Bara la Afrika kugombewa kama "kigoli"

Ujenzi 90% tunawapa wachina, tunawalipa dola, wanaweka kwenye akaunti zao za china.

Sasa, tatizo ni laana ya Afrika au ni nini?
 
Ujenzi 90% tunawapa wachina, tunawalipa dola, wanaweka kwenye akaunti zao za china.

Sasa, tatizo ni laana ya Afrika au ni nini?
Tatizo linaweza kuwa sio Hilo , tatizo tunapewa chambo , ambacho Mwisho wa siku faida kubwa inaenda huko. Mkataba mzuri ni wote mpate. Lakini kwenye hii wao ndio wanapaka zaidi , Kwa kuwapatia watu wao KAZI zenye tija Sisi kuambulia makombo.
 
Sasa unafikiri tunaweza kutoka huko?
 
Sasa unafikiri tunaweza kutoka huko?
Tukiwa na uongozi Boratutaweza kutoka , lakini tukiwa tuna uongozi huu waku export hata kazi na faida kwenye vitu tunavyoweza kufanya ni wazi hatuwezi kutoka . Mfano ni la Bandari ambalo unajua unatakiwa kuwa na vifaa vya kutosha za kuinua ma container wewe hufanyi hivyo, unatakiwa kuwa na eneo la kuhifadhi ma container na tumetengeneza kwala lakini umekazana Bandari kavu za naniliu. Pili kuuza malighafi badala ya bidhaa yenye thamani zaidi. Kuchelewesha miradi, mfano SGR na mwendokasi Kasi .
 
Ili tupate uongozi bora tufanyeje?

Tuombe Mungu atatupatia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…