Tetesi: Bar ya Forty Forty Tabata imefungwa miezi zaidi ya 3, mmiliki yuko jela kesi za uhujumu uchumi

Mahabusu ni yule mtu ambaye yuko ndani lakini kesi yake bado haijaisha, aliye jela au mfungwa ni yule ambaye kesi yake imeisha na kuamriwa afungwe kwa miaka kadhaa au kifungo cha maisha.
 
acha uongo aisee, forty forty haijafungwa
 
Duh bar ilikuwa tamu sana,,,full malaya!

Yes, malaya wenye matak.o O makubwa tu, Dar nzima hakuna, ukitaka matako.o ndio ilikuwa penyewe.. Ila Tabata ndio malaya classic wote wa jiji ndio center yao
 
Definitely! Not far from it......wamiliki wengi hutumia sehemu hizo kufanya money laundering, ndio maana mara nyingi wahusika hukamatwa na sehemu zao hufungwa mkuu.







Let's meet at the top, cheers 🥂
 
Muumba ajaalie abaki huko huko.
 
Hivi Mama Tema wa Tamecco kesharudi uraiani!?
 
Maskini wengi hufurahia matatizo ya matajiri
Huyu sio tajiri, ni mwizi.

Mimi nafurahi pale wezi wanapokamatwa na kushughulikiwa.

Wezi wanarudisha nyuma maendeleo.

Sasa wewe kama unamchekea mpe vitu vyako sio wa umma.
 
Yes, malaya wenye matak.o O makubwa tu, Dar nzima hakuna, ukitaka matako.o ndio ilikuwa penyewe.. Ila Tabata ndio malaya classic wote wa jiji ndio center yao
Malaya wa Tabata hawana tofauti na malaya wa Sinza. Siku hizi mimi nimehamia mikocheni, masaki ndio nakula watoto wazuri.

Malaya wa Tabata na Sinza wamejaa njaa kali. Ukiwakaribisha mezani waanza na misosi mikubwa utafikiri hajala wiki 2, bia za gharama halafu wanakunywa kama wametumwa.
 
Ikowapii mkuu kitambaa cheupee wakudangaa wapoo hapoo??!
Baada ya Tabata Bima mbele kidogo kama unaenda segerea, mtaa unaitwa baracuda, happ ndio kuna malaya wa kufa mtu sasa hivi. Zamani palikua panaitwa copa cabana.
 
Awamu Hii Ya Tano
Ogopa Sana Hicho Kifungu Cha Sheria Kinachosema "Utakatishaji Pesa Na Uhujumu Uchumi ". Kama Ingekuwa Kwenye Gari Basi Tungesema Unawekewa 4WD Na Lock Dif
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…