Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha! 😀 Jengeni barabara basi, kivyenu, kutoka Kisangani, DRC hadi Dar ili hii barabara isipite Uganda na Kenya. Alafu muifanye iwe ni zawadi ya bure kwa rais Tshisekedi hapo sasa ndio tutawatambua rasmi kama donor country.Actually ipo! Few modifications can do! Unless u think only Kenya has a pass to link with Lagos! It's called business opportunity!
MNa Wanigeria wanapenda Kenya. Kwenye tamthilia zao holiday ni Kenya au South Africa.
KidheriIla siku hizi vimwana vya Kenya vinapendeza sana sijui wanakula nini 😋😋😋
M
Wewe ni punguani barabara mpaka Kigali ipo tayari! Kigali Kisangani ipo! The rest huo mradi utajenga na sie tutatumia! A reason I said we will chop!Hahaha! 😀 Jengeni barabara basi, kivyenu, kutoka Kisangani, DRC hadi Dar ili hii barabara isipite Uganda na Kenya. Alafu muifanye iwe ni zawadi ya bure kwa rais Tshisekedi hapo sasa ndio tutawatambua rasmi kama donor country.
Ni Githeri madam, kutamka na kuandika haya majina ya kutoka maeneo ya Ml. Kenya huwa kunatatiza wengi sana. Ila nadhani kwa kina dada Mutura sanasana ndio chakula maalum cha kupunguza flat screen na kuongeza mawetete. 😀Kidheri
Inaitwa Trans-African Highway, sio Ke-Ug-DRC-CAR-Cameroun-Nigeria highway, hata S.Sudan, Ethiopia na Somalia wataitumia pia. Ndio lengo lake, acha kupenda ubishi wa peni mbili.Wewe ni punguani barabara mpaka Kigali ipo tayari! Kigali Kisangani ipo! The rest huo mradi utajenga na sie tutatumia! A reason I said we will chop!
Usisahau na pilipili kwa wingi.Fufu na chuzi la mafuta ndio ugonjwa wao , lakini napenda sana ugali wao kasoro hilo chuzi tu mana mafuta mengi hahahaha