mackj
Member
- Jul 25, 2023
- 84
- 98
Barabara ya kibada-mwasonga inayoendelea na ujenzi mkandarasi hajaweka barabara ya mchepuo (diversion) kitu kinachopelekea watumishi wanaojenga barabara hiyo kuwazuia watumiaji wa barabara kutopita mpaka wamalize kazi yao kitu amabacho kinazua usumbufu mkubwa hivyo watumiaji wa barabara wakiwemo bodaboda kulazimika kutafuta njia ya upenyo iliwawaishe abiria wao nkandarasi na wafanyakazi wake wanawakimbiza na kuwachapa fimbo pamoja na kutoa funguo za pikipiki tunaomba Tanroad wachukue hatua tofauti na hapo wananchi watachukua hatua wenyewe sema file ni kubwa ningetuma video