Ni kweli mkuu, mwezi Jana nilikuwa Mwanza nilitembelea sehemu Kama nne hivi Kila watu Wana Bei zao. Mfano hiyo ya 60k bucket wanauza 80k, ile ya Kati bucket wanauza 150k the cask wanauza 180k. Kuna moja nilinunua 250k sehem moja wanaita DV8 shentemba hiyohiyo nikainunua 300k Malaika.Elfu 60 ?
[emoji3][emoji3][emoji3]malaya wacchafu sana hapo, k kama dampo la Pugu
Huyo dogo mpumbavu sana, sasa alimkomoa nani zaidi ya kuonesha ulimbukeni wake?Nakumbuka siku moja nilienda kiwanja kimoja mjini mwanza nikiwa na dogo langu(msela) akiwa kavaa kawaida sana na anakunywa maji.
Kuna bar maid alimuelewa sana akamuita na kumuomba namba yule bar maid akamjibu kwa jeuri sana kwamba ukitaka kuongea na mimi ninunulie kinywaji akanunuliwa Hennessy (pale wanauza 300k Hennessy kubwa) alafu akamwambia usikae na mimi sijapenda perfume yako nipe namba ukakae sehem tofauti na mimi then nitakutafuta, dogo hakumtafuta wala nini kakausha tu.
Kila muda yule bar maid anakuja kuuliza mbona hunipigii baby dogo anamchora tu.
Mkuu kama huelewi matumizi ya hivi vifupi achana navyo andika zako tu kibantu. 300K ni laki tatu.Ni kweli mkuu, mwezi Jana nilikuwa Mwanza nilitembelea sehemu Kama nne hivi Kila watu Wana Bei zao. Mfano hiyo ya 60k bucket wanauza 80k, ile ya Kati bucket wanauza 150k the cask wanauza 180k. Kuna moja nilinunua 250k sehem moja wanaita DV8 shentemba hiyohiyo nikainunua 300k Malaika.
Kwahiyo unahisi nimekosea auMkuu kama huelewi matumizi ya hivi vifupi achana navyo andika zako tu kibantu. 300K ni laki tatu.
Mkuu kama huelewi matumizi ya hivi vifupi achana navyo andika zako tu kibantu. 300K ni laki tatu.