Chifu mkuu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2025
- 422
- 489
Tutsi gang!Unajidanganya Sana.
Amani ya Kudumu kamwe haiwezi kuwepo endapo kama HAKI haipo.
Guarantee ya uhakika ya kuwepo kwa Amani hutokana na kuwepo kwa HAKI.
Amani ni tunda la HAKI.
If there is no Justice then there will be no Peace!
Yeye kagame kama hao m 23 ana huruma nao kwakuwa ni watutsi wenzake kwanini asiwaite Rwanda akawapa kazi za kufanya kuliko kuendeleza vurugu ndani ya nchi nyingine?!
Akili za watutsi kama wasomali vile !
Ni watu wanaoendekeza sana ubaguzi dhidi ya koo au makabila mengine!
Hata kama watu wote wa Afrika mashariki na ya kati tukiondoka na kuwaacha watutsi peke yao bado wenyewe kwa wenyewe watapigana kwa kuanza kubaguana kwa kuangalia wewe ni mtutsi mwenye asili ya wapo?! Nyerere alishasema dhambi ya ubaguzi haina mwisho kwamba hata wahaya wanabaguana wenyewe kwa wenyewe kwamba HAWA NI WAYOZA NA HAWA NI WAZIBA WAKATI MAKABILA MENGINE WANAONA WAHAYA WOTE NI KITU KIMOJA!
Mimi natokea Ngara mkoani Kagera na mama yangu mzazi (Allaah amrehemu na ajalie pepo kuwa makazi yake!) ni mtutsi wa kitanzania mzaliwa wa Kabanga wilayani Ngara lakini vurugu anazozifanya Kagame katika nchi za maziwa makuu zinakera sana !.