Bar Maids wa Kisuma Bar Magomeni njaa kali

Bar Maids wa Kisuma Bar Magomeni njaa kali

Alivyotoka kwenda kuhudumia meza nyingine nikasikia njemba zinalia huyu dada sio kabisa sasa hizi bia mbili ni 7000 kwani asingekunywa bia ya kawaida na akabakisha pesa hata ya kuwekeza ndani. Looh nikajiuliza mhudumu huyu mbona hana akili unachoma 7000 wakati hata angewaambia ninunulie chakula nitakula baadae. Nikasema acha niangalie meza zingine walizokaa wahudumu unakutana na Windhoek na zile sijui Pri nini sijui ukiuliza bei ni 3500
Anaakili sana na mahesabu mazuri,

Msome mshana JR ndio utaelewa zaidi👇
3. Offer.. Hapa ndio wanapapenda mno...na hupendelea kuhudumia meza za wanaume tupu na wenye macho juu juu.. Wengi ukimpa offer atahakikisha anachukua kinywaji cha bei juu na ukimuuliza mbona hanywi anakwambia atakunywa baadae maana muda huo hawaruhusiwi
4. Kinywaji ulichonunua wewe mnaweza kukinunua meza tatu tofauti bila kujua na wengine huzuga kunywa kumbe ndani maji.. Kinywaji husika anaweza kukata pesa yake kwenye bili ama akakiuza kwa mteja mwingine
Endelea hapa: Wahudumu wa bar wengi wana maisha mazuri kuliko waajiriwa wengi
 
Cha ajabu nini hapo!.
Hiyo Hennessy ya laki tatu muhudumu kachukua 270 yake safi kaunta.
Nyie wenye kiburi cha fedha ndio wanawapenda!
Kwa hiyo dogo anamkomoa mhudumu!
Hahahahah.
😀😀😀
 
Kwani akiagiza hizo windhoek ndo anakunywa.. hizo zinarudi counter braza anapewa hela zake
 
Serikali yako inategemea hayo mataputapu kwa kodi za maendeleo. Ila umenena vyema wenye haya mamisambwanda wengi hawana akili.

Ni bia zilizotengenezwa kwa viwango vya juu sana acha zako wewe.
Mimi mwenyewe nakunywa hizo (mataputapu). Hapo nimemaanisha kuwa wanawake wa siku hizi wanajiona viwango sana kiasi kwamba kunywa local beers kwao ni kama kunywa gongo au banana.
 
 
Mkubwa, labda nikufahamishe kidogo, huyu dogo alpata shavu kazini akaenda mahali akawa anaandika 80000 per day na alikaa huko kwa muda wa miezi mitatu na siku ishirin siku anatoka akapewa mzigo wake kama ulivyo mixer mshahara wa miezi mitatu ukizingatia ni ajira mpya hana mke wala mtoto so alikuwa na pesa nyingi isiyo na kazi. Kitendo cha kununua hiyo hennessy kwake ilikuwa ni Sawa na kununua sandle za 50k

hiyo 3k unamaanisha laki tatu?
Namaanisha 3000 mkuu,
 
Acha ushamba, ofa Haimanaishi anywe hapo hapo wana familia na wanategewa hao,
Mimi mwenyewe ni. Mwanamke ila Bar nikikaa lazima mdada nimpe ofa,
Hao wadada huwa nawaheshimu sana

Barmaid ukimuelewa usimnunulie beer!! Muite muelewane kujua anafunga kazi saa ngapi na utampa kiasi gani? Kama una haraka unam-tip manager anakuachia mzigo unasepa nao.

Ukimnunulia bia ujue hatazinywa bali anawekesha kaunta baadae achukue mshiko. Na ukimuna ana chupa ya windhoek jua haina pombe ndani anaweza kuzuga kuweka hata maji tu.
 
Mkubwa, labda nikufahamishe kidogo, huyu dogo alpata shavu kazini akaenda mahali akawa anaandika 80000 per day na alikaa huko kwa muda wa miezi mitatu na siku ishirin siku anatoka akapewa mzigo wake kama ulivyo mixer mshahara wa miezi mitatu ukizingatia ni ajira mpya hana mke wala mtoto so alikuwa na pesa nyingi isiyo na kazi. Kitendo cha kununua hiyo hennessy kwake ilikuwa ni Sawa na kununua sandle za 50k



Namaanisha 3000 mkuu,
Wee jamaa acha uongo wee laki tatu HV hata Kama Hana majukumu ndio anateketeze zile pesa zote mbel yako hata wee ukimkopa laki hawezi kukupa sembuza kugwa bia za laki tatu Tena mwa mtu mmoja chai ya asbh hii
 
Nawashangaa hawa wageni wa Mji,hawajui Hizo bia zote Baamedi anaenda “kuzivunja” kazi ikiisha.

Kweli wageni hawaishi mjini,ushamba Mzigo.
Mwenyewe kajiona ana akiiiili!
ni wachache sana huwa wanazinywa live zile bia.....wengi wao wanazivunja hivyo wanaondoka na mpunga wa maana
 
Mkuu, ulichosema ni kweli! Nami, nilishuhudia baa moja, Mwanza mjini. Nikajiuliza, hivi hao wahudumu, kwa fedha yao, wanaweza kununua kinywaji cha bei ghali hivyo?

Kwa nini kinywaji cha kununuliwa, wanachagua cha bei kubwa hivyo? Kufuatilia, nikamuona mmoja, anajaza soda ya Novida kwenye chupa ya Savana!

Hivyo, hata huko, sina shaka hawanywi hizo pombe, ila hao walipaji wanalipia kwa hiyo bei ghali, cha juu wanachukua. Pia, hao wahudumu huwa wana umoja sana, pindi litokeapo deal la namna hiyo!
HUKO SAHIHI 100%
 
Back
Top Bottom