Bara la Afrika kugombewa kama "kigoli"

Unajua kibaya zaidi, unlike zamani, waafrika wa sasa wameelimika. Lakin hata hivyo elimu hizo haziwasaidii kujitegemea
Bado mkoloni analumbatiwa na hata baadhinya viongozi kuwa chawa kabisa
Na ujinga ulipo viongozi wanaangalia maslahi yao binafsi kuliko ya Taifa
 
Tunae Chifu Hangaya wa Kizimkazi sio yule Chifu Mangungo wa msovero usagara
 
Acha uongo, Masoud Kipanya kagundua gari zuri lingefaa mawaziri wetu ila hawataki kutoa nakala nyingi ili tuachane na ma -vx
Hawataki kutoa nakala nyingi kwasababu ya ;
1. Low capital
2. Taxation
3. Low technology

Yaan mule mule hizi factor zimetupa vyeti mkuu
 
Wanasahau solution ya cchangamoto nyingi ziko kwenye vichwa vya wanchi, wao bize. Kuwateka na kuwateka na kuwauwa alafu wanaenda ulaya kuomba omba
 
Wanasahau solution ya cchangamoto nyingi ziko kwenye vichwa vya wanchi, wao bize. Kuwateka na kuwateka na kuwauwa alafu wanaenda ulaya kuomba omba
Inasemekana wananchi wenyewe wapo boze na "Simba na Yanga' huku wiki nzima wakijadili suala la Diamond kuwa tajiri namba moja duniani.
 
Inabidi viongozi wetu wafanye "radical change" - ukiiangalia rasilimali watu na rasilimali asilia na hali ya maisha ya Waafrika hakuna uwiano.
 

$50B kwa miaka mitatu na inaenda kwa kampuni za Kichina ni kama utani na kichekesho. Ni pesa ndogo sana kwa miradi
 
Ona hli senge hili. Nilitegemea kuskia vinajengwa viwanda afrika kumbe usenge usenge tu. Wa kujengewa sjui rail sjui viwanja vya mpira, viwanda tulivyokuwa navyo hapa tz viongoz wakawapa wachina, wahindi na wazungu leo vyote n mfu.
 
Ujinga na ubinafsi utauweka wapi ili hayo yawezekane?.umaskini wetu sio wa pesa wala rasilimali bali ujinga na ubinafsi ndo chanzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…