Mbezi Beach ilishakonfmgoroka kitambo tu mbona.
Kwa sisi ambao tumeiona Mbezi Beach tangu inajengeka, tumejenga huko tangu enzi za Nyerere, tumeliona hilo Tangi Bovu tangu lilipokuwepo zima, tumepewa mashambanya kukatiwa na CCM bure huko siku hizo, Mbezi Beach ilishakongoroka miaka 10 iliyopita.
Enzi hizo unapita kuelekea mbezi beach njia ya chini vumbi nyumba za kuhesabu,wako wakina malecela na baadhi ya watu fulaniMbezi Beach ilishakongoroka kitambo tu mbona.
Kwa sisi ambao tumeiona Mbezi Beach tangu inajengeka, tumejenga huko tangu enzi za Nyerere, tumeliona hilo Tangi Bovu tangu lilipokuwepo zima, tumepewa mashambanya kukatiwa na CCM bure huko siku hizo, Mbezi Beach ilishakongoroka miaka 10 iliyopita.
Unaongelea enzi zile hakuna lami kutoka pale bovu mpaka chini kwa RIP Sykes na ilikuwa vumbi tupu kuanzia maringo mpaka shabaha.Mbezi Beach ilishakongoroka kitambo tu mbona.
Kwa sisi ambao tumeiona Mbezi Beach tangu inajengeka, tumejenga huko tangu enzi za Nyerere, tumeliona hilo Tangi Bovu tangu lilipokuwepo zima, tumepewa mashambanya kukatiwa na CCM bure huko siku hizo, Mbezi Beach ilishakongoroka miaka 10 iliyopita.
Viwanja vya mbezi beach vimevamiwa na watoto wa kawe na wale wa pande za goba.Upo sahihi.. wajanja sio watu wa kwenda sehemu zenye vurugu nyingii.. watu wengi wauza sura..
Kwa mangii mitaani kuna watu wengi sana wenye maisha yao mazuri wanakula bia huku wanabadilishana mawazo kila siku baada ya kazi
Kulikuwa na kiwanja fulani masaki mwisho jeshini pale kulikuwa na mishikaki sanaNi kweli mkuu, ma legend tunakutana kwa mangi na vigrocery, hizo pub kubwa siku hizi zimevamiwa na madogo wanyoa viduku halafu utulivu ziro!!
Mimi nilitoka 2007, iliisha anza kuwa ya ovyo. Nafikiri miaka 15-20 ago ndiyo ilianza kuchoka, watu wakaanza kupangisha hizi single rooms cheap, and kukawa na muingiliano mkubwa na hii kawe ya ukwamaniMbezi Beach ilishakongoroka kitambo tu mbona.
Kwa sisi ambao tumeiona Mbezi Beach tangu inajengeka, tumejenga huko tangu enzi za Nyerere, tumeliona hilo Tangi Bovu tangu lilipokuwepo zima, tumepewa mashambanya kukatiwa na CCM bure huko siku hizo, Mbezi Beach ilishakongoroka miaka 10 iliyopita.
Watu wengi wa Oysterbay na Masaki ni wastaarabu sana. Ninatamani kuishi huko siku moja. Huwa ninapita mitaa hiyo nikiwa naenda Coco Beach. Pako kimya sana mpaka raha.Ukiondoa Oysterbay na Masaki mtaa unaofuatia kwa ustaarabu na makazi yenye utulivu ni Mbezi beach
Nimerudi likizo home Mbezi Beach baada ya miaka 10 mtoni, nimekuta hivyo vigenge vigenge kibao.Enzi hizo unapita kuelekea mbezi beach njia ya chini vumbi nyumba za kuhesabu,wako wakina malecela na baadhi ya watu fulani
Usiku ikifika njia hiyo hupiti maana kulikuwa kimya,ila watu walipoanza kujenga vuluvulu mara kuna vigenge viduka ah basi
Ova
HahahahaNimerudi likizo home Mbezi Beach baada ya miaka 10 mtoni, nimekuta hivyo vigenge vigenge kibao.
Bado kidogo nipotee.
Nimepaacha ushuani nimerudi nakukuta Uswaziuswazi.
Osterbay ilikuwa zamani piaWatu wengi wa Oysterbay na Masaki ni wastaarabu sana. Ninatamani kuishi huko siku moja. Huwa ninapita mitaa hiyo nikiwa naenda Coco Beach. Pako kimya sana mpaka raha.
Coco beach zamani ukitoka kuogelea kuna mabafu maalumWatu wengi wa Oysterbay na Masaki ni wastaarabu sana. Ninatamani kuishi huko siku moja. Huwa ninapita mitaa hiyo nikiwa naenda Coco Beach. Pako kimya sana mpaka raha.
Mkuu, jumapili pale Coco kuna rasta mmoja anauza urembo na viatu vya ngozi huwa anapiga reggae old school mziki mnene plus ule upepo, yaaani raha sana.Coco beach zamani ukitoka kuogelea kuna mabafu maalum
Bado Coco Beach haijapata watu wabunifu waigeuze iwe na mwonekano safi
Ova
Magenge Oysterbay mkuu? DaaahOsterbay ilikuwa zamani pia
Ukitembea unaskia milio ya ndege na mbwa tu
Siku hizj kuna maeneo kuna magenge,viduka
Ujenzi holela kwenye baadhi ya maeneo
Ova
KAKAE MASAKI BEACHKwanza naunga mkono kauli ya RC mstaafu wa Mwanza kuwa "watu wanywe bia maana bia ni uchumi" Lakini pamoja na hilo siku za karibuni kumeibuka mfululizo wa bar ukanda wa mbezi beach ya chini hali inayopelekea mtaa kukosa utulivu hii imepelekea hata baadhi ya wasanii kuhama mjini sinza na kufata viwanja Mbezi beach.
Ongezeko la bar linaweza kuleta vitendo vya uhalifu, mapaka, madawa ya kulevya na kuharibu sifa ya mtaa. Bar zenyewe zinajaa watoto wa shule za kata wanyoa viduku na vidangaji vya kutoka uswahilini Kawe. Ukiondoa Oysterbay na Masaki mtaa unaofuatia kwa ustaarabu na makazi yenye utulivu ni Mbezi beach ila tunapoelekea sasa utakuwa mtaa wa fujo. Mwanzoni zilianza kumbi za sherehe, sasa hivi bar nani anajua kitakachofuatia?
Mipango miji tupeni jicho pande hizi kuna mitaa itunzwe na kuheshimiwa kama makazi mfano Mbezi beach, Mikocheni, Mbweni na Ununio na mitaa mingine ibaki ya starehe kama Sinza, kinondoni, Tabata n.k.
Baadhi ya bar hizo ni:
Rainbow
Juliana
Kidimbwi
Na nyingine nyingi siwezi taja zote wino utaisha.
Sikuhizi inaitwa "Hang Over"...Ambrosia bado ipo?
We ulijenga kipindi cha Nyerere?Mbezi Beach ilishakongoroka kitambo tu mbona.
Kwa sisi ambao tumeiona Mbezi Beach tangu inajengeka, tumejenga huko tangu enzi za Nyerere, tumeliona hilo Tangi Bovu tangu lilipokuwepo zima, tumepewa mashamba ya kukatiwa na CCM bure huko siku hizo, Mbezi Beach ilishakongoroka miaka 10 iliyopita.
Niliagiza bucket Juliana...nilikuwa nimekaa karibu na vijana kadhaa karibu ,Ile naangalia pembeni si wakachomoa vinywaji......kweli vijana wa uswahili wanaharibu Sana image ya hizi bar siku hizi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hivi Calabash imevunjwa?Kuna moja yazinduliwa leo,Mwenge mpakani,
Halafu siyo kazi. Usipige mziki wa makelele au usipige hii miziki yao ya anajikosha, hawatakuja. Unaenda baa kesho koo linauma sababu ya kuongea kwa sauti ya juu kisa limziki.Kulikuwa na kiwanja fulani masaki mwisho jeshini pale kulikuwa na mishikaki sana
Kiwanja kilikuwa kimetulia sana walikuwa wanaenda watu fulani wanao jielewa
Kuna mazingira fulani ukiyaweka automatically watoto wenyewe wanapakimbia eneo
Ova