Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Everyone has a plan for Africa Except Africa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo Bara lilobaki la WAJINGA.
Mikutano ya Viongozi wetu wapendwa , wazalendo, wamekuwa wakizunguka duniani kututafutia maendeleo.
Kumekuwa na mikutano ya nchi za ulaya na Africa, Hapa chini nimeweka nchi zilizoita wakuu wa nchi za afrika.
Mwezi huu wa 9 mwaka 2024 inasemekana wapo CHINA , kuimarisha ushirikiano.
France -------Africa
Türkiye -------Africa
China -------Africa ,
Russia------- Africa
Japan------- Africa
South------- Korea Africa
Italy------- Africa
Qatar------- Africa
USA------- Africa
Viongozi wa Africa wapongezwe, wanafanya kazi kutafuta maendeleo, walichelewa sana, hu ndio wakati.
Msanii yulePamoja na ukorofi wake na utekaji lakini jiwe aliwakazia sana mabeberu kwa hili.
3.Low level of technology1. Lack of skilled labour.
2. Land alienation.
Lack of capital1. Lack of skilled labour.
2. Land alienation.
Magufuli hakujua kabisa siasa ya wakoloni mamboleo. Imetugharimu hadi leo he failed to read between the line.Pamoja na ukorofi wake na utekaji lakini jiwe aliwakazia sana mabeberu kwa hili.
Una fikra pevu. Ila hatuna hao viongozi wenye uthubutu huu.Kimsingi, maendeleo ya msingi kabisa yako hapa hapa. Ni vile tu tayari tumeshakabidhi rasimilai nyeti kwa maendeleo yetu kwa wageni na kwa namna yale mamikataba yalivyo, ni ngumu kuchomoka. Lakini tungeweza kutumia our own resources kujenga nchi (miundombinu), kuimarisha upatikanaji na ubora wa huduma za afya na hali ya maisha ya watu wetu kwa ujumla.
Hivi hakuna sheria yoyote ya kuzuia further exprolations ya resources hasa hasa madini adimu kwa ajili ya manufaa ya vizazi vijavyo? Au wajukuu zetu watajijua wenyewe??
Kiboko kijana qa Burkina faso, sijui kama na yeye wamemuingiza mkenge kaenda huko?
Mikutano ya Viongozi wetu wapendwa , wazalendo, wamekuwa wakizunguka duniani kututafutia maendeleo.
Kumekuwa na mikutano ya nchi za ulaya na Africa, Hapa chini nimeweka nchi zilizoita wakuu wa nchi za afrika.
Mwezi huu wa 9 mwaka 2024 inasemekana wapo CHINA , kuimarisha ushirikiano.
France -------Africa
Türkiye -------Africa
China -------Africa ,
Russia------- Africa
Japan------- Africa
South------- Korea Africa
Italy------- Africa
Qatar------- Africa
USA------- Africa
Viongozi wa Africa wapongezwe, wanafanya kazi kutafuta maendeleo, walichelewa sana, hu ndio wakati.
Afrika nzima imeenda huko.Kiboko kijana qa Burkina faso, sijui kama na yeye wamemuingiza mkenge kaenda huko?
ha ha ha, Pumbav!Lack of capital
Forced labor
😄 🤣 😂 😆
Nchi za ulimwengu wa tatu?Ndo Bara lilobaki la WAJINGA.
kwani si tumeshakubaliana sisi pepo yetu iko juu huko mawinguni.Sisi tunawapambania kina Yesu na Muhammad kwanza 😁😁
Ulaya walitufanya tukawa maskini, huu ni wakati sasa tukae na china tuwe matajiri.kwani si tumeshakubaliana sisi pepo yetu iko juu huko mawinguni.
Kaka, wewe ndio wale mnapaswa kupewa pHD ya heshma.Waafrika bado hawajitambui mkuu sasa hivi Wazungu wanaligawa bara kwa kuangalia fursa zao huku wao wakiwa wamekaa vikao vya siri na kuwaita hao mmoja mmoja au kwa makundi Nchi zilizoendelea zinategemea sana malighafi za wizi kutoka Afrika na mikopo yao ya kimagumashi.
Ni ngumu mkuu kwa sababu maeneo mengi Afrika wazungu walianza kuyamiliki toka enzi za ukoloni ukienda hapo Njombe utashangaa yale maeneo mazuri unaambiwa ni shamba la Malkia harafu Wananchi wapo kwenye milima huko ndio mji ulipo na ukiwaondoa wanakuwekea vikwazo na kukunyima mikopo hilo ni eneo moja tu yapo mengi..Kaka, wewe ndio wale mnapaswa kupewa pHD ya heshma.
Yani ,Mungu sometimes hawezi kutusaidia kutunasua huku?
Unafikiri hiyo mikataba waliosani babu zetu ina utofauti na hii tunayosaini sasa hivi?Ni ngumu mkuu kwa sababu maeneo mengi Afrika wazungu walianza kuyamiliki toka enzi za ukoloni ukienda hapo Njombe utashangaa yale maeneo mazuri unaambiwa ni shamba la Malkia harafu Wananchi wapo kwenye milima huko ndio mji ulipo na ukiwaondoa wanakuwekea vikwazo na kukunyima mikopo hilo ni eneo moja tu yapo mengi..
Wazungu wanatoka Ulaya kuja kuogelea Njombe na both zao kwenye eneo lao ambalo mtu mweusi akikatiza hapo anaishia Jela..Nchi za Africa bado zinatawaliwa kwa sheria ngumu kama enzi za Ukoloni tu ni vile sasa hivi baadhi ya vitu wapo huru kuvifanya.
Kikubwa ni Ardhi cha pili ni kutafuta malighafi za Viwanda vyako, cha tatu ni kuwapatia watu wao ajira, mfano china wanakuja na zaidi ya asilimia 90% ni watu wao, baadae , utakuja utawala wao au tamaduni zao nk Mwisho watatuletea vita tumalizane Sisi wenyewe. Na wao fursa ya kututawala vizuri kisiasa na kiuchumi.1. Lack of skilled labour.
2. Land alienation.