Tetesi: Bar ya Forty Forty Tabata imefungwa miezi zaidi ya 3, mmiliki yuko jela kesi za uhujumu uchumi

yupo jela au yupo mahabusu? inaonekana kama unamchukia hivi
Labda kwa kukusaidia.

Mahabusu ni mtu ambae ametuhumiwa ila hakapatikana na hatia na bado yuko mikononi mwa vyombo vya dola. Yaani unaweza kua mahabusu na bado unaishi gerezani.

Jela au gereza ni mahala wanaposhikiliwa watuhumiwa ambao wanasubiri kesi zao zisikilizwe na wapate haki yao na pia kwa watu ambao tayari mashauri yao yameshasikilizwa na kutolewa maamuzi, yaani wamehukimiwa kutumikia kifungo.

Natumaini sasa utaelewa na utajijibu swali lako.
 
ohoooo! kumbe
 
Hao wamiliki wa mekus hawakua hata na 200m yao sema walibuni mekus ikawa inawalipa.oryx walimfukuza mpangaji wa kituo chao na oryx ndio walivunja....karibu hugos
 
USA Kuna democracy , hapa kwetu hiyo kesi ya kuhujumu uchumi unaweza kupewa kirahisi sana , na ikakusumbua,
 
Kuna wahudumu wazuri sijapata kuona chini ya hili jua.
 
Ajali kazini
 
Huo uzuri toka kitambo ni wa wizi pia.

Mtumishi gani wa serikali wa kiwango ambae mshahara tu unaweza kumpa ukwasi wa namna ile?
Kwani kakwambia anategemea mshahara? Watu wanabiashara na shughuli za uzalishaji.wacheni mawazo potofu kuwa ukiwa mwajiriwa basi hutakiwi kuwa na pesa
 
Utakuwa ni mtu wa hovyo sana kama unafurahia matatizo ya mtu hasa kwa kesi za tz ambazo nyingi ni za kuambukizwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…