Bara la Afrika kugombewa kama "kigoli"

Ndo Bara lilobaki la WAJINGA.
 
Na itakuwaje sisi TZ tukialika nchi zote za Ulaya (EU)..?
 
Pamoja na ukorofi wake na utekaji lakini jiwe aliwakazia sana mabeberu kwa hili.
Magufuli hakujua kabisa siasa ya wakoloni mamboleo. Imetugharimu hadi leo he failed to read between the line.
Unatukana Major worldwide development bank simply walikupa makavu kwa utu wa mtu na accountable for every dime you spent unageuka mbayuwayu.Lakini jioni unajikaaga na Commercial bank yenye 15% riba na lipa within 5 years benki kausha damu!
Taifisha mali za wazadiki wote.Saa ya ukombozi ni sasa.
 
Hii ni dalili ya Nchi masikini.maana mikutano yote waafrika ndiyo wanaenda na kupewa maelekezo.wao hakuna hata mkutano mmoja ambao wamewaita wazungu Kuja kwao
 
Una fikra pevu. Ila hatuna hao viongozi wenye uthubutu huu.
 
Kiboko kijana qa Burkina faso, sijui kama na yeye wamemuingiza mkenge kaenda huko?
 
Kiboko kijana qa Burkina faso, sijui kama na yeye wamemuingiza mkenge kaenda huko?
Afrika nzima imeenda huko.
Hivi , Mbunge wa Mwanza anaeza kuitisha mkutano wa wananchi, ila wananchi lazma mamfuate MASAKI napoishi maisha yake ya anasa na mkewe? Huyu mbunge hawezi kuwafuata wananchi mwanza?
 
Waafrika bado hawajitambui mkuu sasa hivi Wazungu wanaligawa bara kwa kuangalia fursa zao huku wao wakiwa wamekaa vikao vya siri na kuwaita hao mmoja mmoja au kwa makundi Nchi zilizoendelea zinategemea sana malighafi za wizi kutoka Afrika na mikopo yao ya kimagumashi.
 
Kaka, wewe ndio wale mnapaswa kupewa pHD ya heshma.
Yani ,Mungu sometimes hawezi kutusaidia kutunasua huku?
 
Kaka, wewe ndio wale mnapaswa kupewa pHD ya heshma.
Yani ,Mungu sometimes hawezi kutusaidia kutunasua huku?
Ni ngumu mkuu kwa sababu maeneo mengi Afrika wazungu walianza kuyamiliki toka enzi za ukoloni ukienda hapo Njombe utashangaa yale maeneo mazuri unaambiwa ni shamba la Malkia harafu Wananchi wapo kwenye milima huko ndio mji ulipo na ukiwaondoa wanakuwekea vikwazo na kukunyima mikopo hilo ni eneo moja tu yapo mengi..
Wazungu wanatoka Ulaya kuja kuogelea Njombe na both zao kwenye eneo lao ambalo mtu mweusi akikatiza hapo anaishia Jela..Nchi za Africa bado zinatawaliwa kwa sheria ngumu kama enzi za Ukoloni tu ni vile sasa hivi baadhi ya vitu wapo huru kuvifanya.
 
Unafikiri hiyo mikataba waliosani babu zetu ina utofauti na hii tunayosaini sasa hivi?
 
1. Lack of skilled labour.
2. Land alienation.
Kikubwa ni Ardhi cha pili ni kutafuta malighafi za Viwanda vyako, cha tatu ni kuwapatia watu wao ajira, mfano china wanakuja na zaidi ya asilimia 90% ni watu wao, baadae , utakuja utawala wao au tamaduni zao nk Mwisho watatuletea vita tumalizane Sisi wenyewe. Na wao fursa ya kututawala vizuri kisiasa na kiuchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…