Barabara nne Dar kufungwa kuimarisha Usalama mkutano wa SADC na EAC kujadili mzozo wa DRC na M23

Kumbe
Acha ujinga wako mumzomee kwa sababu gani? Hujui historia ya mgogoro Ndio maana unazungumza ujinga huu!
Leo hii Mkiamua kuwapa kipigo wamasai wa Tanzania unadhani wamasai wa Kenya wataacha kuja kuwasaidia ndugu zao? Ndio Kagame anachofanya DRC.
Acha kutetea mauaji mkuu!
Kwahiyo unaona kinachoendelea pale DRC ni sahihi?
 
Kinachoendelea pale Eastern Congo ni sahihi kabisa. M23 na makundi mengine yaliyoungana nao wanapigania haki yao ambayo serikali iliyopo Kinshasa inawanyima! Mgogoro ndio upo hapo. M23 are bona fide Congolese who the Kinshasa government has decided not to recognize them as such! They have no option except to fight for their god given right!
 
Acha ujinga wako mumzomee kwa sababu gani? Hujui historia ya mgogoro Ndio maana unazungumza ujinga huu!
Leo hii Mkiamua kuwapa kipigo wamasai wa Tanzania unadhani wamasai wa Kenya wataacha kuja kuwasaidia ndugu zao? Ndio Kagame anachofanya DRC.
Kagame ni mpumbavu wala hakuna jambo jingine.
 
Kwanini unamuita mpumbavu? Kwa kulinda maslahi ya nchi yake?
Kumbuka DRC inawafuga watu ambao walihusika na genocide Rwanda na mpaka sasa wanashambulia Rwanda from Congo! Ungekuwa wewe ndio mwana nchi wa Rwanda ungechukua hatua gani?
Uongo, yaani hao watu waliokuwa wanajeshi enzi zile ndio wasumbue? Hao tayari ni vikongwe
 
Kwanini unamuita mpumbavu? Kwa kulinda maslahi ya nchi yake?
Kumbuka DRC inawafuga watu ambao walihusika na genocide Rwanda na mpaka sasa wanashambulia Rwanda from Congo! Ungekuwa wewe ndio mwana nchi wa Rwanda ungechukua hatua gani?
Fikiria upumbavu anaoufanya huo ujinga.
 
Umzomee,amefanya nini?
Kwa sababu anawasapoti M23?
Wa Emirati wanaiunga mkono RSF wanaleta unnecessary complication katika kuimaliza vita ya Sudan,mbona hatujasikia mtu yoyote anawazomea?
Waambie nao waje uone kama hatujawazomea!
 
Acha ujinga wako mumzomee kwa sababu gani? Hujui historia ya mgogoro Ndio maana unazungumza ujinga huu!
Leo hii Mkiamua kuwapa kipigo wamasai wa Tanzania unadhani wamasai wa Kenya wataacha kuja kuwasaidia ndugu zao? Ndio Kagame anachofanya DRC.
Kinachoendelea pale Eastern Congo ni sahihi kabisa. M23 na makundi mengine yaliyoungana nao wanapigania haki yao ambayo serikali iliyopo Kinshasa inawanyima! Mgogoro ndio upo hapo. M23 are bona fide Congolese who the Kinshasa government has decided not to recognize them as such! They have no option except to fight for their god given right!
Absolutely. Hao M23 wanapigania HAKI zao. Utawala wa nchi hauwezi kufanya DHULUMA kubwa kiasi hicho halafu uachwe tu hivi hivi bila kuadhibiwa, Kamwe haiwezekani kabisa.

Tunapaswa tukumbuke kwamba:

"Njia pekee ambayo Wananchi wataitumia katika kuzungumza au kujadiliana na Watawala wao ambao ni Madikteta ili kufikia muafaka wenye maslahi kwa pande zote mbili ni kwa kupitia mtutu wa bunduki."

Jeffs O'Brien.
 
Back
Top Bottom