Bar zinavyochipuka ukanda wa Mbezi Beach

Bar zinavyochipuka ukanda wa Mbezi Beach

Washua mara nyingi hawapendi kelele , kule viwanja wamepima eka nzima ,hamna hamna nusu eka! Sema Watoto wa mwakitwange Rungwe Hotel na Watoto wa Sarungi wamefuga pori la hatari sana karibu eka 20 kwenda baharini.
Duh kuna watu wamewahi aise

Ova
 
Wazee wengi wamefariki. Watoto hawana hela .. nyumba zao wamezigeuza bar. Ama kupangisha kwa waswahili.. mbezi imekuwa uswazi sasa
Sahihi kabisa watoto hawana hela maana watoto wengi wa matajiri wa zamani shule ilikuwa kituo cha polisi. Hivyo urithi pekee waliobaki nao ni nyumba za wazazi
 
Wazee wengi wamefariki. Watoto hawana hela .. nyumba zao wamezigeuza bar. Ama kupangisha kwa waswahili.. mbezi imekuwa uswazi sasa
Sahihi kabisa watoto hawana hela maana watoto wengi wa matajiri wa zamani shule ilikuwa kituo cha polisi. Hivyo urithi pekee waliobaki nao ni nyumba za wazazi
 
Watu wengi wa Oysterbay na Masaki ni wastaarabu sana. Ninatamani kuishi huko siku moja. Huwa ninapita mitaa hiyo nikiwa naenda Coco Beach. Pako kimya sana mpaka raha.
Huko bado hakujaharibika sana ingawa kuna bar mbili tatu zinaanza kuleta uswahili. Lakini hata ulinzi uko juu sana doria ya askari ni kawaida usiku kwa mitaa hiyo
 
Kuna bar za malegend bado zipo dar ukienda bado unakalia viti vile vya chuma za longtime
Hakuna mambo ya bucket na mambo mengine
Mwendo wa vyombo tu

Ova
 
Mkuu wa wilaya kinondoni alikuwa na maono ila alitumbuliwa
Ile beach haitaki mambo mengi wala hautakiwi kuwekewa uzio
Iboreshwe tu,mazingira yawe mazuri,zijengwe sehemu za mazoezi,ziweke tracks pembeni za watu wa joging
Katikati zijengwe vi banda vi pub vya mbaombao
Wafanyabiashara wauza mihogo mishikaki
Wakae kimpangilio
Kuwepo na mfumo wa vyoo na mabafu basi

Ova
 
Huko bado hakujaharibika sana ingawa kuna bar mbili tatu zinaanza kuleta uswahili. Lakini hata ulinzi uko juu sana doria ya askari ni kawaida usiku kwa mitaa hiyo
Wasipaharibu bhana na biashara za hovyo hovyo, anayependa mambo ya kiswahili aende Tandale au Mbagala afanye utalii asubuhi alafu ikifika jioni arudi zake Oysterbay/Masaki kazi iendelee.
 
Mbezi Kunduchi ile ya Mwamunyange kwa Lipumba kilongawima ,bahari beach rudy farm kwenda ras kilomoni na mbweni jkt wazimantain hizo sehemu zisije kuwa changanyikeni kama mbezi beach.
Mbweni jkt kuja huku kwenye nyumba za Lugumi hadi kwa marehemu Kijazi bado kuko vizuri mno hakuna fujo.
Ila Kilongawima kwa Lipumba ni swala la muda tu hasa ukizingatia kuna lami ya kutokea mtongani
 
Mbona hizo bar ulizotaja ni za zamani sana
Kwanza naunga mkono kauli ya RC mstaafu wa Mwanza kuwa "watu wanywe bia maana bia ni uchumi" Lakini pamoja na hilo siku za karibuni kumeibuka mfululizo wa bar ukanda wa mbezi beach ya chini hali inayopelekea mtaa kukosa utulivu hii imepelekea hata baadhi ya wasanii kuhama mjini sinza na kufata viwanja Mbezi beach.

Ongezeko la bar linaweza kuleta vitendo vya uhalifu, mapaka, madawa ya kulevya na kuharibu sifa ya mtaa. Bar zenyewe zinajaa watoto wa shule za kata wanyoa viduku na vidangaji vya kutoka uswahilini Kawe. Ukiondoa Oysterbay na Masaki mtaa unaofuatia kwa ustaarabu na makazi yenye utulivu ni Mbezi beach ila tunapoelekea sasa utakuwa mtaa wa fujo. Mwanzoni zilianza kumbi za sherehe, sasa hivi bar nani anajua kitakachofuatia?

Mipango miji tupeni jicho pande hizi kuna mitaa itunzwe na kuheshimiwa kama makazi mfano Mbezi beach, Mikocheni, Mbweni na Ununio na mitaa mingine ibaki ya starehe kama Sinza, kinondoni, Tabata n.k.

Baadhi ya bar hizo ni:
Rainbow
Juliana
Kidimbwi
Na nyingine nyingi siwezi taja zote wino utaisha.
 
Mbweni jkt kuja huku kwenye nyumba za Lugumi hadi kwa marehemu Kijazi bado kuko vizuri mno hakuna fujo.
Ila Kilongawima kwa Lipumba ni swala la muda tu hasa ukizingatia kuna lami ya kutokea mtongani
Kilongawima ttz miundombinu tu
Ila kmetulia

Ova
 
Tatizo sehemu hizo zote watoto wanajaa sana

Ova
MPWA JULIANA KATUWEKENNA N
A LODGE UCHELEWI KUPISHA ANA NA MMKWEO
simza NZIMA INAHAMIA HAPO WA DK KUMI
TANO NUSU SAA LISAA AWAKESHI
WANAWEKA NA ALAM UMEKO...UJAKOJ.....WABUFUSANA
 
Huku beach rainbow

Usikubalaaaaaaa pombee mizigoya hadiya manzese 2k+3k
Maradhitupu
Hawa ndio wanachangia kuongezeka covid duniani
HD
 
HII NI COVID YA DAR

NENDA KMR BARUTI MPAKA KOROGWE BALAA IBUN..THE...HAPO WALFME KUNA NYINGINE KOROGWE NDIO B ALAA
NGOJA RCTENGULIWA AJE KUTUELEZA ZAIDI
 
Niliagiza bucket Juliana...nilikuwa nimekaa karibu na vijana kadhaa karibu ,Ile naangalia pembeni si wakachomoa vinywaji......kweli vijana wa uswahili wanaharibu Sana image ya hizi bar siku hizi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

aiseee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio mana nikiwa na hela najiendeaga sijui ile inaitwa joj and dragon masaki hakuna watu wengi ivyo halafu hakuna wizi wizi nikienda juliana nimejiandaa kwa lolote
 
Back
Top Bottom