WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Chanzo cha mgogoro ni Kagame na Mseveni kutafuta Raw materials DRC kwa njia ya hila.Inaelekea hujui chanzo cha huu mgogoro unaishia kutukana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chanzo cha mgogoro ni Kagame na Mseveni kutafuta Raw materials DRC kwa njia ya hila.Inaelekea hujui chanzo cha huu mgogoro unaishia kutukana!
Siyo kweli hata kidogo, inavyoonekana wewe hauna taarifa za kutosha na za uhakika kuhusiana na Mgogoro huo wa huko DRC (Zaire). Fanya utafiti wako wa kina kabisa kuhusu suala hili kabla ya kutoa maoni yako humu mtandaoniChanzo cha mgogoro ni Kagame na Mseveni kutafuta Raw materials DRC kwa njia ya hila.
Exactly 💯Absolutely. Hao M23 wanapigania HAKI zao. Utawala wa nchi hauwezi kufanya DHULUMA kubwa kiasi hicho halafu uachwe tu hivi hivi bila kuadhibiwa, Kamwe haiwezekani kabisa.
Tunapaswa tukumbuke kwamba:
"Njia pekee ambayo Wananchi wataitumia katika kuzungumza au kujadiliana na Watawala wao ambao ni Madikteta ili kufikia muafaka wenye maslahi kwa pande zote mbili ni kwa kupitia mtutu wa bunduki."
Jeffs O'Brien.
Yeye mwenyewe pamoja na mashushushu wake wengi wote wamo humu jf kwa hiyo habari imeshamfikia hiiKwa wanaojua ratiba ya kufika Kagame, tafadhali. Tunataka tumuandalie hafla ya kumzomea
Maoni ya kisomi na maoni halisi ni vitu viwili tofauti.Maoni ya kisomi yanapenda sana kuamini katika uongo na mifano ambayo haina tija.Lakin maoni halisi yanaenda stright kwenye point.Kwanza sababu kubwa ni UBINAFSI,pia rasilimali zilizoko eneo la Beni ni chanzo cha mgogoro huo,pia Marais hawa wawili Kagame na Mseveni wamekuwa kichocheo kikubwa kwa misingi ya UKABILA.Siyo kweli hata kidogo, inavyoonekana wewe hauna taarifa za kutosha na za uhakika kuhusiana na Mgogoro huo wa huko DRC (Zaire). Fanya utafiti wako wa kina kabisa kuhusu suala hili kabla ya kutoa maoni yako humu mtandaoni
Kweli kabisa.Yeye mwenyewe pamoja na mashushushu wake wengi wote wamo humu jf kwa hiyo habari imeshamfikia hii
Kwani kagame kafanya nini mpakavtumzomee. Mnamuacha Museven mnamuandama kagame.Kwa wanaojua ratiba ya kufika Kagame, tafadhali. Tunataka tumuandalie hafla ya kumzomea
Kwa wanaojua ratiba ya kufika Kagame, tafadhali. Tunataka tumuandalie hafla ya kumzomea
Kuvuka mpaka ni kosa. Ukielewa hilo umeelewa pakubwa sanaAcha ujinga wako mumzomee kwa sababu gani? Hujui historia ya mgogoro Ndio maana unazungumza ujinga huu!
Leo hii Mkiamua kuwapa kipigo wamasai wa Tanzania unadhani wamasai wa Kenya wataacha kuja kuwasaidia ndugu zao? Ndio Kagame anachofanya DRC.
Narudia tena kusema kwamba 'Root Causes' za huo Mgogoro wa huko DRC (Zaire) siyo Rais Paul Kagame wa Rwanda wala siyo Rais Yoweri Museven wa Uganda. Kamwe Watu hao siyo sababu wala siyo kiini na chanzo cha kuibuka kwa Mgogoro huo.Maoni ya kisomi na maoni halisi ni vitu viwili tofauti.Maoni ya kisomi yanapenda sana kuamini katika uongo na mifano ambayo haina tija.Lakin maoni halisi yanaenda stright kwenye point.Kwanza sababu kubwa ni UBINAFSI,pia rasilimali zilizoko eneo la Beni ni chanzo cha mgogoro huo,pia Marais hawa wawili Kagame na Mseveni wamekuwa kichocheo kikubwa kwa misingi ya UKABILA.
ujanja wa maneno tu yule ila bonge la kunguru. Anaweza asije kweli kwa hofu ya kutunguliwa angani.Huenda asihudhurie
Wanaccm ndio mkamzomee.Kwa wanaojua ratiba ya kufika Kagame, tafadhali. Tunataka tumuandalie hafla ya kumzomea
Ya kwenu yameisha hadi unahangaika na jirani?Umzomee,amefanya nini?
Kwa sababu anawasapoti M23?
Wa Emirati wanaiunga mkono RSF wanaleta unnecessary complication katika kuimaliza vita ya Sudan,mbona hatujasikia mtu yoyote anawazomea?
Kuvuka mpaka ni kosa. Ukielewa hilo umeelewa pakubwa sana
Kuna tafauti kubwa kati ya athari za matatizo ya Sudani na matatizo DRC!.Umzomee,amefanya nini?
Kwa sababu anawasapoti M23?
Wa Emirati wanaiunga mkono RSF wanaleta unnecessary complication katika kuimaliza vita ya Sudan,mbona hatujasikia mtu yoyote anawazomea?
Unajidanganya Sana.Kuna tafauti kubwa kati ya athari za matatizo ya Sudani na matatizo DRC!.
Rwanda na DRC ni majirani zetu! Na matatizo ya majirani zetu ni matatizo yetu! Nchi jirani zinapokuwa vitani husababisha uwepo wa wakimbizi wanaokimbilia kwenye nchi yetu!
Na ushahidi unaonyesha kuwa Paul Kagame ndio mzizi wa vita vinavyoendelea mashariki mwa DRC.
Kwahiyo Kagame sio kuzomewa tu bali yatakiwa pawepo mipango thabiti ya kumng'oa madarakani ili kurudisha amani ya kudumu katika nchi za maziwa makuu.
Pamoja na chademaWanaccm ndio mkamzomee.