Bara la ulaya ni kama vile linasinzia kama sio kulala

Kasi gani?

Unatumia AI halafu hata hizo figures za AI kuzitafsiri ni mzigo.

Nchi yoyote inaweza kuipita nchi yoyote ikiwa uchumi utapanda kwa kasi.

Tatizo ni, hiyo kasi inayosemwa ni realistic? Ni achievable? Inaweza kuwa hivyo consistently? Kasi ya kuongezeka watu nayo ikoje na itaathiri vipi uchumi? Uingereza nao watafanya nini wamesinzia tu au watajiongeza?

Haya ni mambo complex na wewe unataka kuyadogosha sana.
Mimi nimesema tu kuna chances za Uingereza kupitwa sijasema ya kuwa atapitwa. Halafu wewe si unaishi abroad na unajua kiingereza sasa nikutafsirie ili iweje?
 
Sawa ngoja nikupe figures GDP growth rate ya India ni 6%-7% halafu ya Uingereza ni 1%-2%.
 
Amechoka tuona kama atamudu huu uzi
 
Mimi nimesema tu kuna chances za Uingereza kupitwa sijasema ya kuwa atapitwa. Halafu wewe si unaishi abroad na unajua kiingereza sasa nikutafsirie ili iweje?
Ukisema kuna chances hujasema kitu.

Kuna chances wewe utakuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa pia. Should that be a headline?

Weka data, chances gani, asilimia ngapi? Kwa data gani? Kwa timeline ipi? Kwa projection gani?Kwa methodology gani?
 
Soma comment namba 34 na uielewe. Acha ubishi wa kijinga. Wewe ndo unatakiwa ulete hoja ya kwanini Uingereza hawezi kupitwa na India mimi nimeshakupa data za kutosha. Nikosoe kwa hoja na sio kudai data ambazo hushapewa na ziko wazi.
 
Sijasema Uingereza hawezi kupitwa.

Wewe ndiye hujui kusoma kwa ufahamu.

Wewe ndiye unaleta ubishi wa kijinga ukidaiwa data unashindwa kuleta data.

Umesema wewe si mtaalamu wa uchumi, unategemea AI.

Hiyo AI yenyewe unawezaje kuitafsiri na kuihakiki kama wewe si mtaalamu wa uchumi?
 
Sasa kati ya mimi niliyetoa data na wewe usiyetoa hoja kazi kudai data za AI hazijitoshelezi nani mbishi?

Toa hoja mkuu. Mimi nimeshatoa data za kutosha.
Sawa ngoja nikupe figures GDP growth rate ya India ni 6%-7% halafu ya Uingereza ni 1%-2%.
 
Sasa kati ya mimi niliyetoa data na wewe usiyetoa hoja kazi kudai data za AI hazijitoshelezi nani mbishi?

Toa hoja mkuu. Mimi nimeshatoa data za kutosha.
Hoja ni kwamba jifunze kujenga hoja kwa data.

Hata kama ni projection njoo na projection ya sehemu credible useme kwa mujibu wa projections za, kwa mfano, world bank wamesema hivi na hivi.

Si kuja na majibu ya kuokoteza kwenye AI ambayo na yenyewe hayatuambii lolote.
 
Sasa maelezo ya world Bank na AI yatakuwa na tofauti gani? Kumbuka ya kuwa AI anakusanya kwanza taarifa kutoka vyanzo mbalimbali na kuvicombine halafu ndo anadisplay.
 
Nimekwambia kwamba hata hayo maelezo ya AI hayatuambii chochote.
 
Kuna mambo mengine hayahitaji hata akili kuyafikiria. Ulaya magharibi walishafika mbali sana kimaendeleo kufananisha na nchi za Asia na Amerika kusini. Huko Brazil kuna sehemu kibao barabara mbovu kama Afrika. Huko Asia hasa India kuna ufukara usioelezeka. Kufikia maisha kama ya mwingereza ni ndoto za mchana. Huko China kunakosifiwa wazungu wamewekeza sana. Mchina ni kama punda wao tu.
 
Weka ushahidi wa unachosema.
Na kama wazungu wamewekeza China leo China isingekuwa inaivimbia nchi kama Marekani na nchi zingine za Ulaya.
 
Kuna mambo mengine hayahitaji hata akili kuyafikiria. Ulaya magharibi walishafika mbali sana kimaendeleo kufananisha na nchi za Asia na Amerika kusini. Huko Brazil kuna sehemu kibao barabara mbovu kama Afrika. Huko Asia hasa India kuna ufukara usioelezeka. Kufikia maisha kama ya mwingereza ni ndoto za mchana. Huko China kunakosifiwa wazungu wamewekeza sana. Mchina ni kama punda wao tu.
Pia mimi nilikuwa nalenga sayansi na teknolijia Ulaya inasinzia kwenye hilo eneo maswala ya barabara mbovu sijui na umasikini hilo sijaligusia.
 
Back
Top Bottom