Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Mikutano ya Viongozi wetu wapendwa , wazalendo, wamekuwa wakizunguka duniani kututafutia maendeleo.
Kumekuwa na mikutano ya nchi za ulaya na Africa, Hapa chini nimeweka nchi zilizoita wakuu wa nchi za afrika.
Mwezi huu wa 9 mwaka 2024 inasemekana wapo CHINA , kuimarisha ushirikiano.
France -------Africa
Türkiye -------Africa
China -------Africa ,
Russia------- Africa
Japan------- Africa
South------- Korea Africa
Italy--------- Africa
Qatar-------- Africa
USA---------- Africa
Viongozi wa Africa wapongezwe, wanafanya kazi kutafuta maendeleo, walichelewa sana, huu ndio wakati.
NB: Soma kitabu cha WALTER RODNEY "How Europe Underdevelop Africa"