uitazame mikono yangu; ulete na mkono wako uutie ubavuni mwangu, wala usiwe asiyeamini, bali aaminiye.
28 Tomaso akajibu, akamwambia,
👉Bwana wangu na Mungu wangu!
29 Yesu akamwambia, Wewe, kwa kuwa umeniona, umesadiki; wa heri wale wasioona, wakasadiki.
(akina faiza)
.................
Kuna siku Yesu aliwakumbusha ndugu zake Wayahudi kuwa, niliwahi kumtembelea Ibrahimu na alifurahi sana na alinijua nikiwa katika hali ya mwili wa mwanadamu.
(soma Mwanzo 18:1...)

Akisema
Yohana 8
56 Ibrahimu, baba yenu, alishangilia kwa vile atakavyoiona siku yangu; naye akaiona, akafurahi.
57 Basi Wayahudi wakamwambia, Wewe hujapata bado miaka hamsini, nawe umemwona Ibrahimu?
58 Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko.
59 Basi wakaokota mawe ili wamtupie; lakini Yesu akajificha, akatoka hekaluni.
...............
Kama ndugu zake wengine Wayahudi hawakumtambua, tunamlaumuje huyo Mnyachusa wa Mbozi?
..............
Yesu ni Mwanadamu kamili na Mungu kamili.
Na aliitwa hivyo toka zama za Nabii Isaya na za Agano jipya na sio kweli kuwa, sisi wakristo kuwa wa kwanza kumwita hivyo.
Hivyo wenye macho ya Kiroho wanamjua Yesu katika hizo pande mbili.
Akina mimi ndio hivyo tena tunamwona Yesu mtoto wa Mariamu tu. (akina mzee wa upako)

Naomba Waislamu mnijibu swali langu la pale juu.
Niliuliza.

Kile kijinga cha moto kilichomtokea Musa kule bonde la Tua kama Qurani inavyosema na kumwamuru Nabii Musa avue viatu vyake pale patakatifu, nyinyi hadi leo mnavua viatu ndani ya misikiti yenu, kwa amri ya kijinga cha moto tu alicho amuriwa Nabii Musa kabla ya Muhammadi, kabla ya Qurani na kabla ya Uislamu.
Kile kijinga kilikuwa moto wa kawaida wa kimuujiza tu, au
Mwenyezi Mungu mnaye mwabudu?
This is Nice piece of religious propaganda.
Bible mention NOTHING about Holy Trinity Of God

Kinachofanyika ni kuokoteza mistari ya kwenye vitabu vya Bibilia na na kuifanyia tafsiri ili kuijengea hoja kwamba inamaanisha Yesu na Roho mtakatifu ni Mungu pia..... Na wakati huo kuna mistari mingi zaidi inayo onyesha Mungu hana mshirika

Wote tunajua lini, nani, na kwanini dhana hii ya utatu mtakatifu wa Mungu ilikua developed kupitia idea za watu
 
When the time comes,people will seek the truth in all things,
They get it when they are ready to hear it.
Huyu kama sure😁😁

Kaanza na kuimba ooo dr wa filosofia,theolojia,mara Yesu hawezi kuwa Mungu,waislam oyeeeeee,alipokuja kuwawekea nzi ndani ya togwa wakapagawa,na kushtuka kumbe huyu hamnazo😂😂.

Mwehu ni mwehu tu,anayesema pombe si dhambi,ndio huyu huyu anayesema Yesu si Mungu.
 
This is Nice piece of religious propaganda.
Bible mention NOTHING about Holy Trinity Of God

Kinachofanyika ni kuokoteza mistari ya kwenye vitabu vya Bibilia na na kuifanyia tafsiri ili kuijengea hoja kwamba inamaanisha Yesu na Roho mtakatifu ni Mungu pia..... Na wakati huo kuna mistari mingi zaidi inayo onyesha Mungu hana mshirika

Wote tunajua lini, nani, na kwanini dhana hii ya utatu mtakatifu wa Mungu ilikua developed kupitia idea za watu
Ni kukomaza mifuvu tu.

SIjaona shida yoyote ya dhana ya utatu
 
This is Nice piece of religious propaganda.
Bible mention NOTHING about Holy Trinity Of God

Kinachofanyika ni kuokoteza mistari ya kwenye vitabu vya Bibilia na na kuifanyia tafsiri ili kuijengea hoja kwamba inamaanisha Yesu na Roho mtakatifu ni Mungu pia..... Na wakati huo kuna mistari mingi zaidi inayo onyesha Mungu hana mshirika

Wote tunajua lini, nani, na kwanini dhana hii ya utatu mtakatifu wa Mungu ilikua developed kupitia idea za watu
Mimi wapi nimesema kuna Holly Trinity ?
Hebu nioneshe.
Unaonesha unasoma ninacho andika in negative attitude.
Unatunga jambo halafu unasema mimi nimesema.
Hakuna mahali katika Biblia pame andikwa mambo ya Holly Trinity,
Ungesoma kwa kutulia usinge nilisha maneno yako.
I am very sorry of you.
 
Tukuulize na wewe! Kwani Wewe Unamjua Yesu?licha ya kumjua au kutomjua,,Je Una uhakika huyo Yesu anakujua?Au kujikomba tuu Kwa huyo Bwana wenu Yesu
 
This is Nice piece of religious propaganda.
Bible mention NOTHING about Holy Trinity Of God

Kinachofanyika ni kuokoteza mistari ya kwenye vitabu vya Bibilia na na kuifanyia tafsiri ili kuijengea hoja kwamba inamaanisha Yesu na Roho mtakatifu ni Mungu pia..... Na wakati huo kuna mistari mingi zaidi inayo onyesha Mungu hana mshirika

Wote tunajua lini, nani, na kwanini dhana hii ya utatu mtakatifu wa Mungu ilikua developed kupitia idea za watu
Wewe mpumbavu Biblia siyo kanisa!! Kanisa ni utatatibu wa kusali kumuomba Mungu.

Kwani Utatu Mtakatifu ni nani hao? Si ni Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Kama ni Mkristu una shida na Mwana wa Mungu?

Na Roho Mtakatifu si ndiyo huyu siku zote tunaomba nguvu zake zituingie
 
Yohana 1:1-8
1 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. 3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika. 4 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu. 5 Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza. 6 Palitokea mtu, ametumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana. 7 Huyo alikuja kwa ushuhuda, ili aishuhudie ile nuru, wote wapate kuamini kwa yeye. 8 Huyo hakuwa ile nuru, bali alikuja ili aishuhudie ile nuru. 9 Kulikuwako Nuru halisi, amtiaye nuru kila mtu, akija katika ulimwengu.
Mkuu napata shida sana kuelewa vifungu vya Biblia tafadhali nifafanulie mkuu

Niko dilemma
 
Waislamu wana
1. Neno la Mungu, ambaye ni Isa
2. Mola Mlezi, mimi simjui
3. Roho Mwaminifu, mimi simjui
4. Kijinga cha moto, kilicho waamrisha wavue viatu msikitini, mimi sikijui

Waulize kama hao ni Mungu wanne ?

Kama sio Mungu wanne waulize hao wanne ni akina nani?

Tatizo tunaongea na watu ambao wanayasoma maandiko matakatifu kama wanavyosoma vitabu vya Historia.

Tukiwaambia Mungu wao wanaye mtii hadi sasa ni kijinga cha moto watakubali au watakataa ?
La sivyo waniambie ni wapi au ni Aya gani.
Allah au Muhammadi aliwaambia wavue viatu misikitini?

Mungu akija kama kijinga cha moto wanamwamini.
Akija katika umbo bora kabisa la binadamu wanakanusha.

Mbona Nabii wao mkubwa kabisa alimwamini Mungu alipomjia kwa umbo la Binadamu.
Mwislamu mwenzao Nabii Ibrahimu katika Mwanzo 18:1...hadi mwisho?

Huyu hapa Nabii wao Ibrahimu

Mwanzo 18
1 Bwana akamtokea Ibrahimu karibu na mialoni ya Mamre, alipokuwa ameketi mlangoni pa hema yake mchana wakati wa hari.

2 Akainua macho yake akaona, na tazama, watu watatu wamesimama mbele yake. Naye alipowaona alipiga mbio kuwalaki kutoka mlangoni pa hema, akainama mpaka nchi,

3 akasema, Bwana wangu, kama nimeona fadhili machoni pako nakuomba usinipite sasa mimi mtumwa wako.

4 Na yaletwe basi maji kidogo mkanawe miguu, mkapumzike chini ya mti huu.

5 Nami nitaleta chakula kidogo, mkaburudishe moyo, baadaye mwendelee, iwapo mmemjia mtumwa wenu. Wakasema, Haya, fanya kama ulivyosema.

6 Basi Ibrahimu akaenda hima hemani kwa Sara, akasema, Himiza vipimo vitatu vya unga safi, uukande, ufanye mikate.

7 Ibrahimu akapiga mbio kwenda kundini, akaleta ndama wa ng'ombe aliye laini, mzuri, akampa mtumishi, naye akahimiza kuiandaa.

8 Akatwaa siagi na maziwa, na ndama aliyoiandaa, akawaandikia mbele yao, akasimama karibu nao chini ya mti, nao wakala.

9 Wakamwambia, Yu wapi Sara mkeo? Akasema, Yumo hemani.

10 Akamwambia, Hakika nitakurudia wakati huu huu mwakani, na tazama, Sara mkeo atapata mwana wa kiume. Sara akasikia mlangoni pa hema iliyokuwapo nyuma yake.

11 Basi Ibrahimu na Sara walikuwa wazee, na umri wao mkubwa, na Sara alikuwa amekoma katika desturi ya wanawake.

12 Kwa hiyo Sara akacheka moyoni mwake, akisema, Niwapo mkongwe, nitapata furaha, na bwana wangu mzee?

13 Bwana akamwambia Ibrahimu, Mbona Sara amecheka akisema, Mimi kweli nitazaa mwana, nami ni mzee?

14 Kuna neno gani lililo gumu la kumshinda Bwana? Kwa muhula wake nitakurudia, wakati huu huu mwakani, na Sara atapata mwana wa kiume.

15 Akakana Sara, akisema, Sikucheka, maana aliogopa. Naye akasema, Sivyo, umecheka.

16 Kisha watu hao wakaondoka huko wakaelekeza nyuso zao Sodoma. Ibrahimu akaenda pamoja nao awasindikize.

17 Bwana akanena, Je! Nimfiche Ibrahimu jambo nilifanyalo,

18 akiwa Ibrahimu atakuwa taifa kuu, hodari, na katika yeye mataifa yote ya dunia watabarikiwa?

19 Kwa maana nimemjua ya kwamba atawaamuru wanawe, na nyumba yake baada yake waishike njia ya Bwana, wafanye haki na hukumu, ili kwamba Bwana naye akamtimizie Ibrahimu ahadi zake.

20 Bwana akasema, Kwa kuwa kilio cha Sodoma na Gomora kimezidi, na dhambi zao zimeongezeka sana,

21 basi, nitashuka sasa nione kama wanayotenda ni kiasi cha kilio kilichonijia; na kama sivyo, nitajua.

22 Basi wale watu wakatoka huko wakaelekea Sodoma; lakini Ibrahimu alikuwa akali akisimama mbele za Bwana.

23 Ibrahimu akakaribia, akasema, Je! Utaharibu mwenye haki pamoja na mwovu?

24 Huenda wakawapo wenye haki hamsini katika mji, utaharibu, wala hutauacha mji kwa ajili ya hao hamsini wenye haki waliomo?

25 Hasha usifanye hivyo, ukamwue mwenye haki pamoja na mwovu, mwenye haki awe kama mwovu. Hasha; Mhukumu ulimwengu wote asitende haki?

26 Bwana akasema, Nikiona katika Sodoma wenye haki hamsini mjini, nitapaacha mahali pote kwa ajili yao.

27 Ibrahimu akajibu, akasema, Basi, nimeshika kusema na Bwana, nami ni mavumbi na majivu tu.

28 Huenda wakapunguka watano katika wale hamsini wenye haki, je! Utaharibu mji wote kwa kupungua watano? Akasema, Sitauharibu, nikiona humo arobaini na watano.

29 Akazidi tena kusema naye, akinena, Huenda wakaonekana humo arobaini? Akasema, Sitafanya kwa ajili ya hao arobaini.

30 Akasema, Bwana asiwe na hasira, nami nitasema, Huenda wakaonekana huko thelathini? Akasema, Sitafanya, nikiona humo thelathini.

31 Akasema, Tazama, nimeshika kusema na Bwana, huenda wakaonekana huko ishirini? Akasema, Sitaharibu kwa ajili ya hao ishirini.

32 Akasema, Bwana asiwe na hasira, nami nitasema mara hii tu, Huenda wakaonekana huko kumi? Akasema, Sitaharibu kwa ajili ya hao kumi.

33 Basi Bwana alipokwisha kuzungumza na Ibrahimu, akaenda zake; Ibrahimu naye akarudi mahali pake.
.......
Alaf utawasikia sisi ni Ibrahimovic region...!
Tumepewa mila na dini ile ile ya Ibrahimu....!
Ukiwauliza ni wapi Nabii wao Muhammadi alitahiri kama Agano la Ibrahimu hakuna majibu.
........
Mwanzo 17
9 Mungu akamwambia Ibrahimu, Nawe ulishike agano langu, wewe na uzao wako kwa vizazi vyao baada yako.

10 Hili ndilo agano langu utakalolishika, kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, Kila mwanamume wa kwenu atatahiriwa.

11 Mtatahiriwa nyama ya magovi yenu, na jambo hilo litakuwa ishara ya agano kati ya mimi na ninyi.

12 Mtoto wa siku nane atatahiriwa kwenu, kila mwanamume katika vizazi vyenu, mzaliwa nyumbani, na mnunuliwa kwa fedha, kila mgeni asiyekuwa wa uzao wako.

13 Mzaliwa nyumbani mwako, na mnunuliwa kwa fedha yako, lazima atahiriwe; na agano langu litakuwa katika mwili wenu, kuwa agano la milele.

14 Na mwanamume mwenye govi asiyetahiriwa nyama ya govi lake, mtu yule atatengwa na watu wake; amelivunja agano langu.
....
Yesu alitahiriwa kutii Agano la Mungu na Ibrahimu.
......
Luka (Luk) 2:21 Hata zilipotumia siku nane za kumtahiri, aliitwa jina lake Yesu; kama alivyoitwa na malaika kabla hajachukuliwa mimba.
......
Waislamu Munijibu.

Ni Aya gani au hadithi pameandikwa kuwa,

Nabii wenu Muhammadi alitahiri kama mila na dini ya Ibrahimu inavyo elekeza?
 
Asante, ni ngumu sana kuelezea mambo ya kiroho.

Yesu baada ya kubatizwa na Yohana Mbatizaji tunasoma Roho wa Mungu alimshukia kwa mfano wa njiwa na kuishi ndani yake.
Ndio maana Yesu hakuanza kuhubiri rasmi hadi alipobatizwa na Yohana na kushukiwa na Roho Mtakatifu.
Achana na zile za utotoni alipokuwa anawafundisha wazee wa hekaluni.
Roho Mtakatifu alipomshukia kwanza kabisa akamwongoza jangwani alikofunga kwa siku arobaini huku akimwongoza kujaribiwa na Shetani yaani Ibirisi mkuu.
Aliporudi toka katika mfungo wake ndipo alienda Sinagogini na kupewa kitabu cha nabii Isaya na kuanza kukisoma.

Luka (Luk) 4:18
Roho wa Bwana yu juu yangu, Kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema. Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao, Na vipofu kupata kuona tena, Kuwaacha huru waliosetwa,
Luka (Luk) 4:21
Akaanza kuwaambia, Leo maandiko haya yametimia masikioni mwenu.
Luka (Luk) 4:28
Wakajaa ghadhabu wote waliokuwa katika sinagogi walipoyasikia hayo.
.........
Unajua ni kwanini Wayahudi walijaa ghadhabu walipo yasikia hayo maneno?
Kwao alikuwa amekufuru.
........
Kwanini iwe hivyo.

Wafalisayo waliamini kuwa kuna kiyama na watu kufufuka baada ya kifo chao na kwenda Mbinguni au Motoni.
Masadukayo hayakuamini hayo mafundisho.
Ubishani ulikuwa mkali sana.

Na manabii wengi walikuwa hawana utakatifu hivyo kukoseakosea katika mafundisho yao.

Hapo Mungu ndipo alipoamua kushuka duniani kueleza kweli ya Mungu kwa usahihi.

Alifanya hivyo kupitia mwili wa Mwanadamu yaani mtu Yesu ambaye alikuwa Mtakatifu. Na mafundisho makuu yalikuwa manne.
Kupitia Yesu Kristo wanadamu wajue
1. Kueleza namna Kumwabudu Mungu kwa Roho na Kweli
2. Kueleza kuwa lazima kizazi hiki Kibatizwe ili kuiondoa laana aliyopewa Adamu na Hawa
3. Kuthibitishakuwa Mwanadamu atakufa na kufufuka
4. Kueleza kuwa Mwanadamu ataenda Mbinguni baada ya kufufuliwa katika wafu.

Hivyo kufanya mabishano ya Wafalisayo na Masadukayo kupata jibu na kuacha mabishano ambayo yangeweza kuenea dunia nzima.

Yesu aliongozwa na Mungu akiwa ndani yake hadi siku anasuribiwa pale msalabani

Yohana (Joh) 10:38 lakini nikizitenda, ijapokuwa hamniamini mimi, ziaminini zile kazi; mpate kujua na kufahamu ya kuwa Baba yu ndani yangu, nami ni ndani ya Baba.

Alipo karibia kufa alilia
"Mungu wangu mbona unaniacha"

Kumbuka Mungu hakai katika Maiti ya mtu.
Alipoanza kwenda zake Mbinguni na yule aliyesuribiwa upande wa kulia kwa Yesu.

Hapo Yesu akaanza kuona anaishiwa nguvu na kuyasikia maumivu ya misumari. Ndipo alilia hivyo huyo ni Yesu Mwanadamu.

Kumbuka wakati Mungu anaondoka taratibu ndani ya Yesu Dunia ilitikisika Jua likazima kwa masaa matatu na nusu, wafu wakafufuka na kuanza kutembea mitaani, ilikuwa hali ya kutisha sana

Wanatheolijia wanasema kama Mungu angeondoka ndani ya Yesu chini ya hayo masaa yaani angeondoka ghafla, basi dunia ingapasuka vipande vipande na jua kufa kabisa na kuwa mwisho wa maisha.

Ni somo refu kidogo ila ni la Kiroho zaidi.

Bila kumung'unya maneno.
Ukisikia mafundisho yanasema Yesu hakufa wala kufufuka basi ujue ni mafundisho ya mpinga kristo hayo.
Inamaana tunarudishwa kulekule kwa mabishano ya Mafarisayo na Masadukayo.

Kinacho nishangaza
Mtu akiwa na Majini yaani Mapepo.
Tufanye huyo mtu anaitwa Maneno.
Watu wanaamini kuwa pepo liko ndani ya maneno.
Na hayo mapepo yakiamua kuongea jambo.
Watu wanaamini pepo limeongea na sio mtu aitwaye Maneno.

Hao hao hawataki kuamini kuwa.
Mungu anaweza kuwa ndani ya mtu, aitwe Yakobo, na huyo Mungu akaongea mambo fulani.
Ila hawataki kabisa kusema huyo anaye ongea ni Mungu na sio Yakobo.
Hapo wanamaanisha Mapepo yana uwezo kupita Mungu.

Mungu kuwa ndani ya Yesu au kumtembelea Nabii Ibrahimu haimanishi kuwa mda huo hakuwepo sehemu nyingine.

Mungu ni Omnipresence, yaani yuko pote wakati wote.
Binadamu ana
mwili mmoja,
nafsi moja na
roho moja.
Hiyo haipo kwa Mungu.
Mungu ana Nafsi na Roho zisizohesabika.
Ndio maana halinganishwi na Kiumbe chochote.

Sasa hawa jamaa tukisema hapa duniani tumemwona Mungu katika nafsi tatu tu
Nafsi kama Baba
Nafsi kama Mwana wa Mungu, na
Nafsi kama Roho Mtakatifu
(wao wanamwita Roho Mwaminifu)

Inakuwa kelele na vulugu tele.
Na ubishi na kashfa.
Bila kusahau kitabu chao pia kinataja nafsi tatu za Mungu pia

Yesu, Mwana, Qurani inamtaja kama.
1. Neno la Mungu (sawa na yohana 1:1
Baba imemtaja kama
2. Mola Mlezi.
Roho Mtakatifu imemtaja kama
3. Roho Mwaminifu.
Hao sio Mungu watatu ni Mungu mmoja tu.

Ni kwakuwa tu hawana elimu ya Kiroho.
Na hawayaelewi maandiko yao kiundani.
Na wanajifanya washajua kila kitu.
Pole kwa andiko refu sana
Hatimae nimeelewa
 
Back
Top Bottom