ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hawajaanza Leo kugombea Toka enzi za kabla ya Berlin Conference na hawajamaliza Mali hapa Afrika ndio kwanza Bado sie ni vigoli.View attachment 3088561
Mikutano ya Viongozi wetu wapendwa , wazalendo, wamekuwa wakizunguka duniani kututafutia maendeleo.
Kumekuwa na mikutano ya nchi za ulaya na Africa, Hapa chini nimeweka nchi zilizoita wakuu wa nchi za afrika.
Mwezi huu wa 9 mwaka 2024 inasemekana wapo CHINA , kuimarisha ushirikiano.
France -------Africa
Türkiye -------Africa
China -------Africa ,
Russia------- Africa
Japan------- Africa
South------- Korea Africa
Italy------- Africa
Qatar------- Africa
USA------- Africa
Viongozi wa Africa wapongezwe, wanafanya kazi kutafuta maendeleo , walichelewa sana, hu ndio wakati.
Wacha watifuane ,mwenye better deals ndio ata th win