Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Mkuu nadhani hilo linawezekana kwa viongozi wa mabara mengine ila siyo hili bara letu ambalo viongozi wake wengi ni mamluki, viongozi wengi Africa ni vibaraka na watumwa wa wazungu yani kwao mambo mengi yanayohusu nchi zao kufanyika ni hadi mzungu aseme yes na akisema no basi hayafanyiki, mfano mzuri tu ni hili swala la ushoga pamoja na waafrika wengi kupinga na kuwa na sauti moja ila ni viongozi wachache kama kina Museveni ndio walifanyia kazi na wakaanza kupewa vitisho ila wengine wameufyataHili sio swala la viongozi ni swala la sisi wenyewe wananchi, kiongozi mwenyewe anatoka kwa wananchi... Kiongozi atakuwa na nguvu endapo tu wananchi wasipokuwa na kauli mmoja... Hakuna nchi ambayo kiongozi wake anaweza kuwapelekesha wananchi endapo wakiwa na sauti moja... Utofauti wetu ndio unapekelekea inakuwa rahisi kupelekeshwa, kwa sababu wengine wanakuwa wana support ndio na wengine wanasapoti hapana sasa hapo ndipo Kiongozi wananchi anatumia mwanya kuwaangamiza wale wasioendana naye, ila kama wote mna kauli mmoja, kiongozi anakuwa mchache sana