Hapa swala ni mfumo au ni pesa... Kama swala ni mfumo, mimi siongelei mfumo... Sasa kuna biashara gani mtandaoni au huduma isiyotumia Dollar, kila huduma hapa mtandaoni ni Dollar... Na Dollar ni barrier kwa baadhi ya huduma za barani Afrika endapo mwafrika wa nchi nyingine anataka kufanya biashara na mwafrika Mwingine...
Unataka kufanya biashara mtandao kwa mashilingi yako unamuuzia nani hayo mashilingi yako, nani anunue mashilingi yako hapate athara, Dollar ndio pesa ya mabadilishano ya kitaifa, hili ununue kitu Ghana utaulizwa una dollar ngapi na hautaukizwa mashilingi yako, hivyo hivyo mtu kutoa Ghana alitaka kununua kitu Bongo ataulizwa ana Dollar ngapi na wala sio Ghananian Cedi...Ndio maana nikakwambia tungekuwa na sarafu mmoja kama jinsi Ulaya wanavyotumia Euro tungekuwa na unafuu... Sasa hapo uelewi nini... Ebu kabla ujaleta mada akikisha umesoma conversation za nyuma, maana narudia kusema yale yale