Bar zinavyochipuka ukanda wa Mbezi Beach

Halafu siyo kazi. Usipige mziki wa makelele au usipige hii miziki yao ya anajikosha, hawatakuja. Unaenda baa kesho koo linauma sababu ya kuongea kwa sauti ya juu kisa limziki.
Hahahahahaha

Ova
 
We ulijenga kipindi cha Nyerere?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app

Enzi za Nyerere nikikuwa nasoma shule ya msingi hivyo nisingeweza kujenga nyumba yangu by most conventional standards.

Nimejenga kwa mikono yangu nyumba ya familia (ya wazazi) Mbezi Beach miaka ya Nyerere.

Enzi hizo Tangi Bovu bado lipo.

Nimeona palivyokuwa ushuani pamepangwa vizuri, mpaka panakongoroka kwa vigenge vigenge na vichochoro.
 
Kama kuna magenge Masaki na Oysterbay wanakosea sana aisee. Waende kufanya shopping kariakoo mbona karibu sana hapo?
Vigenge vidogo,kumbuka huko obay baada ya viongozi wetu kuachiwa majumba huko wakawa wanafuga ngombe,mbuzi teh teh

Mashuwa sahv shopping wanakja soko ya kinondoni na mengineyo

Ova
 
Enzi za Nyerere nikikuwa nasoma shule ya msingi hivyo nisingeweza kujenga nyumba yangu by most conventional standards.

Nimejenga kwa mikono yangu nyumba ya familia (ya wazazi) Mbezi Beach miaka ya Nyerere.

Enzi hizo Tangi Bovu bado lipo.

Nimeona palivyokuwa ushuani pamepangwa vizuri, mpaka panakongoroka kwa vigenge vigenge na vichochoro.
Pale Junction kutokea tangi bovu kama unaelekea kwa mboma katikati pale nakumbka
Mke wa e.mmry alikuwa na eneo kubwa ilikuwa shamba ,majirani pembeni walikuwa wakina mataka...
Watu walipoanza kuhamia huko nakumbka kulikuwa na uvamizi sana majumbani watu walingiliwa sana

Kwa kweli Mbezi Beach tulivyoifikiria itakuwa na ilivyokuja kuwa ni vitu viwili tofauti.

Kwa sasa ni kutafuta chimbo jingine tulivu zaidi tu.

Huku Oysterbay na Mbezi Beach kwa kiasi kikubwa kushachafuliwa.

Ingawa kuna sehemu bado ziko poa.

Sehemu ya makazi ya watu ikishaanzishwa gereji, vigenge na mabaa ishachafuka.
 
Mipango ilikuwa mbezi iwe zaidi ya obay na masaki kama plan ingebakia kama mwanzo
Basi mbezi beach ingekuwa kama Lavington fulani!
Ila sahv is ishakuwa vurugu ktk maeneo fulani sana sana pembezoni
Labda kunduchi na ununio sema ununio kuna sehemu moja wamejaa wazaramo+konde gang kna bonge la sqata
Kuna vigodoro hpo balaaa,sehem hyo ipo katikati ya mashuwaa😂😂😂
Jamaa kuhama wabishi

Ova
 
Mipango ilikuwa mbezi iwe zaidi ya obay na masaki kama plan ingebakia kama mwanzo
Basi mbezi beach ingekuwa kama Lavington fulani!
Ila sahv is ishakuwa vurugu ktk mma
Na sisi ndivyo yulivyofikiri hivyo.

Kwamba tutahama Oysterbay na kuhamia Mbezi Beach ambayo itakuwa nzuri zaidi ya Oysterbay.
 
Back
Top Bottom