chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Ngoja tutengeneze feki ID tukamtukane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tutengeneze feki ID tukamtukane
Uongo mtupu...Acha ujinga wako mumzomee kwa sababu gani? Hujui historia ya mgogoro Ndio maana unazungumza ujinga huu!
Leo hii Mkiamua kuwapa kipigo wamasai wa Tanzania unadhani wamasai wa Kenya wataacha kuja kuwasaidia ndugu zao? Ndio Kagame anachofanya DRC.
Cdm hakunaga ukhanithi wa hivyo.Pamoja na chadema
Huko kuna upinde?Cdm hakunaga ukhanithi wa hivyo.
Hapana, ipo mishale.Huko kuna upinde?
Je, ni haki kuingia taifa lingine kutetea watu wa asili yako? Tafakari juu ya mgogoro wa Congo DRC Rwanda kutetea jamii inayozungumza kitusi, nchi za magharibi ziko kimya, pia tafakari mgogoro wa Ukraine na Russia, Russia ikitetea jamii inayozungumza kirusi, nchi za magharibi hazitulii, hivi ni nini waona? Hivi wafikiri Kenya ikiwaswaga wamasai wa Kenya, Tanzania itashituka? , Hatushituki Kwa kuwa hatudhamini ukabila!Acha ujinga wako mumzomee kwa sababu gani? Hujui historia ya mgogoro Ndio maana unazungumza ujinga huu!
Leo hii Mkiamua kuwapa kipigo wamasai wa Tanzania unadhani wamasai wa Kenya wataacha kuja kuwasaidia ndugu zao? Ndio Kagame anachofanya DRC.
Kabla hajawafurusha, Wanyarwanda wote mtafurushwa Tanzania.Unataka watanzania kule Rwanda wafurushwe sio?
Chanzo cha hiyo genocide ilikuwa ni nini?Kwanini unamuita mpumbavu? Kwa kulinda maslahi ya nchi yake?
Kumbuka DRC inawafuga watu ambao walihusika na genocide Rwanda na mpaka sasa wanashambulia Rwanda from Congo! Ungekuwa wewe ndio mwana nchi wa Rwanda ungechukua hatua gani?
1. Ni Halali na Haki kwa mtu yoyote yule Mpenda HAKI kuingia kwenye nchi nyingine yoyote ile ili kuwatetea Watu wengine ambao wanadhulumiwa Haki zao. Kimaadil hii inaruhusiwa na ni halali kabisa kufanya hivyo.Je, ni haki kuingia taifa lingine kutetea watu wa asili yako? Tafakari juu ya mgogoro wa Congo DRC Rwanda kutetea jamii inayozungumza kitusi, nchi za magharibi ziko kimya, pia tafakari mgogoro wa Ukraine na Russia, Russia ikitetea jamii inayozungumza kirusi, nchi za magharibi hazitulii, hivi ni nini waona? Hivi wafikiri Kenya ikiwaswaga wamasai wa Kenya, Tanzania itashituka? , Hatushituki Kwa kuwa hatudhamini ukabila!
Tunaye hapa ukumbini.Huenda asihudhurie
Sina cha kukujibu, nenda kasoma alichokisema Secretary General wa UN labda utaelewa angalau kidogo kuhusu hayo mambo"Injustice somewhere is the threat to Justice everywhere."
Martin Luther King Jr.
Usifikiri kwamba Watu wataogopa kuvuka mipaka ya nchi yoyote ile ili kwenda kutoa msaada kwa Watu wengine ambao wanaamini wazi kabisa kwamba hawatendewi HAKI.
Utawala wa nchi au Serikali ya Nchi yoyote ile hapa duniani inapofanya DHULUMA dhidi ya Watu fulani fulani katika nchi husika basi Utawala huo unapaswa utambue ya kwamba kwa kufanya hivyo itakuwa inawaalika kwa LAZIMA Watu Wapenda HAKI kuweza kuingia kwa nguvu kwenye hiyo nchi ili kuwasaidia wale Watu wanaodhulumiwa Haki zao.
DHULUMA huwa Ina kawaida ya kuwakusanya na kuwaunganisha pamoja wale Watu ambao wamekuwa wakifanyiwa vitendo vya DHULUMA.
mtamzomea mkiwa wapi wakati msafara wake utakuwa na ulinzi mkali?Kwa wanaojua ratiba ya kufika Kagame, tafadhali. Tunataka tumuandalie hafla ya kumzomea
asipohudhuria anyukweHuenda asihudhurie
we ndio umepotea kabisa, yule ni mvamizi wa nchi ya wengine kwa kisingizio cha ukabilaAcha ujinga wako mumzomee kwa sababu gani? Hujui historia ya mgogoro Ndio maana unazungumza ujinga huu!
Leo hii Mkiamua kuwapa kipigo wamasai wa Tanzania unadhani wamasai wa Kenya wataacha kuja kuwasaidia ndugu zao? Ndio Kagame anachofanya DRC.