masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Barabara Kuu ya Tunduma-Dar ea salaam imefungwa.
Maso nipo hapa kijiji cha Viwenge Iringa.
Mpaka sasa kuna magari zaidi ya elfu moja yanasubiri kupita.
Tunajua hii barabara kuu ni biashara kubwa na tunachosikia eti kuna shughuli ya Mwenge kijijini.
Hii ni absurdity at its best.
Unafunga biashara ya Zambia, Congo, Malawi na mikoa yote ya Nyanda za juu Kusini ili shughuli ya Mwenge ifanyike.
Mimi ni mwana CCM, lakini haya ni matumizi MABAYA ya Mwenge.
Waziri wa Ujenzi na CCM ni vyema wajue jinsi hili linavyo hujumu biashara na shughuli za uchumi.