Bara la ulaya ni kama vile linasinzia kama sio kulala

Tamaa ya kupata faida kulifanya ulaya kuhamishia viwanda vyake China leo viwanda vyake vya uchina vinashindana na ulaya na ulaya imejikuta njia panda kwa bidhaa nafuu kutoka china
 
Ulaya walishafika kilele cha maendeleo hayo mambo ya viwanda wameshapita karne 17_18 wamebaki tu wana enjoy tu maisha.
 
Nakubali sikuhizi kwenye maendeleo bara la asia wanakimbiza uenda wakapngoza uchumi wa dunia
Sasa ata wakiongoza kutakuwa na jipya gani ulaya iliongoza uchumi wa dunia kwa makarne ila yootee yalikuja kuharibija ndani ya miaka 3 tu ya 1ww na 2ww..

Ndio maana wazungu wanaishi leo wao hawaisii kwa kujitesa wameshavuka huko kotee..
 
Dragon is rising

Lions and eagles sleeping

Uhamiaji ndio uliua ulaya

Nenda london sahii ni km upo palestine
Nenda paris ni km upo cairo

Nenda armstedam ni km upo yemen😁😁
Na hayo ndio matokeo ya kuchochea na kufadhili vita kwenye nchi nyingine
 
Weka ushahidi wa unachosema.
Na kama wazungu wamewekeza China leo China isingekuwa inaivimbia nchi kama Marekani na nchi zingine za Ulaya.
Kama wazungu wamewekeza china na huyo china akainuka kiuchumi na kuwa ya pili Duniani, je huo uchumi ni wa China au hao wazungu unaodai.

Wazungu wamewekeza pia Africa mbona hatujainuka kiuchumi kuwapita kama ilivyo Kwa China? Ulaya Sasa hivi wanapambana namna ya kukabiliana na tishio la china kwenye uchumi, uzalishaji na teknolojia, we unatuletea hadithi za wazungu wamewekeza sana china. Kama wao kuwekeza sana china, ndo kunawafanya wamuone china kuwa tishio basi Ingekuwa rahisi Kwa wao kukabiliana na hicho Wana kiita kitisho Cha China maana wangepunguza uzalisha, uwekezaji na kuhamisha mitaji. Hata kama humpendi china mpe maua yake, amejiatidi kisera, kimikakati, ubunifu, usimamizi, uwekezaji na uwajibikaji.
 
Tupo pamoja mkuu. Hii comment imfikie Glenn na MamaSamia2025
 
Safi kabisa mkuu.
 
Back
Top Bottom