Salama wanajamvii.
Sasa leo tutaje barabara zenye kero
Mimi naanza na Barabara ya BABATI -SINGIDA anzia Daredaa ile barabara inatuchelewesha sana barabarani ni mbivu ni kama rafu road ilichangamkaaa.
Mwanza - Lamadi hii barabara unaanzia Nyaguge hadi lamadi ni rafu road iliyochangamkaa.Mwanza Lamadi ni mwendo wa lisaa tuu lkn hapo utazunguka wee hadi 3hours.
Barabara ya Mwanza - Shinyanga nayo ni kero
Barabara ya Singida - Tabora nayo sio nzuri kihivyo
Na tembea yangu kwa sasa nchini kwetu; mikoa yenye hali ngumu ya barabara ni Manyara, Kilimanjaro, Mwanza and Simiyu.
Hii ni kwa baadhi ya mikoa niliyotembelea hivi karibuni