Bar Maids wa Kisuma Bar Magomeni njaa kali

Bar Maids wa Kisuma Bar Magomeni njaa kali

Kuna siku nilikwenda bar moja huko Kitunda kwa ndugu zangu toka Kanda maarum. Nikamkuta bar maid na kumwambia akaniletee nusu mkia ili tule wote. Tukala wote na ndizi mbili mbili. Kisha nikamuambia kila ukiniletea kinywaji na wewe chukua Cha kwako ukipendacho. Wakati naondoka nikajitia kumpotezea. Aloo nilipewa namba kwa lazima.

Sasa huyu lakhi tatu halafu barmaid akae mbali naye? LABDA Kama sio Dar es salaam hii....
Hii ilikuwa Mwanza kiongozi.
 
Fala kweli, umepewa ofa unywe halafu unasema nipe tu hiyo elfu 7, ndo inakuwaje?
 
Baba, ya bar tuachie sisi wakongwe ww huyawezi, hizo mbona tunazinunua saana tu...ukishamwita mezani hakikisha huna njaa otherwise ule kwa macho..yaani akikatiza kwenda kuhudumia meza b unasindikizia kwa kumeza mate.
 
Wee jamaa acha uongo wee laki tatu HV hata Kama Hana majukumu ndio anateketeze zile pesa zote mbel yako hata wee ukimkopa laki hawezi kukupa sembuza kugwa bia za laki tatu Tena mwa mtu mmoja chai ya asbh hii
Yani natamani nikuwekee hapa bank receipt za huyo dogo kwa siku hiyo ili uone utofauti katika matumizi hapa duniani. Mkuu kuna vijana wanateketeza laki tano kila siku na hawazi kabisa.
 
hahahhHH nipo Runzewe kweli ...nipo mashati now nakula vyuma balimi!!!
Siku ya kwanza kufika Runzewe nilifika saa moja asubuhi bado Kuna ka Giza. Lkn supu zilikua tayari. Basi nikapata supu ya Moto, nikauliza mbona ka mji kenu kamepoa Sana. Nikaambiwa subiri. Basi nikatoka nikaitekenya 2.8 nikaenda Rusumo chap. Ile narudi saa nane, aloo ndio nikaona wanyama wenyewe. Twiga za kitusi, viboko vya kisukuma, miguu ya bia ya kihaya, swala za kinyaturu, digidigi za kiluguru, vifaru vya kisukuma na nyumbu zisizo na idadi. Nikaambiwa nyumbu huna haja ya kupeleka gesti. Subiri Giza kidogo omba mkeka wa taniboi Zama chini ya Lori. Buku yako tu.
Bahati nzuri nilikua muoga. Maana wakati unaingia Runzewe kuna kibao kimeandikwa kwa maandishi makubwa mno.
SASA UNAINGIA RUNZEWE
HAPA UKIMWI UPO.
 
Chezea ukimwi weye?

Bora kula kwa macho
 
Nakumbuka siku moja nilienda kiwanja kimoja mjini mwanza nikiwa na dogo langu(msela) akiwa kavaa kawaida sana na anakunywa maji.

Kuna bar maid alimuelewa sana akamuita na kumuomba namba yule bar maid akamjibu kwa jeuri sana kwamba ukitaka kuongea na mimi ninunulie kinywaji akanunuliwa Hennessy (pale wanauza 300k Hennessy kubwa) alafu akamwambia usikae na mimi sijapenda perfume yako nipe namba ukakae sehem tofauti na mimi then nitakutafuta, dogo hakumtafuta wala nini kakausha tu.

Kila muda yule bar maid anakuja kuuliza mbona hunipigii baby dogo anamchora tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeh sana.
 
Cha ajabu nini hapo!.

Hiyo Hennessy ya laki tatu muhudumu kachukua 270 yake safi kaunta.

Nyie wenye kiburi cha fedha ndio wanawapenda!

Kwa hiyo dogo anamkomoa mhudumu!

Hahahahah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiiih
 
Wale wana sera moja tu. Ukijipendekeza umepigwa ndefu. Na wana maisha mazuri hatari. Huwa wana target zao kwa siku waondoke na bei gani
Ushawahi pigwa nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom