Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
- Thread starter
- #81
Ujenzi 90% tunawapa wachina, tunawalipa dola, wanaweka kwenye akaunti zao za china.Kikubwa ni Ardhi cha pili ni kutafuta malighafi za Viwanda vyako, cha tatu ni kuwapatia watu wao ajira, mfano china wanakuja na zaidi ya asilimia 90% ni watu wao, baadae , utakuja utawala wao au tamaduni zao nk Mwisho watatuletea vita tumalizane Sisi wenyewe. Na wao fursa ya kututawala vizuri kisiasa na kiuchumi.
Sasa, tatizo ni laana ya Afrika au ni nini?