Barabara kutoka Mombasa hadi Nigeria itakayopitia mataifa sita

Barabara kutoka Mombasa hadi Nigeria itakayopitia mataifa sita

Huna nafurahi sana Nchi au Mtu akithubutu..Kongole sana Wakenya
 
Actually ipo! Few modifications can do! Unless u think only Kenya has a pass to link with Lagos! It's called business opportunity!
Hahaha! 😀 Jengeni barabara basi, kivyenu, kutoka Kisangani, DRC hadi Dar ili hii barabara isipite Uganda na Kenya. Alafu muifanye iwe ni zawadi ya bure kwa rais Tshisekedi hapo sasa ndio tutawatambua rasmi kama donor country.
 
Wewe ni punguani barabara mpaka Kigali ipo tayari! Kigali Kisangani ipo! The rest huo mradi utajenga na sie tutatumia! A reason I said we will chop!
 
Ni Githeri madam, kutamka na kuandika haya majina ya kutoka maeneo ya Ml. Kenya huwa kunatatiza wengi sana. Ila nadhani kwa kina dada Mutura sanasana ndio chakula maalum cha kupunguza flat screen na kuongeza mawetete. 😀
 
Wewe ni punguani barabara mpaka Kigali ipo tayari! Kigali Kisangani ipo! The rest huo mradi utajenga na sie tutatumia! A reason I said we will chop!
Inaitwa Trans-African Highway, sio Ke-Ug-DRC-CAR-Cameroun-Nigeria highway, hata S.Sudan, Ethiopia na Somalia wataitumia pia. Ndio lengo lake, acha kupenda ubishi wa peni mbili.
 
Back
Top Bottom