Siungi mkono hoja ya kumzomea Kagame....Ila wewe unayemwita mwenzako mjinga ni dhahiri wewe ndiyo mjinga zaidi ...na wala hujui kabisa kile kinachotokea DRC na hata chanzo cha mgogoro wake....Kagame ni very arrogant na siyo mara ya kwanza kwa anayoyafanya sasa...Lakini pamoja na ukatili wake ameifanya Rwanda kwa sasa kupiga hatua kubwa kijamii na kiuchumi.....Ila kupeleka mmajeshi DRC...No..Acha ujinga wako mumzomee kwa sababu gani? Hujui historia ya mgogoro Ndio maana unazungumza ujinga huu!
Leo hii Mkiamua kuwapa kipigo wamasai wa Tanzania unadhani wamasai wa Kenya wataacha kuja kuwasaidia ndugu zao? Ndio Kagame anachofanya DRC.