Barabara Kuu ya Dar-Tunduma imefungwa kwa saa mbili hadi sasa

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,207
Reaction score
13,839

Barabara Kuu ya Tunduma-Dar ea salaam imefungwa.

Maso nipo hapa kijiji cha Viwenge Iringa.
Mpaka sasa kuna magari zaidi ya elfu moja yanasubiri kupita.

Tunajua hii barabara kuu ni biashara kubwa na tunachosikia eti kuna shughuli ya Mwenge kijijini.

Hii ni absurdity at its best.
Unafunga biashara ya Zambia, Congo, Malawi na mikoa yote ya Nyanda za juu Kusini ili shughuli ya Mwenge ifanyike.

Mimi ni mwana CCM, lakini haya ni matumizi MABAYA ya Mwenge.

Waziri wa Ujenzi na CCM ni vyema wajue jinsi hili linavyo hujumu biashara na shughuli za uchumi.
 
Mwenge ndio mungu wao usiuchukulie poa.

Ktk ulimwengu wa roho unaona kama ni ujinga lakini kuna jambo zito hapo
 
Mimi ni mwana CCM, lakini haya ni matumizi MABAYA ya Mwenge.

Waziri wa Ujenzi na CCM ni vyema wajue jinsi hili linavyo hujumu biashara na shughuli za uchumi.[emoji2827]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…