Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
1. Lack of skilled labour.Partition and scramble of africa - 21st century edition
Wajukuu zetu watajijua wenyewe!Kimsingi, maendeleo ya msingi kabisa yako hapa hapa. Ni vile tu tayari tumeshakabidhi rasimilai nyeti kwa maendeleo yetu kwa wageni na kwa namna yale mamikataba yalivyo, ni ngumu kuchomoka. Lakini tungeweza kutumia our own resources kujenga nchi (miundombinu), kuimarisha upatikanaji na ubora wa huduma za afya na hali ya maisha ya watu wetu kwa ujumla.
Hivi hakuna sheria yoyote ya kuzuia further exprolations ya resources hasa hasa madini adimu kwa ajili ya manufaa ya vizazi vijavyo? Au wajukuu zetu watajijua wenyewe??
3. Poor employment policy1. Lack of skilled labour.
2. Land alienation.
Urusi na Ukraine wanailisha AfricaBara pekee lililobaki lenye uwezo wa kuilisha dunia na lenye mali nyingi sana mpaka sasa
This time ni lack of forward thinking and poor leadership1. Lack of skilled labour.
2. Land alienation.
Poor leadership wakati kwa sasa huku Angola na Rwanda watu ni wasomi kuliko zamani?This time ni lack of forward thinking and poor leadership
Nani kawacheleweshaView attachment 3088561
Mikutano ya Viongozi wetu wapendwa , wazalendo, wamekuwa wakizunguka duniani kututafutia maendeleo.
Kumekuwa na mikutano ya nchi za ulaya na Africa, Hapa chini nimeweka nchi zilizoita wakuu wa nchi za afrika.
Mwezi huu wa 9 mwaka 2024 inasemekana wapo CHINA , kuimarisha ushirikiano.
France -------Africa
Türkiye -------Africa
China -------Africa ,
Russia------- Africa
Japan------- Africa
South------- Korea Africa
Italy------- Africa
Qatar------- Africa
USA------- Africa
Viongozi wa Africa wapongezwe, wanafanya kazi kutafuta maendeleo , walichelewa sana, hu ndio wakati.
WApinzani wanaojifanya wazalendo na kusema eti nchi zinaweza kujitegemea.Nani kawachelesha
Kuwa na wasomi si sababu, tuna wasomi wangapi lakini ukiangalia priority ya viongozi wetu bado ni primitive?Poor leadership wakati kwa sasa huku Angola na Rwanda watu ni wasomi kuliko zamani?
Ina mana unataka kuwalaumu badala ya kuwashukuru kutuletea mikopo na misaada?Kuwa na wasomi si sababu, tuna wasomi wangapi lakini ukiangalia priority ya viongozi wetu bado ni primitive?
Hatuwezi kupiga hatua kama wanaopewa dhamana wanaahirisha kufikiri kwa nafsi a.k.a kujizima data, human herdingWApinzani wanaojifanya wazalendo na kusema eti nchi zinaweza kujitegemea.
Wametuchelewesha sana.