Bar Maids wa Kisuma Bar Magomeni njaa kali

Cha ajabu nini hapo!.
Hiyo Hennessy ya laki tatu muhudumu kachukua 270 yake safi kaunta.
Nyie wenye kiburi cha fedha ndio wanawapenda!
Kwa hiyo dogo anamkomoa mhudumu!
Hahahahah.
Kikubwa hatupendi dharau hata akichukua kwa 10k we are less concerned
 
Chai hii
 
Hennessy ya 300k?

Unajua kwamba 300 k ni laki tatu?

LABDA Hennessy ya Burundi.
 
Viwanja vinatofautiana mkuu, kuna sehemu Heineken inauzwa 3k na kwingine ni 5k
 
They are keeping up with the hype.

Mdada mzuri na msambwanda wakushanta anaanzaje kunywa mataputapu kama castle lite au serengeti?
Serikali yako inategemea hayo mataputapu kwa kodi za maendeleo. Ila umenena vyema wenye haya mamisambwanda wengi hawana akili.
 
Barmaid ukimuelewa usimnunulie beer!! Muite muelewane kujua anafunga kazi saa ngapi na utampa kiasi gani? Kama una haraka unam-tip manager anakuachia mzigo unasepa nao.

Ukimnunulia bia ujue hatazinywa bali anawekesha kaunta baadae achukue mshiko. Na ukimuna ana chupa ya windhoek jua haina pombe ndani anaweza kuzuga kuweka hata maji tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…